Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1666]
 
Ooh sorry ilipaswa kuwa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Mshana Jr ulizingua saaana
 
Habari za muda huu mkuu mshana.. samahan kwa usumbufu.. karibuni nmeanza kutumia chumvi ha mawe kuogea na kulalia baada ya wafanyakazi wezangu kuwa wananichukia sana bila ya sababu.. lakn leo pia kimenitokea kitu ambacho imebd nikutafute nikuombe ushauri..
Sasa leo wakat naingia sehem nikakutana na mzee flan ambae pasipo kawaida alinisalimia kwa kunipa mkono na mm kwa kusita nilimpa.. story za juu juu jamaa alikua ana ugomvi na mfanya kazi mwengne ambae walikua wanashutumiana kuibiana nyota na huyo mfanyaka kazi nashare nae birthday ila kwa sasa ni marehemu.
Msaada.. je kwa hiki kitendo cha leo kupeana mikono nae natakiwa nifanyaje!? Na hiyo chumvi itaweza kunisaidia kama kweli ana huo mtindo wa kuiba nyota.. msaada mkuu
 
Tumia chumvi hataweza kukudhuru kwa lolote hata baada ya kupeana naye mkono
 
Mkuu Mshana Jr Je, chumvi ina uwezo wa kuirudisha au kuiokoa Nafsi na Nyota ya mtu (ambae bado yupo hai) ambayo imeshaibiwa kishirikina? (yaani bado hajafa ila wamemtegeshea mitego kichawi ili afe wamchukue msukule)
 
Ina huo uwezo
Kuna Mzee mmoja Mimi namwita Anko alikuja nyumbani, akaniwekea mkono kichwani, nimepata nafuu. Lakini baada ya yeye kuondoka tu Kuna mtu wake wa karibu kanitonya kua yule Mzee siyo mtu mzuri. Alishaga muwekea ndugu yake mkono kichwani akapata nafuu kwa muda usiku ulipoingia akazidiwa akapata stroke. Asubui palipokucha Walimkimbilia ili amsaidie alikataa hadi mauti yakampata ndugu yao. Nimezisikia stori sio nzuri kwa yule Mzee nifanyeje na kashaniwekea mkono kichwani? Yeye ni mganga anaetumia kuwawekea watu mikono tu wanapona kimiujiza, inasemekana kua siku hizi kashabadilika wengine anaowawekea mikono anawakata moto.
Nifanyeje? Chumvi itanisaidia nikijipaka kichwani?
 
Uko kwenye tiba ulinzi na kinga ya chumvi hupaswi kuhofia kitu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom