mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,024
jukwaa la mapenzi mahusiano ulitaka tujadili nini!!!!!!!!
Eti alitaka tujadili katiba na muundo wake wakati bungeni huko hata wenyewe yamewashinda
jukwaa la mapenzi mahusiano ulitaka tujadili nini!!!!!!!!
Wakati ulikuwa hujafika na sasa umefika
Swali la pili tafadhali!
ok, una mke? watoto?
Najua tu kama ni uongo...usitongoze unaowaona huko uje unitongoze mie usonijua je ka nna sura ---- ndo mwanzo wa kukimbiana!Umejuaje kuwa ni uongo?
Why me not the other ladies??????????
Najua tu kama ni uongo...usitongoze unaowaona huko uje unitongoze mie usonijua je ka nna sura ---- ndo mwanzo wa kukimbiana!
Hahahahahaaaaaaa
Jamani hata spear tyre haiwezekani?
ok, swali linalofata ni kujua assets zako unazomiliki na elimu yako. hilo ndo swali langu la mwisho ndugu mtongozaji.Mrembo,
Mke ningekuwa nae ningehangaika kukutafuta?
Watoto sina kwani nilikuwa namsubiria malkia ambae ni wewe nizae nae watoto ambao watakuwa na mama mwema kama wewe kwani wanahakikishiwa malezi bora
Swali linalofuata tafadhali!