The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Ukiambiwa Ana Hisa Celtel Na Voda Com Utakataa ? Ukiambiwa Yeye Ni Kati Ya Wenye Uwekezaji Mkubwa Katika Banki Ya Akiba Commercial Utakataa ??

hapo unauliza au ndio unatoa taarifa? Mimi nimeuliza kujua biashara alizonazo kumfanya kupata hayo mabillioni. Kama anahisa weka infos za hizo shares hesabu zifanyike, mwenzio anakufa kifo cha mende hivyooo, olalaaaaa.
 
hapo unauliza au ndio unatoa taarifa? Mimi nimeuliza kujua biashara alizonazo kumfanya kupata hayo mabillioni. Kama anahisa weka infos za hizo shares hesabu zifanyike, mwenzio anakufa kifo cha mende hivyooo, olalaaaaa.

Na tusisahau kuwa sifa moja ya kiongozi iliyo ndani ya Katiba ni kuwa, "Awe ni mtu aliyetosheka, na asiwe mtu aliyetawaliwa na tamaa." (Katiba ya CCM, (17(1)).
inawezekana Chenge ametosheka ila suala la kutawaliwa na tamaa ,hili ni dogo sana..
t
 
Ila wenye system nimeongea nao wanasema bilion moja ni pesa kidogo kwa mtu mwenye wadhifa kama wa chenge.

Nilikuwa naongea jana na mtu wa ofisi ya raisi utawala bora akasema Chenge amekuwa kwenye uongozi wa juu kwa miaka 30, akaniuliza unajua posho ya mwanasheria mkuu kwa siku akiwa safarini nje ya nchi?.
Nikasema sijui akaniambia thatha mbona unapiga kelele tu, kwa wadhifa wa chenge anaweza kuzipata hizo pesa kihalali kabisa.
Akasisitiza kuwa watanzania tunapenda kudakia mambo bila kufanya utafiti wa kina.
Tulibishana sana, mwisho nikamwambia ukweli daima hujitenga.
tuambie basi hizo posho anazolipwa na amekuwa akilipwa kwa muda gani, ili tupate kujua ukweli si rahisi kihivyo kwa yeye kuokoka katika hili, katika bilioni moja unajua kuna milioni ngapi, na whatever you gonna come up with, better be good kwa sababu watu wote wanaoongea, hawaongei hivi hivi bila sababu.
 
..hata Mwalimu JK alikaa na Mafisadi meza moja: Kama anavyoonekana pichani: Click

[media]http://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/n%20(2).jpg[/media]

Maana wako kila mahali Jk mdogo na yeye yuko nao: Je atawashinda?
 
In capital letters:THESE CORRUPT GUYS IN A GOVERNMENT, INCLUDING THE SITTING PRESIDENT, (AND FORMER PRESIDENTS MR. MKAPA AND MR. MWINYI); WITH THEIR DEMI GODS, KNOW WELL WE ARE STUPID; ALSO THEY KNOW WELL THAT THESE NOISES FROM JAMBO FORUMS WILL DO BLOW WHISTLING, IN THE END THERE WILL BE A LEVELING GROUND! THEY WILL EXIST AND WILL EXCHANGE POWER AND WEALTH, THEY HAVE ALREADY MADE US STUPID AND EVEN POORER; IN GENERATION AND GENERATION, TO COME. BELIEVE ME; THIS WILL NOT END IF YOU GUYS THINK YOU ARE DIFFERENT FROM THE CRISIS HAPPENING IN ZIMBABWE OR DAFUR, WE ARE IN THE SAME CRISIS.

I REMEMBER THAT GUY, IN ONE OF THE REGION, WHO TOOK THE GUN AND SHOT ONE OF THE ADMINISTRATORS OF THE REGION ( THINK KLERUU); THE MAN WAS A HERO; I THINK WE NEED THE TYPE OF TANZANIANS, YOU CAN'T USE PEOPLE THAT WAY; EVEN A PROSITITUTE SHOULD HAVE ENOUGH TO EAT TO OFFER THE BEST BLOW JOB, YOU CAN'T TREAT US THIS WAY YOU THUGS!
 
huyu chenge siku zake zimefika na BWANA atamuangusha na ameshaanza kumuangusha kwa kumuumbua eti anajidai kuweeka mawakili toka ulaya na amerika si angewapa mawakili wa tanzania hivyo vijisenti kidogo jamani!!!!!!!!!!!!
 
Chenge on spot over `pocket change` jibe

Andrew Chenge
-Minister accused of arrogance, pomposity, insensitivity

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

VARIOUS opposition legislators and political commentators yesterday slammed the beleaguered cabinet minister Andrew Chenge for his latest controversial remarks describing the more than $1m found in his offshore bank accounts in Britain as mere ’’pocket change’’, as calls continued to mount for his resignation over suspected corruption.

’’That amounts to sheer arrogance...we are not complaining about pocket change, we are talking about millions of dollars found in his (Chenge�s) personal bank accounts,’’ said the Karatu Member of Parliament, Dr Wilbrod Slaa (CHADEMA).

Dr Slaa noted that with about half the population living in conditions of abject poverty, it is an insult to Tanzanians as a whole for the current Minister of Infrastructure Development and former Attorney General to make such pompous and patronising statements.

’’Those kind of statements can only go to show how enormously rich he must really be,’’ said the firebrand opposition MP.

Dr Slaa reiterated calls for Chenge’s resignation to pave way for ongoing investigations by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and Britain’s Serious Fraud Office (SFO), which suspect him of receiving unspecified amounts in illegal kickbacks from the dubious 28 billion pounds sterling (approx. 70bn/-) radar deal of 2002.

But the CHADEMA secretary general also noted: ’’It is a pity that the culture of stepping down whenever such serious allegations of corruption arise is badly missing from our politics here in Tanzania,’’ he said.

A leading local political analyst and University of Dar es Salaam (UDSM) lecturer, Dr Azaveli Lwaitama, also added his voice to the growing public chorus for Chenge to step down.

’’I would really advise him to resign, if only to save the entire government and President Jakaya Kikwete from embarrassment,’’ Dr Lwaitama told THISDAY in an interview.

’’The mere fact that such a senior minister is being investigated by international fraud detectives should be enough cause for him to resign,’’ he added.

He reiterated that even if Chenge is indeed innocent of the corruption allegations, he should still step down to allow the investigations to proceed and run its course.

The UDSM don gave the example of former president Ali Hassan Mwinyi, who retired as a minister in Mwalimu Julius Nyerere’s government on the basis of collective responsibility, and urged modern-day politicians to follow suit.

On his part, the Leader of the Official Opposition in the National Assembly, Hamad Rashid Mohamed (Wawi-CUF), also heavily criticized Chenge for the ’’pocket-change’’ remarks.

He described such comments as an open affront to Tanzanians, while also voicing doubts regarding how the minister was able to stash over $1m away in offshore bank accounts, given his official income as a public servant.

Hamad Rashid urged the Public Leaders Ethics Secretariat to investigate and verify the actual amount of money deposited in Chenge’s offshore bank accounts.

The opposition leader also called for a thorough investigation into the matter by the PCCB, cautioning the government’s anti-graft watchdog not to dismiss such a serious matter out of hand.

According to our sources, Chenge earns a monthly salary of around 3m/- as a cabinet minister and another 1.2m/- as a member of parliament, plus allowances.

Meanwhile, the leader of the opposition Democratic Party, Christopher Mtikila, also described the allegations against Chenge as being ’’very serious’’, and demanded his resignation.

’’Come to think of it, I’m not at all surprised that this minister has the gall to describe more than $1m found in his bank accounts as simply pocket change...he has a lot more money than that,’’ said Mtikila.

In general, most members of the public interviewed by THISDAY in a random survey yesterday also said they were quite astonished by Chenge’s ’’pocket-change’’ remarks.

They noted that the more than $1m (approx. 1.2bn/-) in the minister’s accounts would be enough to build more than 240 classrooms in Tanzania.

Chenge was widely quoted as making the ’’pocket change’’ remarks when speaking to journalists at the Mwalimu Nyerere International Airport in Dar es Salaam on Wednesday, on arrival from China where he had been part of President Kikwete’s visiting delegation.

He also said he had no intention of resigning over the suspected radar corruption scandal, and confidently expressed belief that he will be vindicated by the ongoing investigations.
 
tatizo siyo Shs. Bilioni moja benki... ni fedha zilikotoka.. and let me put it very plainly:

a. Fedha hizi siyo malimbikizo ya akiba baada ya muda (not accumulation of savings over time) kama watu wanavyotaka tuamini.

b. Fedha hizi ziliingia kwenye akaunti hiyo baada ya 2001 (ununuzi wa rada) na kwa vile fedha zinavyozunguka huacha alama; za Chenge zimeanzia mbali zikiingizwa kidogo kidogo baada ya kumegwa. Yaani alipata fungu, akazimega kidogo kidogo kwa kutumia "njia mbalimbali" halafu kutoka njia hizo akaziassemble kwenye akaunti yake...

c. Zingekuwa ni za Savings SFO wasingehangaika nazo.. remember.. money will always leave tracks!!
 
