To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

yaani umeamua kuja kuwatongozea humu humu kwa kujifanya umetoa thread.. una hatari jembe
 
1.Una miaka mingapi?
2.Wewe ni mwenyeji wa wapi?
3.umenifahamu mtandaoni unawezaje kujua tabia niliyonayo?
4.nini tafsiri yako ya neno maisha?
 
1.Una miaka mingapi?
2.Wewe ni mwenyeji wa wapi?
3.umenifahamu mtandaoni unawezaje kujua tabia niliyonayo?
4.nini tafsiri yako ya neno maisha?
Aiseee .....

It's been a long time.......!!
 
Mmmm kuna mtu anachukuliwa leo hahdarani huku majority ya watu tukishuhudia...
Naona PM imeamia huku!
 
Ntakujibu simple tu karibu. Jitambulishe jina, age, bank status A/c yako, msafi kiasi gani? Mengine mtavumilia.
 
Back
Top Bottom