Thumbs-Up kwa Designer nguo za Rais Samia Suluhu Hassan

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,839
2,000
Acheni mchezo bana,
Mama yetu ni mtu smart sana anajua kupangilia nguo sio mchezo ,
Wanawake muige mfano wake sio wengine nguo mnavaa hadi siku kumi, wengine nguo ya sendoff ndio hiyohiyo hadi harusi hapana lazima mjifunze kwa Mama yetu.
Mama anapiga vitu vya kueleweka na wanaomshonea wanampatia acha kabisa, ile ndio haiba ya uongozi sasa.
Yaani mama akisalimia kidogo tu kama kuna kipengele cha maji ya kunywa kabla ya kunywa maji lazima abadilishe nguo.
Mama Uganda alienda kapiga kitu kingine haaa wakati wa kurudi ashabadilisha kabisa haya ndio maneno sasa. Mama kwa miaka minne atabadilisha nguo pea 2920.
Wasukuma mmebakia kuchunguza mama kavaa nini,, mtaweuka inakoendea mazuzu nyie
 

Ntaghacha

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
1,040
2,000
Ba
Tuwe fair. Hivi kweli SSH mnamuita mama yenu kwa kumpenda au kujipendekeza? Mbona hatukusikia marais waliopita mkiwaita baba zenu? Je akiondoka kwenye ulaji mtaendelea kumuita mama yenu? Janet aliitwa mama kipenzi leo mnamuita mjane wa Jiwe. Kujipendekeza kitu mbaya sana.
Baba wa Taifa
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,943
2,000
Hivi kweli SSH mnamuita mama yenu kwa kumpenda au kujipendekeza? Mbona hatukusikia marais waliopita mkiwaita baba zenu?
Baada ya Hayati Mwl. Nyerere Baba wa Taifa, waliofuata wote walikuwa brothers, ila tu hawakupenda hilo jina
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom