Ha ha ha kwani kuna ubaya wa copy na kupaste kitu ambacho kinaweza kuthibitishwa kimetoka wapi? Mbona wamiliki wa JF hawajasema lolote kuhusu hilo? Na magazeti ambayo nachukua habari hizo juzi baadhi yao yamepata zawadi kwa kuwa mstari wa mbele katika kupambana na mafisadi. Sasa kuna ubaya gani wa kushare habari hizo na Watanzania wenzangu kwa kuziweka hapa jamvini!?
Hakuna yeyote ambaye anataka kummaliza FMES kwanza siijui hiyo style unayodai inatumika kummaliza FMES. Watanzania tunahoji hata 'Dataz' za JK kama zile za pesa za EPA 69 billioni anazodai zilirudishwa ambazo hazijulikani zimewekwa bank ipi, itakuwa za FMES!!! Kama analeta 'dataz' zake basi WanaJF wana haki ya kuzihoji na kufanya hivyo haina maana ya kutaka kummaliza JF's style, kumchafua au kumdharau bali ni kutaka kuthibitisha ukweli wa 'dataz' hizo.
Hakuna yeyote ambaye anataka kummaliza FMES kwanza siijui hiyo style unayodai inatumika kummaliza FMES. Watanzania tunahoji hata 'Dataz' za JK kama zile za pesa za EPA 69 billioni anazodai zilirudishwa ambazo hazijulikani zimewekwa bank ipi, itakuwa za FMES!!! Kama analeta 'dataz' zake basi WanaJF wana haki ya kuzihoji na kufanya hivyo haina maana ya kutaka kummaliza JF's style, kumchafua au kumdharau bali ni kutaka kuthibitisha ukweli wa 'dataz' hizo.
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.
According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!
Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili suiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.
Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.
Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.
....More Dataz to Come Soon....
Mkuu wiki moja kabla ya kushikwa Yona alikwua akijaribu kupata mkopo wa shillingi Billioni 5 toka Stanbic, benki ikadai aonyeshe source ya jinsi atakavyolilipa, ndugu yangu nasikia mbingu zilitaka kushuka Yona liapoamua kuleta usahidi wa sources zake.
- Kesho yake ule mkono mzito, ukapiga simu kule stanbic na kuamuru wasitishe mkopo mara moja, kesho yake mkulu akachukuliwa.
Alirekodi kwa kutumia peni maalum iliyonunuliwa Eastern Europe, ambayo ina uwezo wa kurekodi maneno na picha, kwa hiyo Mengi ana tepu na video.
- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.
Sauti ya umeme, FMES!
Mnatuogopesha jamani... kila kitu ni malumbano ya wenyewe kwa tu, kulikoni!!!!!
- Alirekodi kwa kutumia peni maalum iliyonunuliwa Eastern Europe, ambayo ina uwezo wa kurekodi maneno na picha, kwa hiyo Mengi ana tepu na video.
"Mkono mzito" ana nguvu ya kuamuru Benki binafsi isitoe mkopo ?
"Mkono mzito" alipigiwa simu na benki by next day kwamba "hey kuna Yona hapa anaomba mkopo" ?
Baharia, baharia, mbona hivyo tena ? Ha ha ha ha aa aaaaa!
Inarekodi "maneno na picha." Halafu inatoa "tepu na video."
Tepu na Video ?
Peni ina video camera. Video camera hiyo haitoi sauti. So, you need tepu na video. Okay. 😀
Tepu na Video!
Mkulu Heshima mbele,Mkuu,
Kwanza kabisa, Chenge hakujiuzulu kutokana na shinikizo la Waingereza. Tufuatilie vitu kwa makini jamani. Shinikizo la Kisiasa lilikuwa nyumbani.
Pia unasema Chenge yumo. Yumo wapi? Kwenye Uchunguzi? Umesikia wapi hilo? Si kuna article ya gazeti lao Waingereza imepostiwa humu, naomba uisome. Na ndefu kidogo (kama ukurasa mmoja ni mrefu) lakini vumilia uimalize kwa sababu ni muhimu kuelewa kinacho endelea. Chenge ni shahidi tu, hawezi kuwa chini ya ulinzi Churchil hotel.
Kuhusu Juridisction ya kum search Chenge, inawezekana alikubali kusachiwa kwa hiari. Ukikubali kwa hiari hawahitaji ku assert jurisdiction. Yeye sio target wa investigation hivyo sio hatari kuwakubalia wam search. "Dataz" zilisema Chenge alileta ubishi akaonyeshwa warrant ya Kikwete. Tukaswalisha hilo. Kikwete hawezi kutoa ruhusu kisiri siri Waziri wake asachiwe.
Halafu ni muhimu kukumbuka political atmospherics zilizo kuwa zinaendelea wakati huu. JK alikuwa ametoka kumteua Chenge dhidi ya shinikizo kubwa la Kisiasa lililotaka amtose. Kwa hiyo ni mtu wake. Angemgeuka vipi Waziri wake kwa kuruhusu search kisiri siri, Waziri ambae JK alikuwa tayari kulipa political price kumlinda?
Kwa hiyo Mkuu, tuna maswali mengi kuliko majibu. Tunauliza kwa sababu sisi sio MwanaHALISI na TanzaniaDAIMA. Tanzania hakuna Media, inabidi tutafute haya mambo na tuyachambue wenyewe tujue nini kinaendelea. Hakuna gazeti lililo mbana Waziri Simba atueleze uchunguzi wa UK unatuhusu nini sisi, au hela za Chenge zilizo patikana Benki za Bongo zilisachiwa na nani na kwa Jurisdiction gani. Hakuna kiumbe kwenye Press ya Bongo ameandika vitu hivyo. Not one. Zero! Zepo! Zilch! Lakini tutafika.
Ahsante Mkuu. Naomba usisahau, mwisho wa siku, letu moja. Ila, wanasema Uhuru unashamiri mawazo yakiwa na Uhasama. Na nadhani wote tumeleteana uhamasa wa mawazo ipasavyo. Baadae!
Mkulu hii game inaonekana inakupa raha kwelikweli.Wakuu worup! worup! worup!
Maneno ni kumkoma nyani bado tunazifuatilia kwa karibu dataz, more dataz, and more dataz......tutarudi soon stay tuned,
Now let me say this, sina muda na magoi goi wa kufikiri, wanaofikiri bongo ni majuu, bongo mambo yetu huwa tunafanya kibongo bongo tutaendelea kukupa the raw halafu uamue kusuka au kunyoa!
Tutarudi soooon stay tuned hatujamaliza maana we have more dataz than ever before, woooooooooooh!
I love JF!
Tina alikuwa alikuwa ndani anapika, aliposikia jina mamvi...huyo...katoka.....angalia asije AKAKOPADuh sasa Tina unatutisha sasa unataka umpe raha gani FISADI huyo??unataka mle wote za RICHMOND?mmh wabongo bwana unakimelea cha ufisadi nini??mfatilie anaweza kukukonyeza.
Kelele za mlango huwa hazisumbui mtu kulala ndani ya nyumba,
wakuu niko busy maana nina ugeni mkubwa sana wa viongozi wa taifa,
kwa hiyo samahani wakuu sina muda wa kujadili pua, maana niko busy ninakula darasa la siasa ya taifa letu.
Andikeni points muhimu kusudi niwaonyeshe hawa wakuu wa taifa, maana siwezi kuwaonyesha hizi pumba!
See you later and have a nice day!
- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.
Sauti ya umeme, FMES!
Si ndio hapo sasa!! jamaa wanachekesha sana....na wataua hiki kijiwe kwa hii tabia ya makundi makundi na ku-gang up against watu..🙁
Kwa hiyo kama hatuna 'dataz' wewe mwenye 'dataz' hata ukileta 'dataz' ambazo zimekaa kushoto kushoto basi tusihoji chochote tuzikubali tu ...LOL! What an excuse!!! Hebu imagine JK awaambie Watanzania hatuna 'dataz' zozote kuhusu EPA, hivyo hamstahili kuhoji chochote!!!
. By the way ile kazi uliyotwambia itakufanya uonekane kwenye magazeti na TV za bongo kwa sana imekuaje? Bado inakusubiri au njemba zimekushtukia?
"Mkono mzito" ana nguvu ya kuamuru Benki binafsi isitoe mkopo ?
"Mkono mzito" alipigiwa simu na benki by next day kwamba "hey kuna Yona hapa anaomba mkopo" ?
Baharia, baharia, mbona hivyo tena ? Ha ha ha ha aa aaaaa!
Inarekodi "maneno na picha." Halafu inatoa "tepu na video."
Tepu na Video ?
Peni ina video camera. Video camera hiyo haitoi sauti. So, you need tepu na video. Okay.
Tepu na Video!