Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,463
- 1,917
Pia sio kuoga tu kwa chumvi
Msimamie na maandiko ya kutumia chumvi kwa imani
Msimamie na maandiko ya kutumia chumvi kwa imani
Daaahh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeambiwa siku7 iyo moja umeitoa wapi[emoji38]
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Mkuu unavyosema matumiz ya kitanda au nyumba,natumia ikiwa haijachanganywa na maji? Au nachanganya na maji then nanyunyizia sehemu hizo?
Mmh ni kwa asilimia ndogo sana maranyingi huwa ni laana...!!!!
Ukitupa kwa ufupi kwa lugha ya code itakuwa vizuri zaidiNinazo nyingi sana PM na WhatsApp ila sina ruhusa ya wahusika kushare na wengine
Sikumbuki kwakweli ngoja kuna wadau watakuja na jibuMkuu Mshana nisaidie naipata sehemu gani maelekezo ya chumvi kwenye Maandiko?
Laana ina viasili viwiliMshana Jr [emoji115][emoji115]
Laana ina viasili viwili
1. Wazazi.... Hawa wana vinasaba nawe hivyo kuna muunganiko wa kiroho na vinasaba.... Tiba yake ni mzazi kukuondelea yale mabaya aliyokunenea
2. Kuutesa na kuuseta uumbaji hapa pia kuna ishu ya midomo mibaya.. Kuna watu wana nguvu ya kukunenea mabaya na ukaathirika
2 wafalme 2:19-22
Mkuu Mshana nisaidie naipata sehemu gani maelekezo ya chumvi kwenye Maandiko?
Mwaga pekeyake ama kwa kuchanganya na maji... fanya asubuhi kabla ya watu kufika ama ama jioni baada ya kila mtu kuondokaMshana, kama ni ofisini nifanyeje na hiyo chumvi, na muda gani mzuri wa kusambaza chumvi maeneo ya ofisi?
Itakuwaje nikimwaga saa saba kamili ambapo ni muda wa katikati ya mchana? wengine wanasema mda wa ibaada?Mwaga pekeyake ama kwa kuchanganya na maji... fanya asubuhi kabla ya watu kufika ama ama jioni baada ya kila mtu kuondoka