Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Chumvi ya mawe imekuwa sehemu ya maisha yangu Kuna Muda nilifuruliza kuoga mwezi mzima na niliona matokeo kwa Yale niliyonuia.
Kikweli Hadi sasa najiuliza Kuna nguvu gani isiyoonekana kwenye hii chumvi Hadi inafanya kazi kiasi hiki

Mungu Muweza
 
Chumvi ya mawe imekuwa sehemu ya maisha yangu Kuna Muda nilifuruliza kuoga mwezi mzima na niliona matokeo kwa Yale niliyonuia.
Kikweli Hadi sasa najiuliza Kuna nguvu gani isiyoonekana kwenye hii chumvi Hadi inafanya kazi kiasi hiki

Mungu Muweza
Ifanye sehemu ya maisha yako mpaka utakasike kabisa
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app

CHUMVI NI KINGA KUBWA KATIKA KUZUIA NGUVU ZA GIZA​

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote za ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinuia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 au 14 au 21

hii haipingani na imani yako kwa kuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasa


CHUMVI YA BLUE.jpg



PILIPILI NYEKUNDU.jpg
 

Attachments

  • CHUMVI NYEUSI.jpg
    CHUMVI NYEUSI.jpg
    12.7 KB · Views: 84
  • CHUMVI YA BLUE.jpg
    CHUMVI YA BLUE.jpg
    54 KB · Views: 85
Nitasoma hapa
Uponyaji wa Maji 19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, “Tazama, bwana wetu, mji huu ni mzuri, kama unavyoona, lakini maji ni mabaya na nchi haizai matunda. 20 Akasema, “Nileteeni bakuli jipya, mtie chumvi ndani yake.” Basi wakamletea. 21 Kisha akatoka akaenda kwenye chemchemi na kutupa (A) chumvi ndani yake, akisema, “Hili ndilo asemalo BWANA: ‘Nimeyaponya maji haya. Hayatasababisha kifo tena wala kufanya nchi isitokee.’” 22 Na maji bado yamekaa safi (B) mpaka leo hii, kulingana na neno ambalo Elisha alikuwa amesema.
 
Mimi pia ni mtu hua na sali sana nilihamia maeneo kulkua na nguvu za giza sana nikawa napata shida sana kiroho nikilala na kulkua na mapaka mengi kila siku hapo nje yanalia sometimes kama watoto...mpka majirani wakawa wanaogopa uchawi wa hapo mimi nikawambia nitawaondoa....nikaanza formula na kusali, soma neno Biblia...nikimaliza naweka chumvi kwenye maji nanuizia maneno ya kuondoa mauti katika eneo hilo la ardhi na kumwaga chumvi kwenye malango ya vyumba vyote changu na majirani...nilipata vita kali sana nikawa naota niko nje usiku napambana na mapaka meusi ila nilikua nawabamiza sana...mpaka simba wakawa wananijia ila hawakuniweza mwisho wa siku yale mapaka yalitoweka kabisa na pakawa huru hata nikisali sina vizuizi......pia imani pasipo matendo imekufa wewe unaamini Mungu mmoja hata mashetani nao waamini na kutetemeka ila wataka kujua imani pasipo matendo imekufa
Ahsante sana
 
Uponyaji wa Maji 19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, “Tazama, bwana wetu, mji huu ni mzuri, kama unavyoona, lakini maji ni mabaya na nchi haizai matunda. 20 Akasema, “Nileteeni bakuli jipya, mtie chumvi ndani yake.” Basi wakamletea. 21 Kisha akatoka akaenda kwenye chemchemi na kutupa (A) chumvi ndani yake, akisema, “Hili ndilo asemalo BWANA: ‘Nimeyaponya maji haya. Hayatasababisha kifo tena wala kufanya nchi isitokee.’” 22 Na maji bado yamekaa safi (B) mpaka leo hii, kulingana na neno ambalo Elisha alikuwa amesema.
Shukrani sana mkuu Mshana Jr
 
Nina shida na wewe brother, Kila nikitoka kuingia Kwa waziri mkuu wako ( PM) Meseji haiendi. Tafadhali tuwasiliane
 
Mimi hua naamini kua wachawi wapo siku zote yawezekana wala hawana mpango na wewe lakini ukianza kujihami watajiuliza kama wanakuachaga kumbe wewe ni mpinzani hodari
hata majambazi wapo siku zote kwa nini huwa unafunga milango na kuweka grill?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom