The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Maongezi tu haya .Hawezi kuwagusa maana ni wenzake hawa na yeye ni mmoja wao .

Kama hata wagusa, atakuwa ameshindwa kufanya jambo muhimu katika wakati mwafaka. Hivyo atakosa kura yangu, yako (nadhani, Watz wazalendo (pamoja na wana-CCM).

Tumwamwie JK kwamba hii ni karne ya 21.
 
Wapendwa mlipo jamvini tujadiliane masuala muhimu ya kitaifa anayopaswa kuyafanya na kuyachukulia umuhimu (priorities) Muungwana kabla ya uchaguzi wa 2010 mimi niliyoyaona ni haya:

1. Kusitisha mkataba wa TICS na kuandaa mkataba mpya wenye manufaa kwa Taifa.
2.kuuboresha mtihani wa darasa la nne wanafunzi wengi wapasi.
3.kuhakikisha barabara ya kati Singida-Manyoni-Dodoma inakamilika 2009 Dec
4.Daraja la Kigamboni linaanza kujegwa
5.Kupunguza kodi na kuongeza wigo pana zaidi wa mapato yatokanayo na kodi.

Tujadiliane


Yaani umefikia mahali pa kumpangia Rais majukumu yake ya kazi na mipango yake. Sasa hichi ndicho kinaitwa kiburi.

asante
 
Yaani umefikia mahali pa kumpangia Rais majukumu yake ya kazi na mipango yake. Sasa hichi ndicho kinaitwa kiburi.

asante

Senti vipi? kiburi kiko wapi hapo? au kumpangia Rais majukumu ni kupi? Hivi hayo maoni ya ngomanzito yanaweza yakatafsiriwa hivyo? !! hapana senti 50.

Rais anapaswa kufanya vitu vinavyowagusa wananchi mpaka wajisikie na kujisifia (proud) kwamba Rais tunaye. asipofanya hivyo ananyimwa kura. sasa huoni kama ngomanzito anamsaidia Rais kujua mambo ambayo Watz wanayohitaji kutendewa?!!!
 
tusipoteze muda wetu kujadiliana kuhusu hayo mambo muhimu,kama ulivyoyaweka katika jf, kwasababu huyo ambaye unamfikiria yupo na wewe katika hayo,nakusikitikia kuwa huyo JK YUPO NA SERA ZA C C M, ( C hukua C hako M apema) nia vyema tukae na kujadilina kuwa ni kwa nini nchi hii ina vyanzo vingi vya utajiri lakini ni nchi masikini katika kumi bora duniani.

na tufanye nini kuondoa umasikini wetu, ambao viongozi wetu na mkuu wao JK wameshindwa, tusiwe waoga kusema kweli, tuwe wazalendo na nchi yetu, tuwache ukereketwa wa CHAMA, na hasa walio madarakani,kama mpaka UONGOZI WA nafasi ya waziri mkuu amebainika ni FISADI, na anapewa sifa ya ushujaa na huyo unayetaka ayafanyie kazi hayo masuala yako matano, ni kujisumbua tu.

Mimi ninaona lazima tuwe na mawazo ambayo hayana muelekeo wa kisiasa, katika mjadala wowote unaohusu uchumi, ukiingiza siasa tu itakuwa sawa na kuwataka mafisadi nao waingie katika mijadala, na hapo wao watakachokifanya kutafuta makundi,ambayo yapo tayari kufanya kazi kwa maslahi yao hivyo hakuna lolote litakalojadiliwa tutaishia kuwaona waliopo madarakani wao ndio wanafaa.

Kwa kuanzia hapa mimi naomba tukubaliane kujadili suala la uchumi,yenye kauli mbiu hii, UCHUMI,NA UZALENDO WA NCHI YAKO.

MJADALA :Tanzania ina vyanzo vingapi vya uchumi?
:Vyanzo hivyo vya uchumi vinatumika vyote?
: ,, ,, ,, ,, vinaleta tija kwa wananchi?
: ,, ,, ,, ,, tuendelee kuwaamini
viongozi waliopo kusimamia rasimali za nchi.
: Nini tufanye ili kunusuru rasilimali za nchi yetu
zisiishie kwa mafisadi wa ndani na nje, kama haya
yaliyopo sasa, ambayo yanaushahidi na bado wahalifu
wapo huru.
Watanzania wezangu tuache masikhara kwa hili,tunaelekea pabaya na nchi hii,nchi inamalizwa!! na inamalizwa kwa spidi mbaya,ufisadi umeenea kila taasisi ni hatari, hakuna ambaye ni kiongozi safi katika nchi hii, tuwache kuwa na kasumba eti Rais au makamu wake au waziri mkuu, wao ni malaika,hakuna hilo,tunyo mifano mingi, kama BWM, FTS,EL ,wapo wengi saanna, hao ni vinara tu. na wanalindwa na walio madarakani kwani nawao lazima walindwe hapo baadae.

ahsante
seff
 
Yaani umefikia mahali pa kumpangia Rais majukumu yake ya kazi na mipango yake. Sasa hichi ndicho kinaitwa kiburi.

asante

Senti umeamua kuwa msemaji wa Serikali tangia lini mbona hukutuaga hapa ? Haya endelea kukomaa na issue zake tuone mwisho wake .
 
Yaani umefikia mahali pa kumpangia Rais majukumu yake ya kazi na mipango yake. Sasa hichi ndicho kinaitwa kiburi.

asante



JIITE TU! 50CENT

MAANA LINAKUFAA,NYINYI MMETUMWA MMNATETEA KWA LIPI AU KIPI KIZURI ALICHO FANYA,
MIMI KAMA MIMI SIONI ALICHO NISAIDIA HATA KIDOGO,KAMA ANGEWEZA ANGESAIDIA HATA WAREMAVU WASIO JIWEZA LKN HAFANYI HIVYO SO WHAT IS WHAT?? MSITETE MAMBO YASIO NA MUHIMU NYINYI MKIPEWA PESA KULENI NA MKIINGIA HUMU MSEME UKWELI KWANI ANAMUDA WAKUANZA KUKAGUA LEO MMEANDIKA NINI KUSAFISHA NCHI.KWANI HAMNA MACHO WENZENU MBONA WANAFANYA HIVYO!! NYINYI WAWAPI?? EEEH AMKENI

SASA MFAHAMU TU KUWA TUMEGUNDUA KUWA MMEJIPENYEZA KUTU POTEZEA LENGO MAHUSUSI,HIVYO BASI MGEUKE MSIIENDELEE KUWA WATUMWA TENA.

MAANA HAWA JAMAA WANAKULA NCHI KWA KUSHINDANA IBAKIE EMPTY NDIO WAKIMBIE HAYA ...................MIMI MACHO YANGU.
 
kama JK hajapangiwa majukumu yake na raia wake wa tanzania tusubiri apangiwe na wazungu au?

si kiburi, ni haki na kazi yetu watanzania kumpangia huyu mtu cha kufanya
asante 50cents
 
hakuna mambo 5 muhimu..wala nini..kikwete alitoa ahadi zaidi ya 100 za kutekeleza miaka hii mitano ya kwanza na nyingine hadi miaka kumi...inatakiwa atekeleze zoote, kama alivyoahidi sasa ni miaka miwili na nusu takribani na hajatekeleza ahadi hata kumi.

Tuendelee kuwa na subra?
 
hakuna mambo 5 muhimu..wala nini..kikwete alitoa ahadi zaidi ya 100 za kutekeleza miaka hii mitano ya kwanza na nyingine hadi miaka kumi...inatakiwa atekeleze zoote...kama alivyoahidi...sasa ni miaka miwili na nusu takribani na hajatekeleza ahadi hata kumi..tuendelee kuwa na subra!!???


Ndio maana nikachambua zile zenye umuhimu (priorities) kwakuwa muda unaenda kwa kasi lakini hatuna matumaini ya yele yanayotusumbua kama yatafanikiwa kabla hajaanza kinyang'anyiro cha 2010 na ukitegemea shughuli hiyo itabidi ianze mapema kwa sababu ya baadhi ya mabest wake kuachia ngazi.

Muungwana hapangiwi kazi bali anasukumwa na sisi wananchi kufanya yale tunayohitaji.

Nyongeza ya sita:
6. Kupunguza gharama ya umeme kwa kusitisha mikataba ya Dowans,Alstom-Mwanza,Songas

Tujadiliane
 
Lets talk Serious issue

Tulimchagua ili atatue matatizo yaliyokuwapo wakati ule tukitegemea yeye ndiyo mkombozi.

Suala la umeme kama lilivyo la Mafuta ama kwa ujumla wake NISHATI ndiyo eneo nyeti sana linalogusa maisha yetu ya kila siku kupitia mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali
 
THISDAY CORRESPONDENT
Dar es Salaam

GROUPS seem to be emerging within the ranks of journalists, and perhaps
among the various newspaper groups, as all quarters of political society
seek to find their place, or meniscus, in the new situation emerging
following the recent collapse of the Edward Lowassa premiership. Despite
seemingly impeccable reasons and logic of what now seems to be a
pre-agreed parliamentary decision, the outcome isn’t that easy to
normalize. The reason is far less the premiership of Mr Lowassa or senior
cabinet ministers either compelled to resign or dropped in the wake of an
extensive reshuffle, but a problem first of aspiration and direction,
apart from the reshuffle.

While the incoming premiership and cabinet of ministers have been well
received among the public, where a streak of hysteria still rules
concerning Richmond, and an expert team has lately added fuel to the fire
on the mining contracts, all isn’t well. The reason is that there is a
vast departure from a rather familiar CCM, that which came up after the
Zanzibar Declaration and then the multiparty system, the CCM that was
fairly removed from the older populism, of ’the leadership code.’ The new
premier even promises that his parents will remain in an old house, and
publicly says if he takes a bribe God should take him; is it a CCM of 2005
enthusiasm - or other?

The second reason for a start of parting of the ways in CCM, in spirit
rather than in letter, as no one moves out of CCM and remains in
Parliament, is the saga relating to the Bank of Tanzania payments, as well
as other transactions tied to the 2005 polls. While it was one thing for
the media and other quarters, especially the opposition, to see in those
activities as fraud, embezzlement and criminality, no one expected that
the ruling party would push itself into a box where it joins this
language. The reason, to that extent, is that it is trying to avoid having
to tell the whys and how’s.

If this clamour about the central bank and other payments comes from the
media and opposition parties, and the CCM legislators remain united
because they know what actually happened, it isn’t destabilizing. For what
can destabilize the country isn’t a huge number of facts appearing in the
newspapers, or photographs with the retired president as chairman of some
looters’ committee or something, but if the CCM MPs start speaking in that
direction. Is it a rebellion, or lack of knowledge?

There are two possible answers to that question, one that each MP is
trying to ensure that he or she retains popular support at home, and in
the wake of vast booing of cabinet ministers in the regions after the
Chadema team went around sowing hate and macabre stories of looting, an
opportunistic streak crept in. It was not possible for them to remain
united behind premier Lowassa when the whole country seemed to be crying
for his head, and in the absence of a proper economic explanation of
Richmond terms, it was enough that he helped them, he loves them, so he
goes. When that aspect was sealed, how does loyalty return about the BoT?

That is why it is possible there is something of a crisis of identity
among CCM MPs, as to where their loyalties are, now that loyalty to the
party leadership is no longer congruent with loyalty to the people, that
is, the voters. And as ’political animals,’ the way Greek philosopher
Aristotle defined man that is, among all animals, he is supremely
interested in affairs of the community, not just rough survival like other
animals they vote with their feet. They may know the truth about
Richmond, or the Buzwagi issue and the BoT payments, but then it might
cost them votes in 2010.

Noticeably, the president has also started taking a line of action that
resembles that of his MPs, for precisely the same reason, that he also has
to court for votes in 2010. And the clearest way of going about it was to
adopt the populist views of the parliamentary committee on the Richmond
contract, that leaders shouldn’t be doing business anymore than lecturers
should take up consultancies. Either way, they lose concentration in the
core issue they are employed to do, solving problems.

Chances are therefore that a new dynamic opens up in CCM which leads to a
sort of split, in spirit if not in fact, not about the resignation of
Edward Lowassa or lack of loyalty to his replacement, but on issues of
policy and party outlook. Suppose the new premier actually starts wielding
the big stick to rein in district councils about their members doing
business, and let it be known that in 2010 most ’businessmen’ will be
screened out, are there no chances of countering those moves? In what way
shall it be expressed, whether it is within CCM or start thinking of a new
big party?

The reason for such a hypothesis is evidently that it isn’t a matter of
joining say Chadema for some or the Civic United Front for others, but
redefining the policy vocation of the ruling party. One wonders how far
the president is himself that comfortable under the skin, for in
traditional CCM language even 30 acres of his famous pineapple farm are
rather a bit too much. Don’t they take so much of his time paying
labourers, checking the product, perhaps inspecting the drainage?

In other words, nothing has changed in the composition of the ruling party
from the time the Richmond saga started and the present, but due to a
faulty presentation of the issue from the start, it has driven CCM into
committing class suicide. In what manner can the CCM of the 2005 elections
start implementing a policy where business and politics are separated? And
in terms of state loyalties, shall this view of things lead Parliament to
take up BoT payments, forming the same sort of probe team as with Richmond
and presumably with the same results? Is this the price that CCM MPs think
is necessary to pay to retain their seats in 2010? And if it is clear that
all this was authorized and not the acts of the BoT governor as some
rather idle mode of thinking rests comfortably it knows the villain, what
follows?

That is why there is need for some serious work in the party secretariat,
or with the party chairman, to give a seminar to CCM MPs or the total
leadership, including NEC, to look at the facts of the issues squarely and
soberly. Having agreed to take up the proper structure of issues, they
should also look into why the mood among the voters changed so rapidly as
to boo cabinet ministers everywhere they went. One reason was the secrecy
of all these issues; another clearly is conditions of life.
 
For CCM to win majority votes in 2010, it will take Opposition to go completely to bed!

Jamani nafasi za kujijenga ndio hizi zinaanza kwa moto mkali, ufisadi, maadili, muafaka na kukosa mwelekeo kwa Raisi wetu.

