bombom
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 614
- 228
Hey mbona mambo ya kwenye pm yanatoka nje@heaven on Earthwhats so special about me mpaka ukaamua kunitongoza nini kimekuvuta kwangu
Hey mbona mambo ya kwenye pm yanatoka nje@heaven on Earthwhats so special about me mpaka ukaamua kunitongoza nini kimekuvuta kwangu
Hahahahahaaaaaaa
Jamani hata spear tyre haiwezekani?
Hey mbona mambo ya kwenye pm yanatoka nje@heaven on Earth
si huyu ndo paroko aliyekuwa amepotea? amekuja na ufunuo mpya!! msaidieni wenye mauzoefu ya pm
Baba paroko anaogopa asije kuumwagia mtongozo mdume mwenzie.....chezea multiple ID wewe.....! Mwenyewe unajipinda kumwaga mtongozo wa maneno matamu kumbe dume lenzio linakuchoraa tu! Acha atafute experience ya wadada ili aweze kudiscriminate majibu......lolz.
It's true,you know why?
Just because there are so many people who does not think like you!
It's true,you know why?
Just because there are so many people who does not think like you!