Baraka ya chumvi

Baraka ya chumvi

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,083
Reaction score
1,306
chukua chumvi na uibariki kwa namna hii:

Nakuwekea baraka katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. Baraka ya Mungu Baba Mwenyezi iwe juu yako, na wema wote uingie ndani yako; kwa hiyo nakubariki na kukutakasa, ili unisafishe mwili roho na nafsi yangu niwe msafi na wa muhimu kama ulivyo muhimu

Na baada ya kufanya hivyo, sema:

Benedicite omnia opera Domini Domino.

Baadaye, chukua manukato matamu yaliyowekwa wakfu, uyatupe ndani ya bafu, ukiyashikilia mkononi mwako; kisha ingia tena ndani ya bafu na ujioshe. Na ukiwa ndani ya bafu sema:

Amane, Memeto, Inzaron, Doltibon, Amagnõ, lameton, Caron, Sutron, Gardon, Non, Mameraon, Tameratõ, fabron, Sanõ, Nazmon, Stilon, funeon.

Baada ya kusema hayo, soma Zaburi hii:

Benedicite omnia opera Domini.

Kisha ujioshe ukisema:

Katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina.

Baada ya hayo, toka katika bafu, vaa mavazi safi enda kwenye shuguli zako fanya hivyo kwa muda wa siku saba

Alafu utaleta mrejesho
 
Kuwa makini na hakikisha unafahamu vizuri ni nini unafanya na hayo maneno yanamaanisha nini na yanatumika kufanya nini hasa usije ukapata matatizo usiyojua yanatoka wapi.
 
Back
Top Bottom