To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

Kwasababu wewe ni ICHANA

Kuvumilia ni jadi ya anaejua kupenda

Kwakuwa mimi najua kupenda basi na kuvumilia ni jambo linalowezekana kwangu kwa asilimia zote

Hebu nikabidhi penzi lako halafu utathibitisha hili!

Je unajua moyo wa mtu ni fumbo????
Je utawezeje kunivumila kwa vyovyote wakati bdo hujajua madhaifu Yang

Siwezi kukupa/ kukabidhi penz langu nataka kujua wewe kama kiongozi/ mwanaume una mipango gani??
 
Last edited by a moderator:
Huo ndio ukweli wenyewe mrembo
Ninaomba unipe penzi lako kwakuwa mimi tu ndionastahili!
Hapana aisee hustahili penzi langu..Nothing comes for free..you have to sweat before you get sweet!!
 
Je unajua moyo wa mtu ni fumbo????
Najua lakini tunaweza kuyajua yaliyoko moyoni mwa mtu angalau kwa kiasi kutokana na yale ambayo anasema

Huna sababu ya kuhofia moyo wangu kwakuwa mimi sina kawaida ya kudanganya

Kama unataka kuthibitisha hilo nikabidhi moyo wako na utaona ukweli
Je utawezeje kunivumila kwa vyovyote wakati bdo hujajua madhaifu Yang
Ninajua maana ya kupenda
Kupenda ni pamoja na kumkubali mtu kwa namna alivyo

Nimekukubali kwa namna ulivyo hivyo huna haja ya kuhofia chochote kile
Uko salama ukiwa na mimi
Siwezi kukupa/ kukabidhi penz langu nataka kujua wewe kama kiongozi/ mwanaume una mipango gani??
Mipango utaijua baada ya kujua kama nakupenda kweli

Muda ndio utajibu hilo,sitaki kuongea sana
Nipe nafasi ili vitendo viongee!
 
mkuu Eiyer watakufuata PM.kama wakikufuata.nisogezee mmoja tu.mpe ID yangu,mwambie una multiple ID na hii yangu huwa unaitumia kwa watu maalum.mwambie akukute PM kwa ID hii.Na dhambi zako zote zitasamehewa!
 
Last edited by a moderator:
nipe sababu10 za kuni PM mm na co mwngne

Sababu zinaweza zisifike 10 lakini zikawa na uzito wa kutosha

Na pengine sababu moja tu inaweza kuridhisha na kutohitajika nyingine!
 
mkuu Eiyer watakufuata PM.kama wakikufuata.nisogezee mmoja tu.mpe ID yangu,mwambie una multiple ID na hii yangu huwa unaitumia kwa watu maalum.mwambie akukute PM kwa ID hii.Na dhambi zako zote zitasamehewa!

Nikifanya hivi tayari nitakuwa muongo jambo ambalo sitaki kabisa kumkosea yoyote yule!
 
Back
Top Bottom