The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba

Naomba tuwe na List ya Maana
 
Tuweke CV na pia vigezo. Tunahitaji hasa hasa RAIS wa tanzania awe na vigezo/Uwezo upi?

Lakini pia tunahitaji midahalo ya kutosha 2010 na watanzania inatakiwa tuwe wakali sana kwa hili.
 
Anybody except CCM wakae ubaoni kwanza ndio watapata akili nzuri. Angalia UK G. Brown na Labour wako hoi hivi sasa wanataka kumtosa G. Brown na kuchagua kiongozi mwingine baada ya kugalagazwa na Tory.
 
Mkuu ndio tunasema hakuna maendeleo bila CCM kuona kama kuna hatari ya kupoteza. tutaendelea kutokwa jasho wao wanakula tu. Sasa hivi kila mtanzania aliye na Ummeme anamlipa RA, karamagi, EL na wengine.

Unaweza kuona ni kwa jinsi gani watu wa kawaidsa tutakavyo endelea kuenyeka wakati wao wanatajirika. hivyo hivyo Mkapa ametega kwenye services ambazo ni muhimu sana.

Cha maana lazima hili nchi ya tanzania iendelee hatutakiwi kumwangalia mtu usoni.

Matatizo yote yanayopatikana yanatokana na wanachama wa CCM kutokuwa makini siyo kwamba wana faida na hili ni basi tu ukeleketwa(ambao mimi nauhita ni utumwa).

Hili kuondoa hili na kubadilisha maisha ya mtanzania hatuna budi kuhakikisha kwa kushirikiana na watu ambao ni CCM damu damu tunaondoa chama cha mapinduzi madarakani angalau miaka miatano tu.

hapa tutapata katiba mpya yenye mwelekeo wa kitaifa na kimaendeleo.

Hapa kila kiongozi ataye ingia atakuwa kwenye control ya wananchi na siyo mafisadi
 
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba

Naomba tuwe na List ya Maana

Unataka kuchekesha watu sasa yaani unamtaja hata Mwandosya ?Kwa utendaji gani ? Yaani pamoja na moto wa Rada unao kuja bado unamtaja huyu jamaa ? Kwanza kumbuka haya majina yalisha kuja hapa na sasa unaturudisha nyuma sasa .Salim hafai , Mwandosya na Maguifuli hawafai.

Hawa si wasafi zaidi ya CCM .CCM ni chafu haiwezi tena kumtoa Rais msafi .CCM need an overhauling .
 
Unataka kuchekesha watu sasa yaani unamtaja hata Mwandosya ?Kwa utendaji gani ? Yaani pamoja na moto wa Rada unao kuja bado unamtaja huyu jamaa ? Kwanza kumbuka haya majina yalisha kuja hapa na sasa unaturudisha nyuma sasa .Salim hafai , Mwandosya na Maguifuli hawafai .Hawa si wasafi zaidi ya CCM .CCM ni chafu haiwezi tena kumtoa Rais msafi .CCM need an overhauling .

Mkulu umewakataa walio tajwa na Mstahiki je una alternative?
tupe majina basi
 
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba

Naomba tuwe na List ya Maana

Ni Pinda na Salim tu pekee ndio wanaofaa kwenye hiyo list. Wengine either ni wachafu au hawana CV za kuongoza nchi.

Shida ya pinda ni kukosa vision na ushamba. Ushamba bado umemzidi kwa sana na ndio maana hana cha kuonyesha zaidi ya madaraka aliyozawadiwa. Salim will probably be the best prsident we had ever had.
 
Unaangalia CCM tu! Hivi umechukua vigezo gani kufikia coclussion kuwa Salimu anaweza?
 
CV YA PROF M.J. MWANDOSYA

A: Binafasi
Jina: MWANDOSYA, Mark, James
Tarege ya kuzaliwa: 28 Decemba, 1949
Mahali pa kuzaliwa: Mbeya
Maelezo ya Familia: Ameoa na tuna watoto watatu

B: Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Majengo, Mbeya, 1957-1958
Shule ya Msingi Chunya, 1959-1960
Shule ya Kati Chunya, 1961-1964

Elimu ya Sekondari: Shule ya Sekondari, Malangali, 1965-1968
Chuo cha Ufundi Dar ex Salaam, 1969-1970

Elimu ya juu: Chuo Kikuu cha Aston, Uingereza, 1971-1974
Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, 1974-1977

Shahada: Sahada ya Uhandisi Umeme ya Chuo Kikuu cha Aston, (Bachelor of Science 1st Class Honours, University of Aston), 1974.

Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu cha Birmingham (Doctor of Philosophy in Electronic and Electrical Engineering, University fo Birmingham), 1977.

C: Uzoefu katika kazi na Uongozi
(i) Kazi:
1. Waziri wa Maji na Umwagiliaji (2008 - )
2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi – Mazingira (2005 – 2008)
3. Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi (2000- 2005)
4. Mbunge wa Rungwe Mashariki (2000– mpaka sasa)
5. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (2002– mpaka sasa)
6. Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara, (1992-1993)
7. Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Nishati na Madini, (1990-1992)
8. Kamishna wa Nishati na Petroli, Wizara ya Nishati na Madini, (1985-1990)
9. Mkurugenzi, Kituo cha Nishati, Mazingira, Sayansi na Teknolojia (CEEST), (1993-2000)
10. Profesa wa Uhandisi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1987-2000)
11. Profesa Mshiriki wa Uhandisi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1983-1987)
12. Mtafiti (sayansi), Chuo Kikuu cha Princeton, Marekani (1983-1984)
13. Mhadhiri Mwandamizi (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1980-1983)
14. Mhadhiri (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1977-1978)
15. Mhandisi, Kampuni ya General Electric Company, Manchester, Uingereza (1977-1978)
16. Mhadhiri Msaidizi (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1976-1977)

(ii) Uongozi
1. Mwenyekiti, Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
2. Mwenyekiti, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, (1996-2000)
3. Mwenyekiti, Kituo cha Nishati, Mazingira, Sayansi na Teknolojia, (1993-2000)
4. Mwenyekiti, Kampuni ya Siemens (Tanzania) Ltd, (1999-2000)
5. Mwenyekiti, Kampuni ya Kibo Paper Industries Ltd, (1995-1998)
6. Mwenyekiti, Kampuni ya Williamson Diamond Company Ltd. (1990-1992)
7. Mwenyekiti, Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda, (Tanzania Industrial Research and Development Organization), (1994-1998)
8. Mwenyekiti, Tanzania na Italian Petroleum Refinery (TIPER), (1987-1993)
9. Mwenyekiti, Mamlaka ya Maji Mijini (NUWA), (1991-1993)
10. Mwenyekiti, Bodi ya Utawala ya Chuo cha Biashara (1992-1993)
11. Mwenyekiti, Kampuni ya Gesi (GASCO), (1998-2000)
12. Mwenyekiti, Kamati ya Kutayarisha Sera ya Nishati, (1998-1991)
13. Mwenyekiti wa Kundi la Nchi zinazoendelea (G77) na Msemaji Mkuu wa nchi hizo na China katika majadiliano ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani, (1997)
14. Mwenyekiti, Timu iliyoandaa Itifaki ya Sekta ya Nishati ya Jumuia ya Maendeloeo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
15. Makamu Mwenyekiti, Tume ya Taifa ya UNESCO, (1983-1988)
16. Makamu Mwenyekiti, Shirika la Maendeleo la Taifa, NDC. (1992-1993)
17. Makamu Mwenyekiti, Bodi ya Wadhamini, Southern African Development through Electricity (SADELEC) ya Afrika ya Kusini, (1994-1998)
18. Kamishna, Tume ya Rais ya kurekebisha Mashirika ya Umma, (1996-1999)
19. Kamishna, Tume ya Mawasiliano, (1999-2000)
20. Mkurugenzi, TAZAMA Pipeline Ltd, (1987-1993)
21. Mkurugenzi, National Textile Corporation TEXCO, (1993)
22. Mkurugenzi, Tanzania Zambia Railwany Authority TAZARA (1992-1993)
23. Mkurugenzi, Shirika la Posta na Simu, TPTC, (1981-1986)
24. Mkurugenzi, Shirika la Ugavi wa Umeme, TANESCO, (1985-1990)
25. Mkurugenzi, Shirika la Maendeleo ya Petroli, TPDC, (1985-1990)
26. Mkurugenzi, Kilwa Ammonia Company Ltd (KILAMCO), (1985-1990)
27. Mkurugenzi, Standard Chartered Bank Tanzania Ltd, (1999-2000)
28. Mkurugenzi, AGIP (Tanzania) Ltd, (1989-1991)
29. Mjumbe, Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1994-2000)
30. Mjumbe, Baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (1994-2000)
31. Mjumbe, Baraza la Utawala IDM- Mzumbe, (1992-1993)
32. Mjumbe, Baraza la Utafiti wa Kisayansi, (Tanzania National Scientific Research Council), (1981-1983-1987-1990)
33. Mjumbe, Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia, Tanzania Commission for Science and Technology (1987-1990)
34. Mjumbe, Timu ya Kuandaa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025
35. Mjumbe, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, NEMC (2000)

(iii) Uwakilishi wa Nchi katika Mikutano ya Kimataifa
1. Mkutano Mkuu wa 20 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Paris, France, Novenmba 1978.
2. Mkutano Mkuu wa 21 wa UNESCO, Belgrade, Yugoslavia, Oktoba 1980.
3. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati mpya na Nishati Mbadala, Nairobi, Kenya Agosti 1981.
4. Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati Mbadala, Rome, Italia, June 1982.
5. Mkutano mkuu (wa dharura) wa UNESCO, Paris, Novemba 1982.
6. Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati Mb adala, New York, Mei 1984.
7. Mkutano wa UNESCO wa Mawaziri wa Afrika wa Sayansi na Teknolojia, Arusha, Julai 1987.
8. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Berlin, Ujerumani, April 1995.
9. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi, Desemba, 1996.
10. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Kyoto, Japan, Novemba 1997.
11. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Buenos Aires Argentina, Oktoba 1998.
12. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Bonn, Ujerumani, Oktoba 1999.
13. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na Viwanda ya Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), (1985-1992)
14. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na viwanda ya Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika 1993.
15. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na viwanda ya Preferential Trade Area (sasa COMESA) 1993.
16. Ameongoza ujumbe wa Tanzania katika majadiliano ya Benki ya Dunia (World Bank) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank (ADB) kuhusu mikopo nafuu kuendeleza na kuboresha usambazaji wa umeme na petroli, 1988-1992.
17. Ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mikutano mbalimbali ya Kimataifa inayohusu usafiri wa anga, maendeleo ya simu duniani, bandari, maendeleo ya reli.
18. Amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa kuhusu Habari na Mawasiliano, Geneva, Uswisi, Desemba 2003 nikimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

D: Ushauri (Consultancy)
i. Ametoa ushauri wa kitaalamu kwa vipindi mbali mbali kwa serikali za nchi zifuatazo: Namibia, Zimbabwe, Eritrea.
ii. Ametoa ushauri wa kitaalamu kwa mashirika ya kimataifa yafuatayo: UNDP, UNEP, UNESCO, GTZ, USCSP, GEF, SADC, OAU, UNECA.
iii. Aliongoza timu ya wataalamu tuliandaa Makataba wa Ushirikiano katika Nishati na Maliasili wa Umoja wa Nchi za Kiafrika (OAU)
iv. Ameandaa rasimu ya mkataba wa ushirikiano katika Nishati na Maliasili wa Umoja wa Nchi za Kiafrika (OAU)

E: Uzoefu katika Siasa
1. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (2002- mpaka sasa)
2. Mwanachama wa CCM (1977- mpaka sasa)
3. Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Rungwe
4. Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Umoja wa Vijana wa CCM Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam
5. Naibu Kamanda wa Vijana wa CCN Wilgya ya Rungwe (1998 mpaka Machi 2000)
6. Mwanachama wa TANU (1971-1977)
7. Mwanachama, Umoja wa Vijana wa TANU (1967-1971)
8. Makamu wa Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa TANU, Tawi la shule ya Sekondari ya Malangali, (1967-1968)
9. Mwenyekiti Umoja wa Wanafunzi wa Afrika chuo Kikuu cha Birmingham, 1975

F: Mada, Maandishi na vitabu
1. Mada: Ameandika na kuchapisha mada 36 katika majarida ya kitaalamu nchini na nchi za nje.
2. Ripoti za Utafiti: Ripoti 12 za Utafiti mbali mbali zimechapishwa ndani na nje ya nchi.
3. Uhariri: Amehariri majarida na vitabu 8
4. Vitabu: Ameandika vitabu 10 katika uhandisi, nishati, mazingira na maendeleo.

Kwa vitabu na Publications nenda http://books.google.com halafu Search Mwandosya utaona baadhi, na pia Amazon.com
 
Kuna fununu kwamba 2010 watajitokeza vijana wawili au mmoja (miaka 40 - 41) sijui tutamwangaliaje huyo, labda itabidi tutumie kanuni ya nabii Samwel
'Again, Jesse made seven of his sons to pass before Samuel. And Samuel said unto Jesse, The LORD hath not chosen these.

And Samuel said unto Jesse, Are here all thy children? And he said, There remaineth yet the youngest, and, behold, he keepeth the sheep. And Samuel said unto Jesse, Send and fetch him: for we will not sit down till he come hither.

And he sent, and brought him in. Now he was ruddy, and withal of a beautiful countenance, and goodly to look to. And the LORD said, Arise, anoint him: for this is he.'
(Samwel 16: 10-12)
 
Nadhani tuondea mafisadi waliobakia kwanza ndo tuwaze kuwa na mgombea anayefaa.Kwa kuwa mafisadi ni watu hatari sana na wana pesa nyingi(Pinda,2008).

Hawa wanaweza hata kuathiri uchaguzi wa candidate bora wakiendelea kuwepo ktk uongozi wa nchi hii na ktk vyama vyetu siasa.

Kama watu wa Monduli na bariadi wanapewa vijisenti na kujipanga barabarani wakiungua jua huoni kwamba bado tuna kazi ya kuwaondoa hawa mafisadi wasitumie hizo fedha haramu kuwanunua wananchi?

Pia lile suala mgombea binafsi lazima lieleweke ili wakileta zengwe ndani ya vyama,basi unasimama kama mgombea huru
 
CV YA PROF M.J. MWANDOSYA

A: Binafasi
Jina: MWANDOSYA, Mark, James
Tarege ya kuzaliwa: 28 Decemba, 1949
Mahali pa kuzaliwa: Mbeya
Maelezo ya Familia: Ameoa na tuna watoto watatu

B: Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Majengo, Mbeya, 1957-1958
Shule ya Msingi Chunya, 1959-1960
Shule ya Kati Chunya, 1961-1964

Elimu ya Sekondari: Shule ya Sekondari, Malangali, 1965-1968
Chuo cha Ufundi Dar ex Salaam, 1969-1970

Elimu ya juu: Chuo Kikuu cha Aston, Uingereza, 1971-1974
Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, 1974-1977

Shahada: Sahada ya Uhandisi Umeme ya Chuo Kikuu cha Aston, (Bachelor of Science 1st Class Honours, University of Aston), 1974.

Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu cha Birmingham (Doctor of Philosophy in Electronic and Electrical Engineering, University fo Birmingham), 1977.

C: Uzoefu katika kazi na Uongozi
(i) Kazi:
1. Waziri wa Maji na Umwagiliaji (2008 - )
2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira (2005 2008)
3. Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi (2000- 2005)
4. Mbunge wa Rungwe Mashariki (2000 mpaka sasa)
5. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (2002 mpaka sasa)
6. Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara, (1992-1993)
7. Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Nishati na Madini, (1990-1992)
8. Kamishna wa Nishati na Petroli, Wizara ya Nishati na Madini, (1985-1990)
9. Mkurugenzi, Kituo cha Nishati, Mazingira, Sayansi na Teknolojia (CEEST), (1993-2000)
10. Profesa wa Uhandisi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1987-2000)
11. Profesa Mshiriki wa Uhandisi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1983-1987)
12. Mtafiti (sayansi), Chuo Kikuu cha Princeton, Marekani (1983-1984)
13. Mhadhiri Mwandamizi (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1980-1983)
14. Mhadhiri (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1977-1978)
15. Mhandisi, Kampuni ya General Electric Company, Manchester, Uingereza (1977-1978)
16. Mhadhiri Msaidizi (Uhandisi Umeme), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1976-1977)

(ii) Uongozi
1. Mwenyekiti, Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
2. Mwenyekiti, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, (1996-2000)
3. Mwenyekiti, Kituo cha Nishati, Mazingira, Sayansi na Teknolojia, (1993-2000)
4. Mwenyekiti, Kampuni ya Siemens (Tanzania) Ltd, (1999-2000)
5. Mwenyekiti, Kampuni ya Kibo Paper Industries Ltd, (1995-1998)
6. Mwenyekiti, Kampuni ya Williamson Diamond Company Ltd. (1990-1992)
7. Mwenyekiti, Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda, (Tanzania Industrial Research and Development Organization), (1994-1998)
8. Mwenyekiti, Tanzania na Italian Petroleum Refinery (TIPER), (1987-1993)
9. Mwenyekiti, Mamlaka ya Maji Mijini (NUWA), (1991-1993)
10. Mwenyekiti, Bodi ya Utawala ya Chuo cha Biashara (1992-1993)
11. Mwenyekiti, Kampuni ya Gesi (GASCO), (1998-2000)
12. Mwenyekiti, Kamati ya Kutayarisha Sera ya Nishati, (1998-1991)
13. Mwenyekiti wa Kundi la Nchi zinazoendelea (G77) na Msemaji Mkuu wa nchi hizo na China katika majadiliano ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani, (1997)
14. Mwenyekiti, Timu iliyoandaa Itifaki ya Sekta ya Nishati ya Jumuia ya Maendeloeo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
15. Makamu Mwenyekiti, Tume ya Taifa ya UNESCO, (1983-1988)
16. Makamu Mwenyekiti, Shirika la Maendeleo la Taifa, NDC. (1992-1993)
17. Makamu Mwenyekiti, Bodi ya Wadhamini, Southern African Development through Electricity (SADELEC) ya Afrika ya Kusini, (1994-1998)
18. Kamishna, Tume ya Rais ya kurekebisha Mashirika ya Umma, (1996-1999)
19. Kamishna, Tume ya Mawasiliano, (1999-2000)
20. Mkurugenzi, TAZAMA Pipeline Ltd, (1987-1993)
21. Mkurugenzi, National Textile Corporation TEXCO, (1993)
22. Mkurugenzi, Tanzania Zambia Railwany Authority TAZARA (1992-1993)
23. Mkurugenzi, Shirika la Posta na Simu, TPTC, (1981-1986)
24. Mkurugenzi, Shirika la Ugavi wa Umeme, TANESCO, (1985-1990)
25. Mkurugenzi, Shirika la Maendeleo ya Petroli, TPDC, (1985-1990)
26. Mkurugenzi, Kilwa Ammonia Company Ltd (KILAMCO), (1985-1990)
27. Mkurugenzi, Standard Chartered Bank Tanzania Ltd, (1999-2000)
28. Mkurugenzi, AGIP (Tanzania) Ltd, (1989-1991)
29. Mjumbe, Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (1994-2000)
30. Mjumbe, Baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (1994-2000)
31. Mjumbe, Baraza la Utawala IDM- Mzumbe, (1992-1993)
32. Mjumbe, Baraza la Utafiti wa Kisayansi, (Tanzania National Scientific Research Council), (1981-1983-1987-1990)
33. Mjumbe, Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia, Tanzania Commission for Science and Technology (1987-1990)
34. Mjumbe, Timu ya Kuandaa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025
35. Mjumbe, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, NEMC (2000)

