Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mimi pia ni mtu hua na sali sana nilihamia maeneo kulkua na nguvu za giza sana nikawa napata shida sana kiroho nikilala na kulkua na mapaka mengi kila siku hapo nje yanalia sometimes kama watoto...mpka majirani wakawa wanaogopa uchawi wa hapo mimi nikawambia nitawaondoa....nikaanza formula na kusali, soma neno Biblia...nikimaliza naweka chumvi kwenye maji nanuizia maneno ya kuondoa mauti katika eneo hilo la ardhi na kumwaga chumvi kwenye malango ya vyumba vyote changu na majirani...nilipata vita kali sana nikawa naota niko nje usiku napambana na mapaka meusi ila nilikua nawabamiza sana...mpaka simba wakawa wananijia ila hawakuniweza mwisho wa siku yale mapaka yalitoweka kabisa na pakawa huru hata nikisali sina vizuizi......pia imani pasipo matendo imekufa wewe unaamini Mungu mmoja hata mashetani nao waamini na kutetemeka ila wataka kujua imani pasipo matendo imekufa
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
CHUMVI NI DAWA NZURI SANA NA UONDOA MIKOSI UKIINUIA VIZURI WAKATI WA KUITUMIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jr[emoji769]
 
Jr[emoji769]
 
Hivi kilo moja inauzwa bei gani kwa anayefahamu?
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua inawezekana maana kwenye Wakiristo kuna baadhi ya makanisa wanashauri utembee na chumvi na maji yao ya baraka!

Tunaambiwa ukikosa maji ya Baraka, chukua chumvi mawe weka kwenye maji safi na salama. Yasalie. Kwa wakatoliki waweza kusali Baba yetu (3) Salaam Maria (3) Atukuzwe (3).
Yatumie tayari yana utakaso.
 
Nilifanikiwa kuinunua hapo sokoni Makumbusho, kiasi cha kufikia kg 1 au kg 1 kabisa ni sh 2000 tu ya kitanzania. Ila fazaaaaaa..................... eeeeh
Vp imefanya vema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom