This is how l lost it.....

This is how l lost it.....

Nashangaa hata hukupiga mayowe!!

Hata ningepiga, sauti isingetoka kwenye jumba kubwa licha ya compound.
Pia niliona nitaabika mwenyewe, nilienda kufanyeje?
 
Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.

pole sana ,,,,,,,, haya mambo yananipaga huzuni sana..... na most of the time anayekufanyia hivyo anakuwa mtu wa karibu na familia.
 
Inaogopesha how easy watoto wa kike tunavyoingia mtegoni....really scary.....wengi tumelaghaiwa hivyohivyo hata kama si kwa kubakwa
Asante kwa kushare na pole
 
Uliona utam au hukuona?
Je ukikutananae semina nje ya nchi, utampa au hutampa?!
 
Pole sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Copy kwa Asprin na wapenda lager wote wenye mabinti.
Kaunga, Kaunga Kaunga...... !

Tuna nini mimi na wewe? Kikombe alichonipa baba, sitakinywa?

Popote pale ulipo Kaizer, hebu kuja pande hii.

Baada ya kusema hayo, Eeeh Mola nakuomba uwanusuru mabinti zangu Matesha na Mamshanga. Watie upofu mabazazi KakaKiiza na Mwanaizaya Superman wasiwaone kwa macho yao. Walemaze vikojoleo Fidel80 na mzabzab ili hawa mabinti waolewe wakiwa na bikra zao. AMINA!

Hebu kam zi wei Kaunga tutete jambo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Usijali Innocent, just wanted to share my story; unajua watu wengi wanasema 1st love wao penzi haliishi so nikaona niwape uzoefu mwingine wa 1st man wangu.
Pia ni onyo tu kwa wazazi, baba yangu angejua naona angejichukia mpaka basi.
Come on Kaunga, this must be a fiction, right?
 
Last edited by a moderator:
Hii story inatisha especially kwa mzazi mwenye kabinti kake!

Hapa mie nahisi kutetemeka....!


Babu DC!
Pole, mabinti wa siku hizi wajanja sio mabozo kama mimi; na who knows maybe ningeweza kukataa (hofu ndio iliyonitanda), huwa narudisha mkanda nyuma na most of the time najilaumu mwenyewe zaidi.
 
It is a true story.
Am shocked! Thats what I can say, at least for now. Ila Kaunga tutake radhi tunaopenda kalaga..... tunaweza kuwa wakatili lakini si kwa kiwango cha huyu bazazi.....

You have just killed my biological capability!! Ngoja nikazimue.

BTW waweza nipa contacts za huyo mwanaizaya? Niko radhi kwenda motoni kwa kuuondoa uhai wake. I HATE HIM!!
 
Kaunga pole sana. Ama kweli watoto wa kike wana kazi. Embu nikuulize kitu, Did it haunt you? As in katika mahusiano yako ya baadaye na wanaume wengine? Something similar kidogo na yako ilimtokea someone close to me so nataka nipate experience yako na wewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom