Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,139
- Thread starter
- #1,081
Ogea chumvi itakusaidia sana, hiyo hali maana kiroho uko mtupu huna ulinzi wowote wa maanaNina kama miaka 4 na zaidi nilikuwa naota ndoto ya kuwa uchi kila mara sasa baadae maisha yakaaza kwenda hovyo…. Yaaani kukosa Kazi, kupoteza pesa na yapo hivyo mpaka sasa lakini kuna siku nikaota ndoto hiyo hiyo lakini baadae nikajisemea kwa nini nipo uchi (Katika ndoto) alafu nikaenda kuvaa nguo na hapo hapo nikashituka… Naomba msaada je haya maisha ya kushuka kiuchumi ndio sababu ya hii ndoto na kama ndio je nikiongea chumvi naweza kuondoa ili tatizo?