relax babuNilidhani ni mimi tu....
But I have said several times...kuwa mzazi ni zaidi ya kujua kumshughulikia mama watoto kama ambavyo baadhi ya watu wanahisi....
Linapokuja suala la watoto, I should confess that my emosions are weaker than nothing else.....!!
Babu DC!!
Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
Kama hii story ni ya kweli natamani kukuita mpumbavu lakini najua nikikutukana nitaendelea kukuumiza zaidi. Kama ni kweli, kuna mapungufu mengi sana nayaona.
1. Mtu ameshakuambia ni rafiki sana na baba yako, yaani Dr. kwa nini akuombe wewe namba ya simu si ungemwambia huikumbuki ampigie tu baba?
2. The following day alipopiga simu ukapokea akaomba kuongea na Kaunga ukasema ndio wewe akakumbia njoo hotel ukajibu sawa... nini kiliendelea, ulikwenda?
3. Alipokuja nyumbani ukamuona ukaenda jikoni baada ya kuitwa na baba ukakataa mama alipoinsist si ungemweleza?
4. Ulipoongozana naye kulikuwa na ulazima gani wa kuingia ndani wakati ulishajua nia yake? Kwani hiyo chupa ulishindwa kumwambia akuletee nje akikataa unaachana nayo unarudi nyumbani unakimbia na kuwaeleza wazazi wangekuelewa tu kwani hata wao wangeshangaa ni kwanini akulazimishe kuingia ndani wakati yuko peke yake
5.Baada ya kufanyiwa kitendo hicho kwa nini usingerudi unalia ukawaeleza wazazi au ulikifuarahia?
6. Hivi pana umbali gani kati ya kwenu na kwa huyo mbaba, je wazazi hawakushtuka muda uliotumia against muda ambao ungetumia kwa kuchukua chupa ya kinywaji na kurudi?
Yapo mengi ya kujiuliza ndo maana nikatamani kusema wewe ni mpumbavu lakini nikaghairi. Wala sikupi pole.
mimi mwenyewe nimenusurika kubakwa juzi babu na uzee huu.wanaume wapuuzi kweli except u
It is a true story.
Kama hii story ni ya kweli natamani kukuita mpumbavu lakini najua nikikutukana nitaendelea kukuumiza zaidi. Kama ni kweli, kuna mapungufu mengi sana nayaona.
1. Mtu ameshakuambia ni rafiki sana na baba yako, yaani Dr. kwa nini akuombe wewe namba ya simu si ungemwambia huikumbuki ampigie tu baba?
2. The following day alipopiga simu ukapokea akaomba kuongea na Kaunga ukasema ndio wewe akakumbia njoo hotel ukajibu sawa... nini kiliendelea, ulikwenda?
3. Alipokuja nyumbani ukamuona ukaenda jikoni baada ya kuitwa na baba ukakataa mama alipoinsist si ungemweleza?
4. Ulipoongozana naye kulikuwa na ulazima gani wa kuingia ndani wakati ulishajua nia yake? Kwani hiyo chupa ulishindwa kumwambia akuletee nje akikataa unaachana nayo unarudi nyumbani unakimbia na kuwaeleza wazazi wangekuelewa tu kwani hata wao wangeshangaa ni kwanini akulazimishe kuingia ndani wakati yuko peke yake
5.Baada ya kufanyiwa kitendo hicho kwa nini usingerudi unalia ukawaeleza wazazi au ulikifuarahia?
6. Hivi pana umbali gani kati ya kwenu na kwa huyo mbaba, je wazazi hawakushtuka muda uliotumia against muda ambao ungetumia kwa kuchukua chupa ya kinywaji na kurudi?
Unajua unaweza ukamhukumu mtu, bila sababu yoyote, Mm siwezi mlaumu Kaunga kwa sababu wazee wote wa zamani walikuwa hawasikilizi watoto wao. ilikuwa kila kitu ni ukali kwenda mbele hata kama ukitaka kumwambia kitu yeye ni ukali tu. sasa inawezekana kabisa Kaunga aliogopa kusema kutokana na ukali wa wazazi wake.
Unakuta mtu kakufanyia ubaya lakini unaanza kuwaza utamwambia vipi mzazi wako, na je ukimwambia atalichukuliaje, je atakuadhibu kwa kiasi gani, sasa pale unaingiwa na uwoga na unakaa kimyaa, na kuvumilia maumivu.
mimi kuna jirani yetu ni mbaba alinishika ziwa, nikaenda kusema kwa mdingi ile namaliza kusema tu nilipigwa kibao mpaka nikawa naona nyenze, nikajuta kusema hayo, na bado nilikandamizwa kuulizwa nilifuata nn kule, na nikaambia ni muongo nataka kuharibu mahusiano kati yao, na kumtia mzee aibu pale mtaani, Je lingetokea kubwa kama la Kaunga ningeweza kusema? So usimlaumu bila kujua malaze yake.
NAOMBA WAZAZI TUSIWE WAKALI KUPITA KIASI, HII INAPELEKEA MTOTO KUTOWEZA KUONGEA NA WEWE.
Hata ningepiga, sauti isingetoka kwenye jumba kubwa licha ya compound.
Pia niliona nitaabika mwenyewe, nilienda kufanyeje?
Sikuona, na sitampa!
mimi mwenyewe nimenusurika kubakwa juzi babu na uzee huu.wanaume wapuuzi kweli except u
duh so unaona ni sawa mkuu?.....lol,
Nipo hapa kijijini na wajukuu twanywa uji mara; '.....kuku dume (jogoo) kambaka kuku jike mbele ya wanawe (vifaranga) na jamaa zao ...' .same applies kwa paka, mbwa, nyani dume etc....
Nature at its best!