The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Dr Slaa alivyosimama Mwembeyanga na kuwataja MAFISADI wakuu 11 wengi walidhani ataogopa, Hakuishia hapo Dr Slaa alikuja mpaka KLH News na Bongo Radio na kuendelea kuwasha moto.

Wakati huo hawa Majambazi wa CCM walikuwa hawaishi kuitisha mikutano na waandishi wa habari wakitishia kumshitaki, leo majambazi yote ya CCM bado yako kimya. Tunahitaji Rais mwenye courage, conviction na vision kama Dr Slaa.
 
Dr Slaa alivyosimama Mwembeyanga na kuwataja MAFISADI wakuu 11 wengi walidhani ataogopa, Hakuishia hapo Dr Slaa alikuja mpaka KLH News na Bongo Radio na kuendelea kuwasha moto. Wakati huo hawa Majambazi wa CCM walikuwa hawaishi kuitisha mikutano na waandishi wa habari wakitishia kumshitaki, leo majambazi yote ya CCM bado yako kimya. Tunahitaji Rais mwenye courage, conviction na vision kama Dr Slaa.

Mkuu umejenga point kubwa sana...

haya ninatengeneza bango kubwa na kuliweka kwenye yard yangu ..

Slaa 2010

Dr Slaa for president......
 
CCM wampitishe Dr Shein kuwa mgombea upresident mwaka 2010 na Upinzani wampitishe Prof Lipumba!..... hili ni pendekezo tu.

hapa mi naona CCM watakuwa wamesimamisha wagombe waili, coz hyo lipumba si ndo walewale au hujui?
 
Mwandosya - Based on Maendeleo aliyesaidia kuyaleta jimboni kwa kipindi kifupi tu, ujenzi wa madaraja, barabara, kueneza umeme jimbo zima (zimebakia sehemu mbili au mmoja nguzo nimeziona zinawekwa), minara ya simu jimboni (mawasiliano), Kujenga shule (na kuhakikisha zina waalimu na wanamaliza shule hawa vijana) na mengine mengi...so he can deliver because we have seen on the ground.

Ni msomi anayechangia jitihada za maendeleo hata akiwa mwanasiasa, bado anaendelea kuandika mada na publications za sector mbalimbali za maendeleo. Hii argument ya kusema wasomi wasiingie kwenye siasa ni kitu cha ajabu sana, mbona ame deliver sana tena mpaka Upinzani kule walimwambia aendelee na Ubunge akapita bila ya kupingwa.

Simply Mwandosya on the list. when we speak of vision, imsure if he chose to run(unlikely) he will say what his vision isfor the country. What has Salim done for the people lately (tusiseme kwasababu alikuwa nje, angeomba arudishwe nyumbani asaidie)
 
Mwandosya - Based on Maendeleo aliyesaidia kuyaleta jimboni kwa kipindi kifupi tu, ujenzi wa madaraja, barabara, kueneza umeme jimbo zima (zimebakia sehemu mbili au mmoja nguzo nimeziona zinawekwa), minara ya simu jimboni (mawasiliano), Kujenga shule (na kuhakikisha zina waalimu na wanamaliza shule hawa vijana) na mengine mengi...so he can deliver because we have seen on the ground. Ni msomi anayechangia jitihada za maendeleo hata akiwa mwanasiasa, bado anaendelea kuandika mada na publications za sector mbalimbali za maendeleo. Hii argument ya kusema wasomi wasiingie kwenye siasa ni kitu cha ajabu sana, mbona ame deliver sana tena mpaka Upinzani kule walimwambia aendelee na Ubunge akapita bila ya kupingwa.

mkuu heshima yako...
mi nakukumbusha tu maendeleo ya jimbo tofauti na maendeleo ya taifa. jombo ni sawa na tone, ila taifa ni sawa na bahari je huyo mwandosya ataweza?
kipimo chake kikubwa ni katika hili janga la kitaifa la ufisadi, je yeye kakemea nini? au uufisadi ye kwake si dhambi?

turudi kwa huyo salim...
ok kipindi kingi alikuwa nje ya nchi ila je kwa sasa yupo wapi?
na uozo unaofanywa na wenzie wa CCM ina maana hauoni? au ni unafiki tu?
 
Mimi sipingani nahilo, ila Je, Elimu imeshawafikia wapiga kura wengi walioko vijijini??? kwetu sisi tunaojua ku-internet tunafahamu maovu mengi sana yanayofanywa na Chama Cha Mfisadi mpaka ukaona hivi:-

SLAA/SALIM NDIO TICKET YA KUWAKOMBOA WATANZANIA WOTE!

Kumbuka Kwamba, wengi wetu humu, siyo wapiga kura japo tumejiandikisha na kadi tunazo. Sidhani kama siku yakwenda kupiga kura ukawa na dili eti ukaiacha ukaenda kujipanga mstari juani kisa unasubiri kupiga kura! natena tumejifunza "time is money"

Msimamo wangu mimi kama SAVIMBI, Dr. Slaa abakie BUNGENI na DR. SALIM muda wake ulishapita wala asitupotezee muda kumjadili!..hii ni sawa na kuanza kujadili eti Mzee Ruksa agombee uraisi tena ina maana wagombea wengine hamtuoni ama hatuna sifa??

Nimekaa Kimya lakini nalazimika kusema "Ninakosa imani kabisa na hawa watu wanaoendelea kushawishi eti Dr. Slaa aachie Ubunge, agombee Urais 2010.....nahisi kama vile ni miongoni mwa wale jamaa wa Green Guard, walipelekwa China, Cuba na Urusi ile ya wakati ule wakajifunza juu ya kuua vyama vya kisiasa, maana wale hutumia muda wao mwingi kujifanya ni wanachama hai na wenye ushawishi mkubwa kwa chama husika, watu wengi humsikiliza na kumwamini na kukubaliana na maneno yake kumbe anawatumbukiza kwenye moto!

1: Hapa kitu kipo wazi 2010 Dr. Slaa hawezi kupata 50% ya kura zote za Urais zitakazo pigwa,sababu mpaka sasa hakuna maandalizi yaliyokwishaanza kumwandaa Dr. Slaa for President 2010!!!!

2: CCM shabaha yao kubwa nikumwondoa Dr. Slaa Bungeni maana huko ndiko anakowamaliza na pia kupitia yeye Chadema ndiyo inaanza kufahamika Tanzania Bara, eti tena mtu unataka kumtoa Bungeni!
Sasa labda...ninyi Wenyechama mtupe maoni yenu mnaona je kuhusiana na hilo!

3: Maoni ni haki ya kila mtu, kupendekeza hivyo siyo vibaya, lakini kama unalengo na nia njema Mwacheni Slaa Bungeni, Chama kijengeke na mtakuwa mmejiwekea Nguvu ya Ushindani 2015 kuelekea White House.

4: Jamani, narudia tena japo nilishaeleza; Karatu hakuna mafuta wala mgodi, lakini ni Jimbo ambalo CCM wanalitaka kwa udi na uvumba, iwe hata kwa kupitia mgombea toka Chama Chochote kile Cha Upinzani, ilikuhakikisha Dr. Slaa anapoteza Ubunge, kwani kuwepo kwake Bungeni imekuwa nikikwazo kikubwa kwa Utawala wa CCM,sababu anafichua uchafu wao bila woga: Ndiyo maana mimi siungi mkono Dr. Slaa kugombea Urais 2010, acha afie Bungeni!!
 
mkuu heshima yako...
mi nakukumbusha tu maendeleo ya jimbo tofauti na maendeleo ya taifa. jombo ni sawa na tone, ila taifa ni sawa na bahari je huyo mwandosya ataweza?
kipimo chake kikubwa ni katika hili janga la kitaifa la ufisadi, je yeye kakemea nini? au uufisadi ye kwake si dhambi?

turudi kwa huyo salim...
ok kipindi kingi alikuwa nje ya nchi ila je kwa sasa yupo wapi?
na uozo unaofanywa na wenzie wa CCM ina maana hauoni? au ni unafiki tu?

Amekemea sana Ufisadi maana mafisadi yalitaka kumuondo kwa njia nyingi sana kule kwake, kweli Jimbo ni dogo lakini ameweza ku-deliver...tusipoangalia ni nini wameweza kufanya katika maeneo yao tunaona mambo kama haya yanayofanyika.

JK alikuwa Mbunge miaka nenda rudi..ni nini alisaidia huko? Ki-taifa nadhanii ita reflect ni timu gani mtu anaunda kumsaidia, inasaidia sana kuona mtu aliyechaguliwa na wananchi anatumia nafasi hiyo vizuri kuleta maendeleo.

Wanajimbo ni Watanzania kama sisi wengine...maendeleo kwao ni maendeleo kwetu 🙂
 
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba

Naomba tuwe na List ya Maana
Mbona Freeman hayumo humu? Ama CCM wamefanikiwa kumbomoa?
 
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba

1)tuanze na pinda...
mpaka sasa hana jipya alilolifanya, na hata huko nyuma hajafanya kitu cha kupelekea tumuite shujaa...hafai
2)john pombe magufuli...
ana kashfa ya kumuuzia mdogo wake nyumba, hivyo anaweza kuja kumalizia kuiuza nchi...hafai
3)salim a. salim...
alikuwa AU muda mwingi lakini je alifanya nini alipokuwa huko cha kuinufaisha nchi yake?...hafai
4)zitto kabwe...
ni shujaa, ila kwa sasa anatakiwa atafute viatu vya sokoine ndo aweze kutawala... tumpe muda wa kujijenga zaidi.
5)prof. mwandosya...
ni msomi namuheshimu, ila anautumiaje usomi wake kukemea maovu ya wadogo zake kielimu ambao wako nae katika zizi moja la CCM?...mwoga hafai
6)iddy simba...
sihitaji kumzungumzia, nadhani mnakumbuka kile kilichomfanya ajiuzuru uwaziri wa viwanda...hafai
7)DR wilbroad slaa...
nazani alishushwa toka mbinguni kuja kuongoza taifa hili, ni shujaa, sio mwoga, anakubalika, ni mtendaji, anajua mwongozo wa katika ya nchi, anajua sheria na hazipindishi, ana uelewa wa mapema, huyu anaweza kututoa shimoni tulikotumbukizwa...ANAFAA

I think this is the best analysis so far!
 
Dr Slaa,
unawasikia watanzania wanachosema?
uko tayari kulitumikia taifa katika ngazi hiyo?
utaliachia jimbo la karatu?
unazo resources?
ni nini vision yako?
ungependa kulipeleka taifa wapi?
vipi, mbowe atakuelewa ukichukua fomu?
chama chako kiko tayari kukukabidhi bendera?
ushirikiano wa vyama uliotuahidi kusimamisha mgombea mmoja uko tayari kusema wewe ndiwe?
serikali yako itakuwa mseto au chadema pure?
tutarajie nini kutoka kwako kuhusu zahama za mafisadi?
ni vipi utainua uchumi duni?
uteiboreshaje elimu, afya na huduma nyinginezo za jamii?
utakuwa na manifesto yako au utategemea ya chama tu?
unafikiri unao wasaidizi?
nani atakuwa mgombea mwenza wako?
baraza la mawaziri watakuwemo kina nani?
vipi madai ya katiba mpya?
vipi upambanuzi wa majukumu ya mihimili mitatu?

HE,MBONA HUJAJIBU ..aaa, kumbe sio mwanaJF, basi tafakari huko uliko.
Tena tangu sasa washa moto zaidi, huku ukijichunga kudondokewa aina yoyote ya tope.
Wasaalam,
nikumbuke katika u... wako
 
mkuu heshima yako...
mi nakukumbusha tu maendeleo ya jimbo tofauti na maendeleo ya taifa. jombo ni sawa na tone, ila taifa ni sawa na bahari je huyo mwandosya ataweza?
kipimo chake kikubwa ni katika hili janga la kitaifa la ufisadi, je yeye kakemea nini? au uufisadi ye kwake si dhambi?

turudi kwa huyo salim...
ok kipindi kingi alikuwa nje ya nchi ila je kwa sasa yupo wapi?
na uozo unaofanywa na wenzie wa CCM ina maana hauoni? au ni unafiki tu?

Mkuu,

Ukishindwa jimbo kama JK, kweli utaweza nchi? Watu tunaowachagua, angalau wawe wameweza kuleta maendeleo kwenye majimbo yao.
 
Mwandosya - Based on Maendeleo aliyesaidia kuyaleta jimboni kwa kipindi kifupi tu, ujenzi wa madaraja, barabara, kueneza umeme jimbo zima (zimebakia sehemu mbili au mmoja nguzo nimeziona zinawekwa), minara ya simu jimboni (mawasiliano), Kujenga shule (na kuhakikisha zina waalimu na wanamaliza shule hawa vijana) na mengine mengi...so he can deliver because we have seen on the ground. Ni msomi anayechangia jitihada za maendeleo hata akiwa mwanasiasa, bado anaendelea kuandika mada na publications za sector mbalimbali za maendeleo. Hii argument ya kusema wasomi wasiingie kwenye siasa ni kitu cha ajabu sana, mbona ame deliver sana tena mpaka Upinzani kule walimwambia aendelee na Ubunge akapita bila ya kupingwa.

Simply Mwandosya on the list. when we speak of vision, imsure if he chose to run(unlikely) he will say what his vision isfor the country. What has Salim done for the people lately (tusiseme kwasababu alikuwa nje, angeomba arudishwe nyumbani asaidie)

Mwanahabari,

Mimi nimeacha kumpigia debe prof. Mwandosya mpaka wimbi la rada, ndege ya rais yapite. Kama atatoka salama huko basi nitakuwa mpiga debe namba moja maana najua jamaa ana uwezo na kweli ka deliver kule jimboni kwake.

Kukiwa tu na dalili ya ufisadi hapo mimi simo tena. Siwezi kuwa sawa na wale jamaa wa Bariadi ambao wanampokea fisadi kwa mbwembwe.
 
Bariadi ina wananchi wangapi na wangapi wamejitokeza kumpokea fisadi? na kwa motive ipi? Leo nenda kaitishe pale maandamano ya kumpokea fisadi uone watu wangapi watajitokeza!

Halafu ndio utapata jibu kwamba moto wa mabadiliko umeanza kushika kasi au la. Zion train is coming on our way, reminds of May, Bob Marley day.

JJ
 
Back
Top Bottom