(iii) Uwakilishi wa Nchi katika Mikutano ya Kimataifa
1. Mkutano Mkuu wa 20 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Paris, France, Novenmba 1978.
2. Mkutano Mkuu wa 21 wa UNESCO, Belgrade, Yugoslavia, Oktoba 1980.
3. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati mpya na Nishati Mbadala, Nairobi, Kenya Agosti 1981.
4. Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati Mbadala, Rome, Italia, June 1982.
5. Mkutano mkuu (wa dharura) wa UNESCO, Paris, Novemba 1982.
6. Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Nishati Mb adala, New York, Mei 1984.
7. Mkutano wa UNESCO wa Mawaziri wa Afrika wa Sayansi na Teknolojia, Arusha, Julai 1987.
8. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Berlin, Ujerumani, April 1995.
9. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi, Desemba, 1996.
10. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Kyoto, Japan, Novemba 1997.
11. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Buenos Aires Argentina, Oktoba 1998.
12. Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Bonn, Ujerumani, Oktoba 1999.
13. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na Viwanda ya Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), (1985-1992)
14. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na viwanda ya Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika 1993.
15. Mikutano ya Maafisa na ya Mawaziri wa Biashara na viwanda ya Preferential Trade Area (sasa COMESA) 1993.
16. Ameongoza ujumbe wa Tanzania katika majadiliano ya Benki ya Dunia (World Bank) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank (ADB) kuhusu mikopo nafuu kuendeleza na kuboresha usambazaji wa umeme na petroli, 1988-1992.
17. Ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mikutano mbalimbali ya Kimataifa inayohusu usafiri wa anga, maendeleo ya simu duniani, bandari, maendeleo ya reli.
18. Amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa kuhusu Habari na Mawasiliano, Geneva, Uswisi, Desemba 2003 nikimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

D: Ushauri (Consultancy)
i. Ametoa ushauri wa kitaalamu kwa vipindi mbali mbali kwa serikali za nchi zifuatazo: Namibia, Zimbabwe, Eritrea.
ii. Ametoa ushauri wa kitaalamu kwa mashirika ya kimataifa yafuatayo: UNDP, UNEP, UNESCO, GTZ, USCSP, GEF, SADC, OAU, UNECA.
iii. Aliongoza timu ya wataalamu tuliandaa Makataba wa Ushirikiano katika Nishati na Maliasili wa Umoja wa Nchi za Kiafrika (OAU)
iv. Ameandaa rasimu ya mkataba wa ushirikiano katika Nishati na Maliasili wa Umoja wa Nchi za Kiafrika (OAU)

E: Uzoefu katika Siasa
1. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (2002- mpaka sasa)
2. Mwanachama wa CCM (1977- mpaka sasa)
3. Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Rungwe
4. Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Umoja wa Vijana wa CCM Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam
5. Naibu Kamanda wa Vijana wa CCN Wilgya ya Rungwe (1998 mpaka Machi 2000)
6. Mwanachama wa TANU (1971-1977)
7. Mwanachama, Umoja wa Vijana wa TANU (1967-1971)
8. Makamu wa Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa TANU, Tawi la shule ya Sekondari ya Malangali, (1967-1968)
9. Mwenyekiti Umoja wa Wanafunzi wa Afrika chuo Kikuu cha Birmingham, 1975

F: Mada, Maandishi na vitabu
1. Mada: Ameandika na kuchapisha mada 36 katika majarida ya kitaalamu nchini na nchi za nje.
2. Ripoti za Utafiti: Ripoti 12 za Utafiti mbali mbali zimechapishwa ndani na nje ya nchi.
3. Uhariri: Amehariri majarida na vitabu 8
4. Vitabu: Ameandika vitabu 10 katika uhandisi, nishati, mazingira na maendeleo.

Kwa vitabu na Publications nenda Google Books halafu Search Mwandosya utaona baadhi, na pia Amazon.com

Huyu jamaa anatufaa based on the maendeleo aliyopeleka kwao. Jamaa anakubalika as amekuwa akisaidia swala la elimu kwa wananchi wa jimbo lake. Vijana wengi wa kinyakyusa kule kijijini kwetu wamepelekwa elimu za juu na huyu jamaa.

Na jamaa amekuwa akihakikisha wanakwenda shule..!! Kwa hiyo mimi nimemkubali katika nyanja hiyo, i.e. kupenda elimu. Uongozi wa kina JK na Mkapa umekuwa ukidumaza sana elimu ya juu. Wao wamekuwa wakijipendekeza kwa wanakijiji kwa kujifanya wanapenda sana elimu ya sekondari.

Na cha kuchekesha wamekuwa wakiwasukumizia wananchi mzigo wa kuziendesha hizoo shule. JK na Mkapa wamekuwa na sera za kubana mikopo na hata access ya mikopo ya elimu za juu. Wakati nchi inakuwa na maendeleo zaidi pale unapokuwa na wasomi wengi. Wanafunzi wa elimu za juu wamekuwa na matatizo kila kukicha, but hakuna rais ambaye amewahi kuonyesha concern ya matatizo yao. Ukienda vyuo kama mlimani utakuta hata majengo ni issue..!! Nahisi hata kwa vyuo vingine ni the same.

Wanafunzi wanagombea viti as if ni chekechea..!!! Aibu sana, halafu watu wanaita billions vijisenti hali wangeweza kufanya maendeleo katika shule za msingi, sekondari na vyuo....!! So, kwa kigezo tu cha elimu, mimi namfagilia Mwandosya. JK nahisi kule kwake kunaongoza kwa kiwango duni cha elimu. Nahisi wananchi wanalalamika sana. BM sisemi..!!

Kwa kigezo cha misimamo ya maana na msingi, mimi namfagilia Salim Ahmed Salim. Huyu jamaa, hata wana-CCM wanamuogopa. Ni mtu anayebase mambo yake kwenye facts. Hata wale wa nchi za nje wanampa respect kutokana na misimamo yake.

Jamaa hashangai mzungu amekaa nao sana huko kwenye mijikutano. Manake hawa viongozi wetu ushamba umewazidi kiasi wakiona mzungu wanashangaa na kusahau kusoma mikataba, matokeo yake kila kitu wanajibu "ndiyo".

Conclusion: Mimi mpaka sasa natafuta mtu atakayekidhi vigezo vyote vya msingi (i.e. uadilifu na mwenye hofu ya Mungu, mpenda elimu, mpenda maendeleo ya wananchi, mzalendo asilia, mkemea maovu, asiyeweka ushikaji kwenye mambo ya msingi, asiyefagilia uswahili uliokithiri).

Manake hawa wandugu wanafit katika vigezo baadhi then vingine nakuwa sina uhakika kama wanafit. Kama kuna mwana JF anamfahamu mtu wa sampuli hiyo, amrushe mezani tumpigie kampeni..!!
 
tumeiona CV yake , lakini sisi ni nani hasa mpaka tukiuke maadili ya dunia ? Jimmy hakupingwa ila alishindwa Reagan ambaye 1976 alifanya haya mnayotaka yamtokee JK matokeo yake jimmy akamshinda Ford.

JF tuwe wadadavuzi na si washangiliaji hata pasipo na kweli .
 
Nadhani tuangalie kwanza sifa za mtu anayefaa kuwa rais kabla ya kuanza kuangalia majina ya watu
 
If only hawa viongozi wangetumia akili zao kuongoza na kufanya maamuzi makubwa ya hii nchi kama walivyozitumia kufaulu with honours, sidani kama tungekuwa hapa leo hii
 
CV peke yake hazitoshi, leteni visions zao.

CVs zingine zinafaa kuwa rais wa UNESCO lakini sio rais wa Tanzania.

Pia kwa jinsi CCM walivyo naona tunapoteza muda tu, tutajadili sifa za watu, baada ya muda wanaonekana mafisadi, wanajiuzulu, mijadala yote kuhusu wao kufaa urais inakuwa imepotea.

Labda kwasasa tumalize hivi vita vya mafisadi kwanza kabla hata ya kujua nani ataufaa 2010.
 
Huyu mwandosa based on CV, kweli alipaswa kuwa professor. Na nafikiri UD wangejivunia kuwa na professor wa namna hii.

Hivyo lazima tutake tusitake pale ambapo mwenzako amefanya vizuri lazima tumpongeze.

Vile vile nasita na ninasikitika ktk nchi masikini kama Tanzania tunapoteza watu. Huyu Mwandosa kwenda kwenye siasa tumepoteza hazina kubwa ktk taifa la tanzania.

Na sita kusema huyu hapaswi kuwa rais, huyu Mwandosa anafaa kuongoza vituo vya technologia nchini. Kama tungelikuwa tunawekeza katika sayansi huyu mwandosa angefaa kupewa vitengo hivyo hili aweze kushindana na ulimwengu.

Urais wa nchi zetu mala nyingi una ubabaishaji ndani yake, huyu hapashwi kuwa mtu wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom