Teheeeee maneno si ndo hayo bwana...!Nakuambia kuwa nataka nikuwowe
Ungeniambiaje?
habari ya asubuhihabari zenu wapendwa?
Natumai hamjambo .....
Kuna jambo nataka nijifunze nanyi jioni ya leo
hebu fikiria tu kuwa umepokea pm yangu muda huu na nimekutongoza kwa aina yoyote ile
inaweza kuwa tunafahamiana nje ya hapa au hatujawahi kuonana kabisa na nimejaribu kurusha ndoano [mtongozo]
![]()
![]()
![]()
hebu niambie ni swali gani la kwanza utaniuliza?
Unaweza kuniambia na swali la pili na la tatu pia
hebu niambie tafadhali nataka nijifunze jambo hapa leo hii
jioni njema wapendwa .........!!!!!!!!!!!!!!
ntarudi baadae...Hebu niambie basi
Ungejibu nini?
Nashukuru kwa salam lakini nahitaji ujibu swali langu lililoko kwenye mada!
Hauwezi kunivutia ntakuona kicheche na muongo unitongoze hata sikujui mhhhhhHata kama mtongozo umekuvutia?
Hebu niambie basi
Ungejibu nini?
Assume tu kuwa umekuwa interested na mtongozo wangu
Utaniuliza nini cha kwanza!
kwanini usitongoze mtaani na unakuja kuotea gizani
(jf)