Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

CHUMVI NI KINGA KUBWA KATIKA KUZUIA NGUVU ZA GIZA​

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote za ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinuia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 au 14 au 21

hii haipingani na imani yako kwa kuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasa

View attachment 2326929

View attachment 2326930
Chumvi ya blue na Nyekundu hapa Dar wapi zinapatikana
 
Mshana jr, you're still good in my books. Be blessed abundantly kwa somo hili.....

Niongezee tu kwenye chumvi ya mawe
  • inasaidia mmeng'enyo wa chakula
  • inaondoa gesi na kiungulia
-husaidia maumivuu ya miguu kwa kuloweka miguu ndani ya maji ya chumvi kwa dakika kadhaa.
  • pia humairisha kinga ya mwili.
  • unaweza itumia kama srub ya ngozi
  • na pia hujaza nywele kichwani kwa wapendao nywele nyiingi, kwa kuweka kipimo sawa cha chumvi na conditioner changanya kisha paka kwenye nywele, kaa nayo kwa dakika ishirini au nusu saa kisha osha, rudia mara kwa mara kwa matokeo ya haraka.
JF ni dunia nyingine.
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maji ya ubatizo na maji ya baraka kwa waroma naona wanawekaga chumvi kwanza, tena chumvi kweli kweli. Hii itakua na spiritual power yake, nature huficha nguvu zake kwenye vitu tusivyodhania
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hili swala: mwanamke anakuloga, ukienda kufanya kitu kina sinyaa,nini cha kufanya kuondoa hili tatizo.
Kwa maelezo zaidi (ikiwa unataarifa sio za public) tuwasiliane chamilo_tz@yahoo.com
 
"Na waumin wamtegemee mwenyez mungu tu " (quran takatifu ) sio chumv wala nini

Chumvi haina uwezo wa kukulinda bal hata quran haina uwezo wa kukulinda ...mwenye uwezo wa kukulinda ni Allah tu ....siping matumiz ya chumvi bali usitumie kuwa ynyew ndio inaweza kukulinda bal tumia ukimuomba Allah ajaalie iwe ni ponyo kwako
 
Mshana jr mimi kunakitu kimoja naomba unisaidie ndu yangu mana nilisha kataga tamaa najiona mwenyewe mikosi.

mimi bn nikiingia kwenye mahusiano na binti yoyote haya dumu . sasa nikigusia kuhusu sex ndio nimeachwa ivyo. yani nimeisha ingia kwenye mahusiano mengi naishia kuliwa ela zangu tu yani sijawahi kuwa na mahusiano nikawa na amani na furaha kuna wengine wanakuja mpka home ila ukiomba mzigo ataki kabisa na mnachana yani najiona mimi ni mtu mwenye mikosi sana nilisha kataga tamaa kabisa

kama kunamtu alisha kutwa na hali kama yangu msahada pllz hii hali inanipaga mawazo sana
 
Mh hili halihitaji majibu ya haraka! Lakini pia kwanini unatanguliza pesa mbele?
 
Duh! nilijua nipo mwenyewe hii kitu hadi niliona nitafute maisha tu ikitokea huko mbele ni sawa, sometimes unaanza mahusiano na mtu,utasema ngoja nimpe muda ktk ishu za sex asione labda nataka nimtumie alafu nipige chini,utakaa labda miezi miwili tangu mjuane ila ukiingizia habari hizo tu ugomvi na wakati huo gharama ndogondogo zimekutoka nyingi,alafu mbaya zaidi wapo wanawake wengine unaweza kupata habari zao kuwa hao hawajatulia ila ukienda wewe tu hupati kitu.
 
tafuta mayai mawili yaliyoanguliwa siku hiyo hyo ya kienyeji au nunua mayai mazima dukani yaweke chini ya kitanda/uvunguni unacholalia ww lala kitandani kwa dk 10 au 15 sema nataka nijue nimechezewa nimerogwa au nimekanyaga vitu vibaya kwa muda kama wa dk 2 hvwakati ukiwa umelala kisha yatoe yatikise kama yamekua maviza au yameharibika ujue kuna mtu amekuroga kama yako sawa basi ni bahati tu hauna
kama umerogwa fanya hivi
chemsha hayo mayai mawili
kula yote hadi yaishe hizo habari za uchawi utakuja kuzisikia kwa watu utakua na kinga ambayo hakuna mtu anaweza kukuvhezea tena
 
unaweza pia kwenda duka la dawa za asili kutafuta dawa
 
Hahaha hii noma saana mwanzo wa kuwa mchawi [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! nilijua nipo mwenyewe hii kitu hadi niliona nitafute maisha tu ikitokea huko mbele ni sawa, sometimes unaanza mahusiano na mtu,utasema ngoja nimpe muda ktk ishu za sex asione labda nataka nimtumie alafu nipige chini,utakaa labda miezi miwili tangu mjuane ila ukiingizia habari hizo tu ugomvi na wakati huo gharama ndogondogo zimekutoka nyingi,alafu mbaya zaidi wapo wanawake wengine unaweza kupata habari zao kuwa hao hawajatulia ila ukienda wewe tu hupati kitu.
aiseee hii kitu inatesa mkuu kumbe tupo wengi mimi nilisha kata tamaa kabisa
 
Back
Top Bottom