The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

To Wote and particularly Mods,

Hapa kwenye nukuu naona BAK (kama nakosea naomba kurekebishwa) katoa content ya PM kutoka kwa FMES.

Nadhani hii si kitu kizuri na ni aina fulani ya utoto..Hii si tu ni ku-violate mutual consent na privacy kwa ujumla, bali BAK anadhihirisha yaliyoko moyoni mwake na yeye ni mtu wa namna gani (zero credibility).

Nafikiri pia hii ni angalisho kwa members wote kuwa macho na baadhi ya watu tunaokutana hapa jamvini na kuanza kutumiana PM. Kuna kila dalili kuwa kuna watu hawana 'vifua' na sijui ndo ujinga, upumbavu au vyote kwa pamoja.

Napendekeza kitendo hiki cha BAK kiainishwe na kukemewa mpaka tujiridhishe kwamba adhabu muafaka inakuwa issued kwa vitendo kama hivi visijirudie.

Namwaga upupu..

Ama wewe ni mgeni hapa JF ama hufuatilii yanayotendeka. Ni kawaida ya FMES kuweka hadharani PM anazopelekewa. Amefanya mara nyingi tu na mimi niko tayari kuthibitisha kama atakanusha. BAK kampa tu dawa yake ama ndiyo yale yale ya mkuki kwa nguruwe. Hata hivyo siungi mkono kufanya hivyo.
 
Kama habari za Fielmashal Es ni za kweli basi JK huenda anaanza kusikia kilio cha wanyonge juu ya wanaoifilisi Nchi yetu.Hii itakuwa ni mwanzo tu wa kurudisha rasilimali za Nchi zilizoporwa na wachache.Baada ya hapo ni kwa wale wa RICHMOND,KAGODA,KIWIRA,TANGOLD,DEEPGREEN FINANCE na wengine.Fedha hizi zikirudi zitasaidia kupunguza matatizo kwenye ELIMU,AFYA na MIUNDOMBINU.Mungu amuondolee uoga JK na ampe ujasiri wa kuachana na wezi na kuungana na waungwana kurudisha Uongozi wa Nchi yetu katika maadili mema.
 
Justifications za nini sasa?ok ok DATAZ zote ni za ukweli hakuna hata chembe ya uongo!Maana ni kweli Hayawi Hayawi yamekuwa CHENGE YU MOTONI!

- Ndio maana sio waziri tena, maana ungekwua uongo angekuua bado waziri, halafu vipi ukishuka mpaka chini.
 
...mimi nadhani probably next to ile ya Dr Shein na mkasi wake,this has turned out to be the funniest thread i have come across since joining JF!

Mtu ukiwa mgeni na mambo mengi humu,au siasa za Tanzania kwa ujumla,unaweza kudhani kuwa JF ndio source ya news zote bongo.

anyways...tuendeleeni na somo/burudisho.
 
Kama habari za Fielmashal Es ni za kweli basi JK huenda anaanza kusikia kilio cha wanyonge juu ya wanaoifilisi Nchi yetu.Hii itakuwa ni mwanzo tu wa kurudisha rasilimali za Nchi zilizoporwa na wachache.Baada ya hapo ni kwa wale wa RICHMOND,KAGODA,KIWIRA,TANGOLD,DEEPGREEN FINANCE na wengine.Fedha hizi zikirudi zitasaidia kupunguza matatizo kwenye ELIMU,AFYA na MIUNDOMBINU.Mungu amuondolee uoga JK na ampe ujasiri wa kuachana na wezi na kuungana na waungwana kurudisha Uongozi wa Nchi yetu katika maadili mema.

- Tupo ukurasa mmoja mkuu.
 
- Ndio maana sio waziri tena, maana ungekwua uongo angekuua bado waziri, halafu vipi ukishuka mpaka chini.
Hizi Data zilikuja akiwa ameshajiuzulu au?ni kweli yupo kwenye ule MOTO mwingine wa baada ya kujiuzulu!Ila kwa kweli basi tu yaani CHENGE ndo kimya hadi leo?vijisenti vyetu ndo vimeenda nini!
 
Hizi Data zilikuja akiwa ameshajiuzulu au?ni kweli yupo kwenye ule MOTO mwingine wa baada ya kujiuzulu!Ila kwa kweli basi tu yaani CHENGE ndo kimya hadi leo?vijisenti vyetu ndo vimeenda nini!

hahahahahahaaaaa, FL ndio hivi hii nchi ina wenyewe na wanajijua. Jipe raha usisubiri kupewa na kuendelea kusononeka bure. TANZANIA INA WENYEWE!!!!! Mla nchi ni mwenye nchi!
 
Ama wewe ni mgeni hapa JF ama hufuatilii yanayotendeka. Ni kawaida ya FMES kuweka hadharani PM anazopelekewa. Amefanya mara nyingi tu na mimi niko tayari kuthibitisha kama atakanusha. BAK kampa tu dawa yake ama ndiyo yale yale ya mkuki kwa nguruwe. Hata hivyo siungi mkono kufanya hivyo.

Hah haa..

Watu bwana..Vichwa vigumuuuuu!!

Kwa hiyo hapo ndo umeongea nini sasa?

Hebu zungumza ulichoelewa kwa kutumia sentensi moja tu, ujumbe ulionukulu kutoka ktk post yangu..

Nasisitiza sasa siondoki mpaka somo limeeleweka..
 
Hehehe counter ya ze dataz inasubiri magazeti ya bongo yaandike otherwise alafu watu walete hapa...ila mpaka sasa naona hakuna counter(kuwa dataz ni za uongo) zaidi ya kwenda personal tuu. Kweli kumkoma nyani giladi hakuna formula ni mawe kwa kwenda mbele....weekend njema.
 
That's a lie, nipo hapa (JF) kabla yako!! Na kama unadhani una issues na FMES, think again, lakini hajawahi kuweka PM yangu hadharani wala mimi kuweka yake!! Sasa wewe m2, weka ushahidi hapa kuthibitisha madai yako......yaani kuna kila dalili za mfano wa pseudologia fantastica kwa upande wenu!! Shame...
Safi sana hajawahi kuweka yako!ila alishawahi kuweka PM alizotumiwa na watu flani flani ambao pia ni memba wa JF!
 
Ndg FM, I don't underestimate kwamba unasukumwa ubishi ktk hili..

This will be the last time I attend to your non-issues.. Hoja ya msingi ilikuwa BAK ametoka nje ya sheria tulizokubaliana, tena inayohusu privacy hii serious issue..

Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.

Kaangalie kwanza aliyeweka PM ya mwenzake kwanza ni nani, halafu ndiyo umhukumu Bubu Aliyeamua Kusema. Kaangalie nani ambaye amekuwa na kawaida ya kuzungumzia kwenye PM anazodai ametumiwa na watu anaopingana nao, ndiyo umhukumu Bubu Aliyeamua Kusema.

Hakuna atakayekulazimisha wewe au mtu mwingine ku-attend to kile unachokiona ni non-issue. Kama vile hakuna mtu ambaye ataweza kumkataza Fundi Mchundo au Mtindiowaubongo kuchangia pale anapotaka. Tofauti na wewe, mimi sijifungi. Ukibandika kitu ambacho sikubaliano nacho, nitasema whether ni non-issue au otherwise. Na ukiweka ambacho naona kinastahili kuungwa mkono nitafanya hivyo. Ndivyo nilivyo. Na kwa hilo, si-apologise.

PM is not sacrosant. Sijaona mahali ambapo tumekubaliana kuwa PM haziruhusiwi kubandikwa kwenye posting (I stand to be corrected) ati kwa sabau ni private. Ni uamuzi wa mtumaji na aliyetumiwa kuibakiza hivyo. Kwa mfano, ukimtumia mtu PM ya kumtukana, atakuwa na haki ya kuibandika anapotaka ili wengine wajue wewe ni mtu wa namna gani. Si kwa vile inaitwa Private Message ndiyo tumepewa Carte Blanche kuandika yeyote tunayotaka kwa sababu hayatakuja julikana kwa wengine. Kwenye hili umekosea. Au kama mwenyewe ulivyosema, ulitaka tu kumwaga upupu!

Hilo la ubishi wangu halina mjadala. Si wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho kusema hivyo. Hakuna niliposema kuwa wewe umeajiriwa ni hakimu au critic humu. Ni wewe uliyemtuhumu Bubu Aliyeamua Kusema na kudai kuwa achukuliwe hatua kali. Ningetaka kukupa sifa ningekuita "Prosecutor".

Fundi Mchundo aliye Mbishi.

Amandla........
 
bado chenge yupo ktk moto au inakuwaje hii??? maana naona watawala manaanza kupotosha mjadala tangu awali
 
Sijamtetea, na sitapenda hata siku moja PM yangu iwekwe hapa jamvini. Na sitathubutu kuweka hapa PM niliyotumiwa.

Lakini kwa BAK kuweka PM kama ilivyofanywa na aliyetangulia, hakuna cha ajabu, sisi ni binadamu hatuna moyo wa chuma kuistahamili tuhuma zisohusu. the latter anakubali kuanza.

Ninachouliza whats so special with BAK kustahili adhabu kali pekee, je hii ndio mara ya kwanza kwa PM kuwekwa hapa jamvini? useme anapewa onyo na kuwa itakuwa fundisho kwa wengine.

Labda niiweke hivi, je unaogopa kussugest adhabu kwa other part? Geeee, mod mimi nisijeambiwa nataka fungia watu pheeeeeeeeeeeeeeew

Some people are myopic.. Nani amesema case ya BAK ni special wajameni?

Nadhani una notion kuwa mimi ni mfuasi wa mtu fulani .. lakini you are very wrong.

Labda nikuulize..what does your good mind ponders ninaposisitiza kuwa BAK amevunja sheria hivyo aadhibiwe..

Can you see beyond this?
 
Kaangalie kwanza aliyeweka PM ya mwenzake kwanza ni nani, halafu ndiyo umhukumu Bubu Aliyeamua Kusema. Kaangalie nani ambaye amekuwa na kawaida ya kuzungumzia kwenye PM anazodai ametumiwa na watu anaopingana nao, ndiyo umhukumu Bubu Aliyeamua Kusema.

Awali nilikupa benefit of doubt kuwa u mtu mwelewa kwa sababu ktk my reason and judgement yangu niliona I rested my case entirely for any reasonable man to see a point na kuahidi kuwa that was the last time I respond to your below the belt non-issues, but I realized I was wrong. Trust me, I do encore not for you, but for puppet who thinks you are their role model here in JF, may be they may change their mind...japo sipendi litokee hili.

Kwa hiyo nasema hiviii..

Nasisitiza sasa siondoki mpaka somo limeeleweka..

Sasa niruhusu nitoe yangu machache;

Mosi, mtu unapovunja sheria hatuangalii nani ameanza kuivunja. Ukivunja sheria ukapata kibano kortini utakuwa the biggest joker iwapo utajitetea 'eti mbona fulani hapewi kibano kama hiki na nilimuona mwaka jana akifanya kosa hilihili' ..

Nadhani hii hoja si ngumu kuielewa ..

Pili, kufuata sheria pia si suala relative eti nani kaanza. Nilichofanya ni kuona kosa na kulikemea. Na hata kama nilishawahi kuona kosa likitendeka huko nyuma (jambo ambalo sijawahi bado) still its Not a green light ya kunizuia kukemea uozo wowote ule.

Nadhani hoja hii pia si ngumu kuielewa.

Karibu
 
Hakuna atakayekulazimisha wewe au mtu mwingine ku-attend to kile unachokiona ni non-issue. Kama vile hakuna mtu ambaye ataweza kumkataza Fundi Mchundo au Mtindiowaubongo kuchangia pale anapotaka. Tofauti na wewe, mimi sijifungi. Ukibandika kitu ambacho sikubaliano nacho, nitasema whether ni non-issue au otherwise. Na ukiweka ambacho naona kinastahili kuungwa mkono nitafanya hivyo. Ndivyo nilivyo. Na kwa hilo, si-apologise.

Ha ha aa..

Najua kuna watu wanadhani kila unachoandika ni point, lakini si kosa lao.. Non-issue will continue to be a non-issue and will not change eti kwa sababu kimesemwa na FM...

Karibu..
 
PM is not sacrosant. Sijaona mahali ambapo tumekubaliana kuwa PM haziruhusiwi kubandikwa kwenye posting (I stand to be corrected) ati kwa sabau ni private. Ni uamuzi wa mtumaji na aliyetumiwa kuibakiza hivyo. Kwa mfano, ukimtumia mtu PM ya kumtukana, atakuwa na haki ya kuibandika anapotaka ili wengine wajue wewe ni mtu wa namna gani. Si kwa vile inaitwa Private Message ndiyo tumepewa Carte Blanche kuandika yeyote tunayotaka kwa sababu hayatakuja julikana kwa wengine. Kwenye hili umekosea. Au kama mwenyewe ulivyosema, ulitaka tu kumwaga upupu!

Naona bado unaendelea kusukumwa na ubishi.

Ni vizuri ukapata background ya kitu ukakielewa kabla hujakizungumza. Security level ya PM is at private domain, na huhitaji kukubaliana members au Mods yeyote ktk hili ili mkubaliane.

Only wabishi think otherwise..
 
Kelele za mlango huwa hazisumbui mtu kulala ndani ya nyumba, wakuu niko busy maana nina ugeni mkubwa sana wa viongozi wa taifa, kwa hiyo samahani wakuu sina muda wa kujadili pua, maana niko busy ninakula darasa la siasa ya taifa letu. Andikeni points muhimu kusudi niwaonyeshe hawa wakuu wa taifa, maana siwezi kuwaonyesha hizi pumba!

See you later and have a nice day!

FMES!
Ni washikaji zako? uliishi nao NYC au uliwaendesha kuwapeleka airport?
 
Last edited:
Mtindiowaubongo wa kwanza kuweka PM ni nani kati ya dataz FMES na BAK?
 
Back
Top Bottom