Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Nimefanya hii kitu ila toka siku ya kwanza nilipofanya nililala usingizi mzito sana usiku, hali imeendelea hadi sasa hivi. Je ni kawaida au kuna tatizo???
cc. mshana jr
Aiseee hiyo hali hata kwangu imenitokea,nilipoanza kutumia siku ya 3 tuu usiku usingizi sio wa kawaida,je ni kawaida au kuna au kuna tatizo?

Cc@Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana kwanza ahsante kwa somo zuri , pili naomba kuuliza nmeshindwa maliza maoni ya wakuu sijui uvivu ,jinsi ya kuogea ni kwamba naoga kwanza halafu nachukua maji masafi natia chumvi nanuiza ama naweka moja kwa moja kwenye maji naog? Halafu hyo ya kumwaga kuzunguka kitanda je nailoweka kwenye maji ama nzima nzima kama ilivyo,ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom