The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Nauliza tena wakulu:
FREEMAN ANAFAA AMA HAFAI?
If so why? and if not then why not?
 
Nauliza tena wakulu:
FREEMAN ANAFAA AMA HAFAI?
If so why? and if not then why not?

Mkuu, huyu mbona tulishasema tangu 2005 kuwa anafaa sana. Hapa nafikiri watu wameingiza majina mapya ambayo hayakufikiriwa sana huko nyuma. Cha muhimu hapa ni kwamba, kwa kuwa sasa kuna wagombea wa upinzani wazuri wengi zaidi kuliko huko nyuma, upinzani lazima watengeneze utaratibu wa kuhakikisha kwamba mgombea anapatikana kwa ushindani wa hali ya juu ndani ya vyama vyao. Hatuwezi leo tunafurahia ushindani mkali wa akina Obama na Hillary halafu sisi hatuwezi kuinga vitu vya maana kama hivi.

Binafsi ningependa sana kuona hawa wanapambana kwenye kutafuta ticket moja ya opposition (in no particular order please): Mbowe, Lipumba na Slaa.

Tusingependa kuona mtu anatangazwa kuwa ni mgombea katika uchaguzi wa 2010 bila kupitia kwenye tanuru kali la ushindani. As JF, we must name, shame and scorn any opposition party that will declare a presidential candidate without a serious and stiff intraparty competition. Come 2010, we must be prepared to be a tough, principled and unshakable watch dog. The same principles of criticism should be applied vertically and horizontally, to the CCM and the opposition alike.
 
Nauliza tena wakulu:
FREEMAN ANAFAA AMA HAFAI?
If so why? and if not then why not?

Jmushi1,

Wewe mchokozi sana, unataka akina Kitila wajinyonge wenyewe? Hawa viongozi wetu si unajua wana roho mbaya, akisikia humuungi mkono, anaanza kukuandama.

Huyo mimi hapati kura yangu labda kama ni ubunge.
 
Kwi kwi kwi!!! no comment mkuu Kitila!
 
Jmushi1,

Wewe mchokozi sana, unataka akina Kitila wajinyonge wenyewe? Hawa viongozi wetu si unajua wana roho mbaya, akisikia humuungi mkono, anaanza kukuandama.

Huyo mimi hapati kura yangu labda kama ni ubunge.

kwi kwi kwi,

Mtanzania usimuonee Mbowe. Hana tabia ya kuandama watu. The guy anaipenda Tanzania kwa kiwango kikubwa na amesaidia pia kwa kiwango kikubwa kuinua profile ya CHADEMA kwa kiwango kikubwa.

Kuna watu kule Tarime na Kigoma wanasema kuwa wanamwelewa Mbowe zaidi ya hawa wenzetu wengi wanaojiita wamesoma kumbe bure kabisa.

I miss good ol' days za Mrema!
 
Tunamkubali ,ninazo Sababu Zote Za Rais Dr Slaa Kwanza Ni Dr, Sidhani Kama Hawa Mafisadi Wangekuwa Na Elimu Ya Halali Kama Dr Slaa Sidhani Kama Wangefanya Ushetani Huo Wanao Fanya Maana Naamini Msomi Anajali Maisha Ya Wanadamu Na Anathamini Sio Hawa Mafisadi Vipofu.

Slaa Anafaa Sana Tu Kwanza Anauchungu Na Nchi Yake Sio Hawa Mnafisadi Wanao Tamani Kuuza Nchi.
 
Tatizo la sisi watanzania ni kwamba tulikuwa na kiongozi wa nguvu sana na tangia alipoondoka tunahitaji kila atakayekuwa rais afanye perfomance kama ya mzee Juliu Nyerere,hilo ni jambo halitowezekana katika kipindi kama hiki kifupi.

Tulikuwa naye Dr Salim Ahmed Salim na tulimkataa wenyewe, that guy mimi naamini angewasafisha wabaya wote na ndio maana Mkapa alikuwambele katika kuhakikisha jina lake halipiti kabisa.Yule ndiye rais angelitufaa watanzania sasa.

Tunajua kwamba hakufanya vizuri katika ukatibu AU ,hii ni kwa sababu kile chombo kiko chini ya mwamvuli wa US/UN ambao lengo lao kuu ni kuinyonya Africa, kwa hiyo mtu yeyote very constructive hatakiwi kuongoza pale, angali mtu kam Dr Boutous Boutous Ghali walivyomuondowa UN.

Hata yule mama aliyewahi kufanya naye kazi UN, mama Marlene Albright alikattaa cheo cha Secretary of state mpaka Dr Ghali aondolewe kwenye cheo cha Secretary general, naam akina Clinton walimfanyia Dr Ghali mpaka walimtoa katika kile kiti na kutuletea adui mwingine kwa jina Anann.

Hata DR Salim mwenyewe walimfanyia roho mbaya kwa ajili ya China connection pamoja na kuwa karibu na Mwalimu Nyerere. Watanzani hatutopata kiongozi tutakae tosheka naye, labdatumpate mkereketwa kama Zitto Kabwe
Zee la Ujiji
Karenga
 
Kwani mimi sifai au nawafaa??
Mwenye sifa zangu azimwage hapa ili wanabodi wanichambue
 
Mkuu, huyu mbona tulishasema tangu 2005 kuwa anafaa sana. Hapa nafikiri watu wameingiza majina mapya ambayo hayakufikiriwa sana huko nyuma. Cha muhimu hapa ni kwamba, kwa kuwa sasa kuna wagombea wa upinzani wazuri wengi zaidi kuliko huko nyuma, upinzani lazima watengeneze utaratibu wa kuhakikisha kwamba mgombea anapatikana kwa ushindani wa hali ya juu ndani ya vyama vyao. Hatuwezi leo tunafurahia ushindani mkali wa akina Obama na Hillary halafu sisi hatuwezi kuinga vitu vya maana kama hivi.

Binafsi ningependa sana kuona hawa wanapambana kwenye kutafuta ticket moja ya opposition (in no particular order please): Mbowe, Lipumba na Slaa.

Tusingependa kuona mtu anatangazwa kuwa ni mgombea katika uchaguzi wa 2010 bila kupitia kwenye tanuru kali la ushindani. As JF, we must name, shame and scorn any opposition party that will declare a presidential candidate without a serious and stiff intraparty competition. Come 2010, we must be prepared to be a tough, principled and unshakable watch dog. The same principles of criticism should be applied vertically and horizontally, to the CCM and the opposition alike.

Concern yangu mimi ni kwamba hakuwepo kwenye list...So ina mashaka kidogo coz nobody else asked!

Na ndio maana nikauliza if i am out of touch!? Coz nobody even mentioned Freeman!

Tungejadili wote kwani ni kitu moja kama ni upinzani..Unless kuna ticket mithili ya Slaa/Salim!

Freeman naye ajumuishwe bana!

NB: Na kama niko out of touch pia nijulishwe pls
 
Kwani mimi sifai au nawafaa??
Mwenye sifa zangu azimwage hapa ili wanabodi wanichambue
Mwaga CV mkuu!
We'll give it a look!
And then campaign for you!
Baada ya sera lakini na si usanii!
Pls.
 
Jmushi1,

Wewe mchokozi sana, unataka akina Kitila wajinyonge wenyewe? Hawa viongozi wetu si unajua wana roho mbaya, akisikia humuungi mkono, anaanza kukuandama.

Huyo mimi hapati kura yangu labda kama ni ubunge.

Kwanini tena?
Mwaga data Mkuu!
Honestly ili niweze kuendelea na mjadala badala ya kugangamala na Freeman!
 
Mkuu, huyu mbona tulishasema tangu 2005 kuwa anafaa sana. Hapa nafikiri watu wameingiza majina mapya ambayo hayakufikiriwa sana huko nyuma. Cha muhimu hapa ni kwamba, kwa kuwa sasa kuna wagombea wa upinzani wazuri wengi zaidi kuliko huko nyuma, upinzani lazima watengeneze utaratibu wa kuhakikisha kwamba mgombea anapatikana kwa ushindani wa hali ya juu ndani ya vyama vyao. Hatuwezi leo tunafurahia ushindani mkali wa akina Obama na Hillary halafu sisi hatuwezi kuinga vitu vya maana kama hivi.

Binafsi ningependa sana kuona hawa wanapambana kwenye kutafuta ticket moja ya opposition (in no particular order please): Mbowe, Lipumba na Slaa.

Tusingependa kuona mtu anatangazwa kuwa ni mgombea katika uchaguzi wa 2010 bila kupitia kwenye tanuru kali la ushindani. As JF, we must name, shame and scorn any opposition party that will declare a presidential candidate without a serious and stiff intraparty competition. Come 2010, we must be prepared to be a tough, principled and unshakable watch dog. The same principles of criticism should be applied vertically and horizontally, to the CCM and the opposition alike.

Nimekupata hapo kwenye highlight!
Sasa mbona hayuko kwenye list na nobody even mentioned him?
 
jmushi1 said:
Freeman hafai?

Mbona hamna anayejibu hili swali?
OR AM I OUT OF TOUCH?

Huyu nafikiri hafai ndio maana wanaokuheshimu wameamua kukaa kimya ili wasilete zogo. Lakini hebu fikiria haya;
  1. Shule yake ni mbovu
  2. Uongozi wake Chamani haujaridhisha wengi(ukabila kwenye uteuzi wa wabunge, matumizi ya pesa n.k.)
  3. Zaidi ya Bilicanas, CV yake haina kingine cha kumfanya awe kiongozi bora let alone kuongoza nchi.
Ushauri wangu;
  1. Anafaa sana kuwa mpiga debe kwa wengine wenye uwezo
  2. Anavutia vijana kwa hiyo aimarishe upinzani kwa kuwavuta vijana hasa wenye elimu
  3. Ajitazame upya kwenye haya anayoshutumiwa ya ukabila, pengine anasingiziwa au kuna ukweli asiouona
 
Kama kawaida yako umetokezea na madai yako yenye chuki za kidini na kikabila. Sema tu kwanini humpendi Mbowe na sio kusingizia mambo ya shule na upupu mwingine!
 
Huyu nafikiri hafai ndio maana wanaokuheshimu wameamua kukaa kimya ili wasilete zogo. Lakini hebu fikiria haya;
  1. Shule yake ni mbovu
  2. Uongozi wake Chamani haujaridhisha wengi(ukabila kwenye uteuzi wa wabunge, matumizi ya pesa n.k.)
  3. Zaidi ya Bilicanas, CV yake haina kingine cha kumfanya awe kiongozi bora let alone kuongoza nchi.
Ushauri wangu;
  1. Anafaa sana kuwa mpiga debe kwa wengine wenye uwezo
  2. Anavutia vijana kwa hiyo aimarishe upinzani kwa kuwavuta vijana hasa wenye elimu
  3. Ajitazame upya kwenye haya anayoshutumiwa ya ukabila, pengine anasingiziwa au kuna ukweli asiouona

Hivi kweli hizi tuhuma inawezekana ni za kweli?
Maana naona kuna wanachadema wengi tu humu ambao hata hawakujihangaisha kutaja jina lake!

Mimi binafsi i've met Mbowe na tumeshakuwa na brief conversation!
Lakini toka nikiwa na umri mdogo tu nilishawahi kuhudhuria mkutano wake!
Tena by that time watu ni wachache sana!

Na nilikuwa nikijiuliza maswali...Jamaa alikuwa na data kusema kweli!

Sijawahi kuwa karibu naye ama kufanya naye kazi so siwezi kusema a lot!
Isipokuwa hapo kwenye elimu nakupa changamoto!

1)CV yake iwekwe hapa!
2)CV ya Al haji Ali Hassan Mwinyi nayo imwagwe hapa!

NB: Pointi yangu hapo juu ni kujaribu kuona kwamba hakuna chuki bibafsi bali mjadala wa hoja kwa hoja!
Pia kama ulivyosema anavutia vijana..Then hapo ndo muhimu!

Wataalamu watuletee matokeo ya karbuni ya sensa ili kuona wako vijana wangapi Tanzania!

Na kama ndo wengi na yeye ndo anawavutia zaidi then we should consider that! Hili ni muhimu wapinzani wanapojaribu kusoma political landscape together with demography! VERY IMPORTANT HAPA!

Kama na wasomi wanaompa support hiyo ndo even better kwani watakuwa msaada mkubwa kamana wao ni safi! OBAMA NDO MWENYE KUPATA SUPPORT YA WASOMI NA NIKO NDANI YA KAMPENI HAPA!

Kwenye ukabila siwezi kusema lolote kwani sijawahi kuwa ndani ya Chadema!

Ila kama thats the case then mbona anakubalika sehemu nyingi tu tofauti na Kilimanjaro?
Je una ushahidi wa kuwa ni mkabila?

Kwasababu ndugu yangu kama una ushahidi hata mimi nitamwaga manyanga rasmi hapa JF!
 
Jamani elimu kubwa sio sifa ya uongozi. Tanzania ya sasa inahitaji kiongozi mwenye busara, uelewa wa mambo, na mwenye uchungu wa nchi ya Tanzania.

Hivi unajisikiaje unaposikia Tanzania ni moja ya nchi tatu maskini zaidi dunia!!!! Baada ya miaka 47 ya uhuru, bado tunarudi nyuma (kiuchumi) badala ya kwenda mbele kama wenzetu! Tangu tulipopata uhuru tunasema tunataka mwenye elimu nzuri (kubwa), wapo na tumewapa nchi, lakini mbona hatuondoki hapa tulipo???

Sasa tungundue sio elimu ya mtu itakayotuondoa hapa, bali ni busara, upeo wa kuelewa, maono (msoma nyakati) na mwenye uchungu na wananchi wake.
 
kwi kwi kwi,

Mtanzania usimuonee Mbowe. Hana tabia ya kuandama watu. The guy anaipenda Tanzania kwa kiwango kikubwa.!

I doubt that...huyu si yule Mbowe enzi zile za Mbowe club yeye na yule jamaa asili ya kihaya (jina nimelisahu)walichota sana BOT katika ile game ya travelling cheques.BTW hakuna mtu msafi siku hizi

na amesaidia pia kwa kiwango kikubwa kuinua profile ya CHADEMA kwa kiwango kikubwa.!

Hiyo sawa kabisa na anavutia zaidi vijana ambalo ni jambo bora sana hasa ukiangalia kama vijana wakawa serious na kupiga kura nategemea kutatokea mabadiliko tunayolilia
 
I doubt that...huyu si yule Mbowe enzi zile za Mbowe club yeye na yule jamaa asili ya kihaya (jina nimelisahu)walichota sana BOT katika ile game ya travelling cheques.BTW hakuna mtu msafi siku hizi

Huu ni uongo mkubwa sana mwanatanu. Haya madai yote yameshapingwa hapa na hakuna aliyeleta uthibitisho kwenye hili.

Hiyo sawa kabisa na anavutia zaidi vijana ambalo ni jambo bora sana hasa ukiangalia kama vijana wakawa serious na kupiga kura nategemea kutatokea mabadiliko tunayolilia

Kwa muda Chadema walikuwa wanashirikiana na CUF kwenye uchaguzi mkuu na nguvu ya chadema haikuwa kubwa sana bara. Kwenye uongozi wa Mbowe, Chadema imepata halmashauri mbili Tanzania - Tarime na Kigoma.
 
1)Hivi Wana chadema mlihakikisha mnawaandikisha hawa watu?

2)Je wamejiandikisha kupiga kura?!

3)Kuna anaewafuatilia na kuchukua anuani zao ili kuendelea kuwasilianana nao? Hili litasaidia kuendelea kuwaelimisha kwa kuwatumia brochures nakuwa update! Kuhusu ufisadi, haki zao za uraia etc etc! Kama vile kampeni ya ukimwi!

4)Kuna wenye kuwa organize ili waishinikize serikali iwaletee maendeleo hata ikibidi waandamane?

5)Kwasababu wengi wao walikuwa labda hawana umri wa kutosha kupiga kura..Nadhani sasa wengi watakuwa na umri unaofikia ama kuzidi miaka 18 au at least watafikisha umri huo when it comes to election year 2010!
6)Mmefuatilia hilo?

Majibu tafadhali!
 
Back
Top Bottom