Sawa MkuuSafi sana ila kwenye nyumba fanya mara 2 au nne kwa mwezi inatosha kabisa
Nayo ni antWitchcraftYana matumizj yake pia
Umetumia pia?ili siku nyingine asirudie tena kudandia mada za wahenga
Habari mkuu Mshana Jr Mimi Kuna swali naomba kuuliza. Mimi ninasumbuliwa na natizo la vitu kunitembelea mwilini. Sasa baada ya kuona Uzi wako huu nikaona na Mimi ni bora nikanunuwe chumvi ya mawe nianze kutumia (kuoga na kunywa kwa maji ya moto) huenda ikanisaidia. Sasa Kuna jamaa yangu mmoja kaniambia kua hiyo ya hivyo haiwezi kunitatulia tatizo, mpaka nipate ile ya kununua makanisani maana ile imeombewa na kuwekewa upako. Je, ni kweli mpaka nipate ile iliyoombewa kwa upako au hata hii ya kununua sokoni itanisaidia?Safi sana ila kwenye nyumba fanya mara 2 au nne kwa mwezi inatosha kabisa
Sio lazima kuombewa kwakuwa kiasili yenyewe ina nguvu na hii ni tiba ya kiroho hivyo hupaswi kuinywa bali ogea na mwagia kwenye makazi yakoHabari mkuu Mshana Jr Mimi Kuna swali naomba kuuliza. Mimi ninasumbuliwa na natizo la vitu kunitembelea mwilini. Sasa baada ya kuona Uzi wako huu nikaona na Mimi ni bora nikanunuwe chumvi ya mawe nianze kutumia (kuoga na kunywa kwa maji ya moto) huenda ikanisaidia. Sasa Kuna jamaa yangu mmoja kaniambia kua hiyo ya hivyo haiwezi kunitatulia tatizo, mpaka nipate ile ya kununua makanisani maana ile imeombewa na kuwekewa upako. Je, ni kweli mpaka nipate ile iliyoombewa kwa upako au hata hii ya kununua sokoni itanisaidia?
Msaada mkuu.
Asante mkuu[emoji120]Sio lazima kuombewa kwakuwa kiasili yenyewe ina nguvu na hii ni tiba ya kiroho hivyo hupaswi kuinywa bali ogea na mwagia kwenye makazi yako
Asante mkuu. Ni kweli baada tu ya kuanza kuogea chumvi vitu kutembea mwilini imekata. Sasa imeanza hii nasumbuliwa na ndoto ya kuota nakula nyama za mishikaki na za kukaangwa. Nifanyeje mkuu nitoke kwenye hii situation?Pamoja mkuu [emoji1545]
Mmh hii lamba ndimu kila uendapo kulalaAsante mkuu. Ni kweli baada tu ya kuanza kuogea chumvi vitu kutembea mwilini imekata. Sasa imeanza hii nasumbuliwa na ndoto ya kuota nakula nyama za mishikaki na za kukaangwa. Nifanyeje mkuu nitoke kwenye hii situation?
2Wafalme 2:19-22Mkuu Mshana nisaidie naipata sehemu gani maelekezo ya chumvi kwenye Maandiko?
Mshana unataka kunifanyanini. au ndiyo unataka kuitumia taaluma yako ya uchawi kwangu kuninyoshaaa. maana unanianika hadharai
Hirizi hiyo tayari dear. Mungu hapendi msaidizi.Aisee hii mikosi inayoniandama ngoja nikatafute chumvi ya mawe, kipande cha mkaa tayari kipo ndani ya pochi
Wanaume Sasa tumepata Tiba ya Limbwata. Usiku Ali kutengewa maji ya kuoga na hakikisha kila week moja kati ya 4 za mwezi unatumia chumvi kwenye maji yako ya kuogaHabarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh nshatishika tayali [emoji15]Mkuu nisikilize Mimi wachawi hawakubari kushindwa na vitu vdogo kama hivyo ila akija kichwakichwa inamuumbua na kumuumiza kweli
Akijua unatumia chumvi ya mawe umekwisha, hebu fikiri mtu kakutega mtego unaojua namna ya kuufyatua hala ukubari kunasa kizembe
Mkuu wachawi wanapoenda kuwanga au kuroga wanajua Kuna mazindiko huko waendako hivyo hawaji kiboyaboya ila kuondoa mikosi na uchawi mwili inaweza mkuu kikubwa ni kufuata mashart
Hahahaha ukiingia vitani lazima ujipange kushinda, kama hauko tayarii Kwa vita usiichokoze, si unasikiaga wanasema usilete ugomvi wa mawe ukiwa na nyumba ya viooAhhh nshatishika tayali [emoji15]