Bunge laonekana kuwa ni mchoko, mafisadi na wahujumu wanapeta, mtanzania anaambiwa asubiri nuru ya maendeleo kwa miaka 40.

Je kama taifa na jamii tunajiandaa vipi kwa 2010?
 
Laiti tungekuwa tunayatekeleza haya tunayo yasema tungekuwa mbali sana!lakini tunaishia maneno tu!
 
Nadhani wengi wetu mnalijua jina la Dr. Wilbroad Slaa Mbunge wa Karatu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Mimi ni Mtanzania ambaye sifungamani na chama chochote lakini mwenye kuamini kabisa ya kwamba, miongoni mwetu kuna Watanzania ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika njanja mbalimbali kama za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Nchi yetu iko kwenye wakati mgumu sana hivi sasa na tunahijati kiongozi bora na sio bora kiongozi ambaye ataweza kuleta mabadiliko makubwa na ya kweli katika kuiendeleza nchi yetu kiuchumi.

Kama mjuavyo tatizo la ufisadi na rushwa limekithiri sana na imeshajionyesha wazi ya kwamba, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kwa kiasi kikubwa kutekeleza majukumu yake aliyopewa na watanzania kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini huu ni muda thabiti kabisa kumtafuta mtu atakayefaa kukichukua kiti chake itakapofika wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2010. Binafsi ningependa Kikwete aondoke hata leo hii na arudi kijijini kwao Bagamoyo akalime Mananasi yake na huku akiendelea kujichekesha mbele ya ndugu zake.

Naamini kabisa Dr. Slaa ndio mtu anaefaa kuwa Rais wa nchi yetu na mwenye uwezo mkubwa wa kulianzisha gurudumu la maendeleo nchini. Mimi niko tayari kulipia gharama zote za kutengeneza tovuti ya Dr. Slaa na kulipia hosting charges kutoka hivi sasa mpaka wakati wa uchaguzi mwaka 2010.

Kwa hiyo ningeomba watanzania wenzangu tumhamasishe Dr. Slaa agombee hiki kiti cha Urais mwaka 2010. Tumebakisha miaka miwili na nadhani huu ni muda muafaka kuanza kujiandaa ili kuhakikisha Kikwete na CCM hawarudi tena kwenye uongozi.

Ahsanteni.

(Haya ni maoni yangu binafsi hayaingiliani kabisa na maamuzi ya CHADEMA)
 
Tunachoitaji Watanzania sasa sio kumpeleka strong man kama yule ikilu, tutakuwa hatujafanya la maana kama tunataka maendeleo ya kweli na kule haendi peke yake, sisi wananchi tutampeleka kule lakini atakao wateua je watajali masirahi ya wananchi?

We need those strong men in the parliament waweze kusaidia kuchange system iliyopo ambayo sasa hivi ni kifisadi, hata JK anaodoka leo hali itabakia ile ile maan system yote ni ya kifisadi na inaweza kubalidilishwa bungeni tu, watu waogope na kueshimu bunge badala ya sasa linaoneka kana kwamba ni sehemu ya kwenda kuchulia poso tu.
 
Tunachoitaji Watanzania sasa sio kumpeleka strong man kama yule ikilu, tutakuwa hatujafanya la maana kama tunataka maendeleo ya kweli na kule haendi peke yake, sisi wananchi tutampeleka kule lakini atakao wateua je watajali masirahi ya wananchi?
We need those strong men in the parliament waweze kusaidia kuchange system iliyopo ambayo sasa hivi ni kifisadi, hata JK anaodoka leo hali itabakia ile ile maan system yote ni ya kifisadi na inaweza kubalidilishwa bungeni tu, watu waogope na kueshimu bunge badala ya sasa linaoneka kana kwamba ni sehemu ya kwenda kuchulia poso tu.

Lakini kumbuka Rais nchini Tanzania ana nguvu kubwa sana na nina matumaini kama vyama vya upinzani vitaungana nadhani mabadiliko yanaweza kuja.

Mapambano dhidi ya CCM yaelekezwe kila kona na kwenye chaguzi zote ili wasipate nafasi ya kuhema.

Naamini kabisa he is the right man for the job ili aanze kusafisha Majambazi yaliyojaa katika serikali.
 
Nimeguna kwanza Geeque,,,

Muda bado baba... By 2009 February issues kama hizi zitakuwa ndio nyakati muafaka. Utakuwa ushawajua vema wanasiasa wetu na kujua nani ni nani na kwanini! Kuna mengine yatarajiwayo kujiri kabla ya Julai, unaweza kuwachukia hata uliowaamini.

Kuna vichwa vichache vijavyo utajikuta mwenyewe unavikubali. Kimoja toka humu humu JF!

Note the date I gave you buddy...

Hii ndio Bongo...!
 
Back
Top Bottom