Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Mkuu ES...hakuna vigezo wazi vya kumkataa SAS....zaid ya Rangi na Asilia yake...na Ndicho alichokumbana nacho JK kule Butiama kuhusu MSETO ZNZ. Pamoja na NIA Njema ya JK, wengine hawapo tayari kuona mazuri yanafanyika kwajili ya nchi.
Tuna kazi ktk kuyafikia maendeleo ya Kweli TZ...ila mbegu tunazozipanda...zikiota vema tutakula matunda yake
Heshima mkuu,
Kwanza Salim naikubali CV yake na ninamheshimu! Pamoja na uwezo wake wa kuiongoza organisation kubwa OAU,ameshindwa kabisa kusimama kidete kuwakemea viongozi wa hapa nyumbani juu ya uozo wao.
Ananifanya niwe na mashaka nae kama kweli anajua au anaona uchungu wa hali halisi ya mtanzania.
Kwa sasa hivi tunahitaji kiongozi mwenye uchungu na hili taifa na ambae anajua watanzania tunataka nini.Ukiniambia mtu kama Slaaa,mimi namkubali zaidi kulko Salim kwani angalao ameonyesha uwezo wa kulionoza hili taifa kwani anajua matatizo mengi tulio nayo,hata matatizo ya kimfumo.Angalo ameonyesha uwezo wa kuwakaripia viongozi wetu.
Anaonekana ni mtu wa hatua tofauti na Salim ambae ataongoza kukwepa lawama,maanake hadi sasa hivi hajaonyesha kama ataweza kubadili mfumo wetu. Afadhali Slaa ataweza kutuongoza na kukabiliana na challenge zsa kiuchumi za watani wetu wa jadi.
So far,SAlim huwa sijui n nini mtazamo wake wa kiuchumi,sasa hivi tunataka kiongozi ambae atatuletea mabadiliko ya kiuchumi na sio diplomasia kusolve matatizo ya comoro au kwingineko