To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

sina izo accounts

Sio kweli
Line zako zitakuwa zimesajiliwa

Kama zimesajiliwa utakuwa umeunganishwa na hizo huduma

Nitumie namba tafadhali niitunishe account yako just in a minute!
 
Mimi tayari ni mama mwema wa watoto na napata penzi salama na la uhakika kwa niliyenaye.
Thanks for offering anyway!!

Hakuna tatizo
Lakini unaweza kudhani kuwa unakula sukari ambayo kwa fikra zako ndio kitu kitamu zaidi lakini kuna kilichokitamu zaidi hivyo sio vibaya ukajaribu ujionee!
 
Sio kweli
Line zako zitakuwa zimesajiliwa

Kama zimesajiliwa utakuwa umeunganishwa na hizo huduma

Nitumie namba tafadhali niitunishe account yako just in a minute!

ok hamna tabu chukua hizo apo
 
Sijaelewa.Umeniita mimi na OS ama umeniita kama Mrs.

Furtherm+ore sijaelewa what is going on.

hahahahahahha nimewaita wote wawili kuanzia leo mimi si miss kauzibe nina hekima hadi paroko amesalute lol
 
Naamini wewe huoko hivyo

Nimeshakujibu hili na inaonekana unaogopa sana kutendwa la kizuri ni kuwa sijakutongoza ili nikutende bali nikupende

Ondoa hofu mrembo!

Mimi Sina hofu na mtu ambaye hat ckujui...
Imani yako imekudanganya kwa maana naweza tu kukuacha kama huyo mwingine mapenz ni popote

Bdo unakimbia swali langu na siwez kuongea lolote had ntakapokuona may be sio type nayofikiria kwa maana suala LA kupenda muonekano unahusika
 
Back
Top Bottom