Killuminati
JF-Expert Member
- Apr 24, 2007
- 329
- 39
What do we know about him? Na zaidi ya yote why is he still in power? Kwanini aliamua kugombea Ubunge? Je wasifu wake katika sheria unasemaje maana hadi hivi naamini pasipo shaka (baada ya kuona ushahidi fulani ambao utawekwa hapa Jumatatu) Bw. Chenge ni Mtanzania aliyeliangusha Taifa lake sana na kwa hakika historia itamhukumu kwa kuwa mamluki wa kisheria!
Hakuna wakati ambapo Taifa letu limejikuta halina mwelekeo wa kisheria unaoeleweka hususan kwenye Mikataba kama wakati ambapo Bw. Huyu alikuwa "Attorney General".
Hata hivyo kuna kitu ambacho hakiko wazi sana; kuna watu wanaamini kuwa RA ndiye King Maker wa Tanzania. Baada ya yale yaliyotokea Dodoma kama mwezi mmoja na kitu uliopita nimejikuta nikiamini pasipo shaka kuwa the most powerful man in CCM is Andrew Chenge and I dare say don't even think of crossing him (which I intend to, humbly).
Jinsi gani na yeye tutamuangusha? (I have an idea)..
We better officially declare him FISADI NAMBARI ONE
huyu jamaa ni corrupt vibaya mno. he's friends with Uncle BEN, anajua dili kibao. miaka kumi amesimamia mikataba yote... IPTL ndio kawaua vibaya... Anashirikiana na IMMA advocates, personally...anahela zakufa mtu. As in millions of dollars.. The warioba commission ilipeleka list ya majina kwa BEN ...jamaa alikuwemo, Uncle BEN did nothing.. At the time jamaa alikuwa ana girl friend manhattan, anamweka kwenye apartment moja very xpensive. Anajua ishu nyingi thats why hakamatiki, hakuwa kambi ya JK.. I dnt know why jamaa anampa uwaziri... maybe coz anataka awekaribu amchunge. SIJUI. thats all the data I have.
very right.. na kuna mambo ambayo nadhani lazima ayatengeneze within 24 hours or face exposure of a political and legal fraud that he is!!
Kabla ya kufanya hilo ni bora tusubiri at least hadi jumatatu MMK atakapotumwagia ushahidi hapa, hakuna ushahidi wa kutosha hapa so far kumpa hiyo 'status'.
Keil,
Rejea matokeo ya uchaguzi wa NEC-CCM Chenge alipata kura nyingi SANA inasemekana kama sio kupanga itifaki yeye ndie alikuwa wa kwanza!
Hivi jamani kuna watu waliokuwa na nguvu kama EL and RA? Kama wao wameweza kuporomoka sidhani kama Chenge atamudu kuzuia huu upepe wa mabadiliko unaoikumba nchi yetu kwa sasa. hana muda mrefu. Tusubiri ripoti ya madini na hii ya EPA,labda tutapata entry point.
Basi kama hivyo ndivyo the guy could be smarter and more powerful than we may know. Sasa cha kujiuliza, huu ujabali wa kisiasa kautoa wapi ghafla maana kadri tujuavyo huyo kaanza siasa juzi tu hapa? Hapo ndipo wengine husema CCM inawenyewe, na wenyewe hawawezi kuwa akina Kada Mpinzani wala akina Dar es Salaam!
Basi kama hivyo ndivyo the guy could be smarter and more powerful than we may know. Sasa cha kujiuliza, huu ujabali wa kisiasa kautoa wapi ghafla maana kadri tujuavyo huyo kaanza siasa juzi tu hapa? Hapo ndipo wengine husema CCM inawenyewe, na wenyewe hawawezi kuwa akina Kada Mpinzani wala akina Dar es Salaam!
Hivi jamani kuna watu waliokuwa na nguvu kama EL and RA? Kama wao wameweza kuporomoka sidhani kama Chenge atamudu kuzuia huu upepe wa mabadiliko unaoikumba nchi yetu kwa sasa. hana muda mrefu. Tusubiri ripoti ya madini na hii ya EPA,labda tutapata entry point.
very right.. na kuna mambo ambayo nadhani lazima ayatengeneze within 24 hours or face exposure of a political and legal fraud that he is!!
Hivi mnaweza kuamini kwamba Chenge ni muhudhuriaji na mnyenyekevu mno church for yrs?????????????
"They never say what they do and never do what they say"