ok, swali linalofata ni kujua assets zako unazomiliki na elimu yako. hilo ndo swali langu la mwisho ndugu mtongozaji.
Mi ni mwanaume...Ndio uniambie sasa ili nijue!
Sijamuona wa kunifaa mtaani na nimekuona wewe ndio unanifaa
2nd question please!
We miss neddy jf ni mchana tu hamna giza allah!
Hapana ila nimekuona kwa namna unavyochangia michango kwa hekima na busara!
Nimekamilika, ila we unaetupia mitongozo kwa mtu usomjua ndo nahisi haujakamilika....Kwanini unapenda kujionesha kama mwanamke?
Umekamilika kweli?
3rd question please!
Ntakushukuru kwa kunitongoza.Meaning?
Hapana ila nimekuona kwa namna unavyochangia michango kwa hekima na busara!
Ndo ilikuwaje?
Nimekamilika, ila we unaetupia mitongozo kwa mtu usomjua ndo nahisi haujakamilika....
Hapana
Nimepewa ruhusa maalum ya kuoa!
Ntakushukuru kwa kunitongoza.
Sababu kunitongoza kwako inamaanisha
umependa kitu Fulani Kwangu au unataka kitu Fulani .
In other words " very flattering"
Sintokuuliza swali lolote .
Mbali nitakukubalia kwa sababu au
nitakukatalia kwa sababu .....
used to cry in order to be considered as a spare tyre/ kidumu
Things are different now, use what you have to get what u don't have.
its bussiness, spend in order to earn.
Mapenzi ya kuwa enhanced na "handsome" & "beautiful" + maneno matamu + nyimbo yaliishia katka movie za kihindi kama disco dancer, kalhonaho, kuchi kuchi hota hai, pyara impossible et al.
More wealthier you are, more chances to possess a beautiful woman/man, as p&%$y and d+*(k are assets like any other!