Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Dr Slaa atakuwa na kura yangu.
Msije kuanza kuwagombanisha Chadema
Dr Slaa atakuwa na kura yangu.
Poleni sana wana JF. Mimi nadhani bado tunahitaji kufanya utafiti wa kina kuhusu mgombea wa uraisi ajaye. Kwa sababu hao wote mliowataja hakuna anayefaa katika TZ ya sasa iliyojaa ufisadi uliokithiri. Asilimia 90 ya watanzania ni mafisadi kwa level zao. Kuna wale wanaokula hadi wanajipaka kama akina Chenge, kuna wale wa elfu mbilimbili kama Polisi, Kuna wengi wanaofanya ufisadi kwa kuzembea kazi,Ili mradi wote ni mafisadi tu. Nimesema hivyo kwa sababu nina imani kubwa kwamba tatizo letu kubwa ni CCM sio uraisi. Inapotokea kwamba watu wanaanza kupigia debe watu wa CCM tena. Nasikia kichefuchefu. Dawa ni kuiondoa CCM sio uraisi wa 2010 after all 2010 ni muda mfupi sana mabadiliko hayaji kwa staili hiyo. Kwa watu waliosoma Change Management nadhani wanajua vizuri sana ninachoongea. JF naomba ielimishe wanainchi wawe tayari kufanya mabadiliko, siyo kutukana kwamba ni vipofu hatuna akili. Hata ukienda sehemu yenye Maprofesa kama wengi mnavyopenda CV za Maprofesa bado kuna watu wanaoogopa Mabadiliko. KItila Mkumbo analijua hilo. Please, Kitila andaa watu wakubali mabadiliko kwanza. Otherwise tunatwanga maji kwenye kinu. Mtu bila aibu unatoa CV ya mtu aliyekuwa mkurugenzi au mwenyekiti wa makampuni yote marehemu. Inatoa picha gani? Be serious please!!!!!!

1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba
Naomba tuwe na List ya Maana
Kama kawaida yako umetokezea na madai yako yenye chuki za kidini na kikabila. Sema tu kwanini humpendi Mbowe na sio kusingizia mambo ya shule na upupu mwingine!
Siraa hafai kuwa raisi aendelee kuwa mbunge, mimi nasisitiza hiki kila siku watu kama siraa na zito lazima waendelee kuwa bungeni na sio kutafuta uraisi.
Nakubaliana na wewe kabisaa. Haya mambo ya kudandia watu kwa kelele za siku moja mbili yatatupeleka kule kwa CHILUBA.
Tunaomba pia uje na hayo maoni kuwa aprove kivipi!
MWK,
Nafikiri nimeshataja sababu zangu za kwa nini hafai, labda ni wewe utuonyeshe wapi nimeweka chuki za kidini na kikabila kwenye posting yangu.
________________________
Kubwa Jinga ndani ya Nyumba Mzee!
Na ile picha yako mbona umeiondoa bana?
MWK,
Nafikiri nimeshataja sababu zangu za kwa nini hafai, labda ni wewe utuonyeshe wapi nimeweka chuki za kidini na kikabila kwenye posting yangu.
________________________
Sawa basi lakini ubovu wa kiongozi unatakiwa u unalyze halafu utu convince na sio kumchukia mtu tu bila sababu!EL nuksi. Nfuu hii nikiwa supamarketi ya kijijini kwetu, Kilwa.
Kwa vile hajakamata madaraka makubwa yoyote zaidi ya kanisani, angalau ingekuwa vema akapewa uenyekiti wa CHADEMA (kama ilivyo UK) ili apate nafasi ya kuipandisha CHADEMA chati, kuondoa madukudu ndani yake, kuongeza wanachama, kuweka dira zinazoeleweka za kila suala n.k., n.k.
Sawa basi lakini ubovu wa kiongozi unatakiwa u unalyze halafu utu convince na sio kumchukia mtu tu bila sababu!
Huyu bwana amewatumikia wananchi kwa namna zote zenye kumfanya aqualify kuendelea kuwatumikia kwenye ngazi yoyote ile provided anakuja na plan ya ni kwavipi atauzika ufisadi for once and for all!
Wenzetu wana usemi kuwa..We gonna judge you based on your character and nothing else.. Wanakusilkiliza kwanza kwamba utawafanyia nini na si assumption tulizozizoea za kutajana majina based na nafasi za kifisadi walizokuwa nazo before!
Ni lazima tuaminiane sisi wenyewe kwa wenyewe...Kuondokana na fikra kuwa viongozi wanazaliwa viongozi!
Kwamba no matter what they do or say wao bado watakuwa viongozi tu!
Hii ni risk ambayo watanzania tuna kila haki ya kuichukua!
Its time to now think outside the box!
Lakini ukilinganisha na Salim A. Salim, tofauti zao zinakuwa ni kubwa mno. Kwangu mimi SAS anafaa zaidi. Sababu nilizimwaga hapo awali.