"Binadamu wazima na fahamu zao, huishi kama wanyama wa mwituni, ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea ujanja wake wa porini, ukali wa meno yake na urefu wa makucha yake. Upebari ni unyama" - Mwalimu J.K. Nyerere.
....Mzee wa Watu alilonga Ukweli, na leo hii ndiyo tunayaona
 
Ila wenye system nimeongea nao wanasema bilion moja ni pesa kidogo kwa mtu mwenye wadhifa kama wa chenge.

Nilikuwa naongea jana na mtu wa ofisi ya raisi utawala bora akasema Chenge amekuwa kwenye uongozi wa juu kwa miaka 30, akaniuliza unajua posho ya mwanasheria mkuu kwa siku akiwa safarini nje ya nchi?.
Nikasema sijui akaniambia thatha mbona unapiga kelele tu, kwa wadhifa wa chenge anaweza kuzipata hizo pesa kihalali kabisa.
Akasisitiza kuwa watanzania tunapenda kudakia mambo bila kufanya utafiti wa kina.
Tulibishana sana, mwisho nikamwambia ukweli daima hujitenga.

Ujanja wa kiendawazimu.

Jua kali la Utosini linakuwakia.
Unatengeneza mwavuli wa kufikirika huku unatabasamu unajikinga nao jua.
Kwa vile mwavuli wenyewe ni wakufikirika kinga ya jua pia ni yakufikirika.
Kwa ujuha unlazimisha watu kuamini ndoto zako kwamba uko kivulini.

Tatizo si fedha tatizo ni chanzo cha Fedha hizo.
Wenzie wamemnusa Chenge ananuka Rushwa ya BAE mpaka kwenye nyayo.
 
Inasikitisha sana. Inamaanisha fedha zinazotolewa na muungwana kwa wajasiriamali ni vijisenti pia??????
 
Mnasahau kitu kimoja hapa. Alisema ni vijisenti kulingana na kiwango cha mtu. Kwa hiyo ni wazi labda kuna wengine wenye nazo anaowajua (mafisadi wenzake) walio nazo kushinda yeye....ndio maana akaziita vijisenti
 
Tunaposema kuwa Tanzania kuna matabaka ya kutisha inaonekana kama tunatania lakini ..yeyote aliymuona Chenge(BW Vijisenti) na kumsikiliza alivyosema ..."kiulani kabisa"" kuwa ni vijisenti tu! angeweza kutambua kuwa matabaka tunayaongelaea hapa sio kimwili na kimapato tu!

Matabaka yamekomaa hasa KIFIKRA!

Fikra zake zilieleza ukweli wa anachowaza na kuamini. Hakutegemea kuwa wengine hatuwazi hivyo! Na haoni kwanini hatuoni mamilioni yake ni Vijisenti..anaona tunamuonea..tumezushia... tunampinga kisiasa..etc

Hatumuelewi na Hatuelewi...hapo ndipo tabaka la kweli lilipo! Cha kutisha huyo ni kiongozi wetu! Kiongozi ambaye hatuelewani kiasi hicho. YET anatakiwa kutuogoza...Swali anatuongoza kwenda wapi? Tutaelewanaje..kwenye tofauti kubwa hivi kifikra?

"MAMILIONI = VIJISENTI"

Chenge Hatuelewi..Na Sisi Hatumuelewi. Mambo ndiyo yalivyo!!

Tunafikiri na Tunaamini Fikra za Rais wetu ziko upande wetu. ...yaani tunaelewana. Na kama ni hivyo anatambua fika kuwa Chege hafikiriii Kitanzania. Fikra za Chenge hazi fikirii kama kiogozi wa Watanzania walio wengi. Rais angempenda Chenge angempumzisha...Kwa kigezo dhahiri za kimtizamo hiki Tu cha.... MILIONI= VIJISENTI.

Au Prez' unafikiri fikra za watanzania zinalandana na za Rafiki yako Chenge?

Chege Fikra zake zimemuweka hadharani...zimemuonyesha kile kilicho nyuma yake...!! Anapishana kifikra na karibu watanzania wote. Na Chenge Hayuko mwenyewe. Ngoja joto linavyopanda watajikanyaga wenyewe....wazi kabisa hadharani!

Inawezekanaje Mtanzania "Mwenzetu" akaona mamilioni ni vijisent??

Si haki Watanzania kuongozwa na Mtu ambaye akifikiria kuelekea kushoto ..Watanzania wote wa kipatao kama chake na hata walala hoi wote wanafikiria kwenda kulia..!

Atatuogozaje!!!?

JK Please..Give him a break!! Ningekuamini!

Au

Muache ili Ajimalize mwenyewe, atumie nguvu zote kuji_expose more clear to what he "IS" ... kwani kama ameshaanza hivyo ..ataendeleza ku_raiforce "what he beliave" in public..na atajiumbua zaidi na zaidi...JK sometimes nafikiri you realy know how to play this!
 
Mnasahau kitu kimoja hapa. Alisema ni vijisenti kulingana na kiwango cha mtu. Kwa hiyo ni wazi labda kuna wengine wenye nazo anaowajua (mafisadi wenzake) walio nazo kushinda yeye....ndio maana akaziita vijisenti

you hit it right on the money.....Huyu siyo mtu mjinga, kusema hivyo he is just hinting as to what is to come, maana haondoki hivi hivi. Vijisenti ni compared to wakina Rostam na Wengine walipata nini kwenye deals feki, including Lowassa
 
Umefika wakati wa kumwamsha JK maana naona amelala asije akasema waTZ hawakuniamsha, hii hatari 25B ziko CRDB halafu mnasema TZ masikini, hii nchi tajiri sana ila inaliwa na wachache.

Kumwamsha JK? Au kuwaamsha wadanganyika waliotopea kwenye usingizi wa amani na utulivu?
 
"Binadamu wazima na fahamu zao, huishi kama wanyama wa mwituni, ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea ujanja wake wa porini, ukali wa meno yake na urefu wa makucha yake. Upebari ni unyama" - Mwalimu J.K. Nyerere.
....Mzee wa Watu alilonga Ukweli, na leo hii ndiyo tunayaona

Mwalimu J.K Nyerere aliyaona haya ambayo siku nyingi ambayo ndo yanatukuta leo.Aliamua kutuwekea Azimio la Arusha sisi tumwona ni mwendawazimu.

Kuna wasomi uchwara wamepata vi-PhD lakini kichwani watupu,wanataka kupata umaarufu kwa kutuonyesha kuwa kila alichotenda Mwalimu hakifai.Hawana uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana kama alivyokuwa J.K Nyerere.Mzee wa watu hakuwa na elimu ya kutisha lakini kichwa yake ilijaa akili,hekima na maono.Aliweza kuelewa na kuchambua mambo kwa upana sana.
Mimi naamini alifeli katika utekelezaji kwa kuwa alikuwa pekeyake.

Ama kweli Tanzania tumekuwa "JALALAA LA TAKA" kwani kila uchafu tunao
 
Ukiambiwa Ana Hisa Celtel Na Voda Com Utakataa ? Ukiambiwa Yeye Ni Kati Ya Wenye Uwekezaji Mkubwa Katika Banki Ya Akiba Commercial Utakataa ??

hisa zinanunuliwa haziokotwi sokoni; ana hisa kiasi gani na alizinunua lini na kwa kiasi gani? Alinunua kutokana na fedha zipi na alizipata wapi. Haiwezekani ndani ya mwaka mmoja mtu aingize kwenye akaunti yake ya mafichoni Dola milioni moja!
 
hisa zinanunuliwa haziokotwi sokoni; ana hisa kiasi gani na alizinunua lini na kwa kiasi gani? Alinunua kutokana na fedha zipi na alizipata wapi. Haiwezekani ndani ya mwaka mmoja mtu aingize kwenye akaunti yake ya mafichoni Dola milioni moja!

hivi huyu alivyomaliza harvard alifanyakazi wapi as a lawyer, i agree with you tatizo siyo fedha, ni the timing of hela alivyozipata maana ziliingia muda si mrefu kwenye account zake. Maybe he sold golden cows
 
Hawa lazima mali zitaifishwe, no If's buts or maybe...enough is enough,
049wl.gif
 
hisa zinanunuliwa haziokotwi sokoni; ana hisa kiasi gani na alizinunua lini na kwa kiasi gani? Alinunua kutokana na fedha zipi na alizipata wapi. Haiwezekani ndani ya mwaka mmoja mtu aingize kwenye akaunti yake ya mafichoni Dola milioni moja!

MKJJ

Achana na akina Yuda Iskariot.
 
Back
Top Bottom