Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama niliona tiba ya chumvi sehemu ya pili na sehemu ya tatu ingekuwa vizuri ungeweka link hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama niliona tiba ya chumvi sehemu ya pili na sehemu ya tatu ingekuwa vizuri ungeweka link hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli toka nianze kutumia Chumvi kwa kuogea, kutupia chini ya kitanda na kumwagia ndani na nje ya nyumba kila na kila pembe ya nyumba na vyumba na milango na madirisha na getini hadi juu ya paa la nyumba nzima kwa kweli kila ifikapo saa 3 usiku mapaka yanasumbua sana kwa kulia uku yakiizunguka nyumba yangu huku yakilia kama binadamu na hasa dirisha la chumba changu ndio yanakesha yakilia, ila ukiyatukana na kuya ambia yanasikia kama binadamu yanaondoka ila baada ya lisaa yanarudi na kulia tena dirishani kwangu, ni mwendo wa kufukuzana hadi alfajiri ndio yanaondoka moja kwa moja, je nifanyeje Mshana Jr ?
 
Endelea usiache yanakutana na upinzani hivyo hayako huru kama zamani
 
Naamini si sahihi kuikoroga. Ichote tu kwa kiasi chake iweke majini. Wakati unaoga kwa sabuni yenyewe itakuwa ina yeyuka taratibu. Then ukimaliza kujisafisha(kuondoa uchafu),,anza kujiosha kwa kutumia mikono au kopo.
Al

Alafu unaivuruga kwenye maji ndio uogee au unangoja iyayuke ndio uogee, maana mi nimejaribu kuinyunyizia aiyayuki mpaka uikorogea na mkono ndio inayayuka alafu naogea.
 
Al

Alafu unaivuruga kwenye maji ndio uogee au unangoja iyayuke ndio uogee, maana mi nimejaribu kuinyunyizia aiyayuki mpaka uikorogea na mkono ndio inayayuka alafu naogea.
Wala huhitaji kuvuruga by the time unamaliza kuoga imeshayeyuka yote
 
Kuna posts nilikuwa nazisoma kwenye 2014, kweli zilikuwa zina mambo mengi ambayo ukiyazingatia unaona majibu.
1. Kuna miti fulani hivi waiita mipanga uzazi ... kuna bibi mmoja alikuta naukata asubuhi alinambia "UMEJIONGEZA" sikumjibu.

2. Kuna mtu hapa JF alinambia kuwa mti wa mbaazi una maajabu mengi; nilipoupanda nyumbani .. kuna vibibi vilikuwa vimezoea kukatiza kwangu wakati hakuna njia rasmi ... viliacha na sasa hivi vinanisalimia kawaida - TULIKUWA HATUPATANI KWA SABABU HIYO

3. Kuna mti maarufu kama Jerusalem white flower - nimekuwa nikiutumia kuwasaidia wenye matatizo ya meno. Unafanya kazi vizuri

4. Kuna mti wa mlongelonge - nilijifunzia hapa hapa

Kwa ujumla mambo mengi nimejifuza kupitia hapa JF Big ap moddy
Mkuu hapo kwenye mti wa kupanga uzazi uniambie vizuri!!ukoje napataje!!
 
Naamini si sahihi kuikoroga. Ichote tu kwa kiasi chake iweke majini. Wakati unaoga kwa sabuni yenyewe itakuwa ina yeyuka taratibu. Then ukimaliza kujisafisha(kuondoa uchafu),,anza kujiosha kwa kutumia mikono au kopo.
Sahihi kabisa[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom