WembeMkali
JF-Expert Member
- Jun 16, 2007
- 282
- 3
Jamani tunazungumzia muda wa miaka miwili kufikia 2010.Kwa mtazamo wangu wa chapchap ni kwamba bila ya kujipanga vizuri tutawaachia tena mafisadi warudi tena madarakani.
Sasa kabla ya kuanza kuwalaumu wananchi kwa kuipenda mno CCM huku wao wakifa masikini hebu tuangalie tu kwanza mfumo mzima wa uchaguzi nchini kwetu kama unaweza kutangaza ushindi kwa chama cha upinzani kama kikishinda.
Maana katiba bado ni ileile, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huteuliwa na rais, na ippmedia ya mengi nayo huipigia debe CCM.
Sasa wenzangu mnalionaje hili?
-Wembe.