We aaaight! we aaaight! we aaaight!
Just get up in dere man, snatch that "dataz" knapsack, and ease out. Uwanja wa Fisi style. You know it. You be doin it the way it should be does.
Then pass that "dataz" down here same way you pass the buddha. Somebody trana steal our money. It aint funny man, we up on they necks and they kids!
Tell u what tho. We gon double check what's in that "dataz" knapsack fore be buy it!
Got to. Got to. You know how we do it!
We ready when you ready man. Be cool now, and remember to dust them fingerprints.

Wakati mnaendelea kumwaga hizo mnazoziita dataz, naomba kuripoti kuwa nimezungumza na chenge jioni hii na kumuuliza kuhusu kukamatwa kwake na kuhojiwa. Alichonijibu: "mimi sizungumzii upuuzi huo. Nipo hapa ninafanya shughli zangu binafsi"
"Wewe ulitegemea akujibu nini??
Kwamba eee nipo hapa chini ya ulizi nahijiwa??
Maafisadi wa Tanzania hata wakihukumiwa bado watasema numeonewa.
Kuhani Mkuu unasema ? Maana nimesoma na kurudia rudia lakini sijaelewa hadi sasa .Hebu niweke sawa kwa kiswahili tafadhali .
Private Message: Chenge
Yesterday, 09:19 AM
Chenge
Heshima mbele!!!
Mkuu salute kwenye hii nyeti ya chenge maana kuna mtu nilikuwa naongea naye ndani ya........ amenieleza issue nzima kuanzia kwenye upekuzi na jinsi alivyogoma, na bwana mkubwa alivyosema yeye hazuii chochote.
Nyeti nyingine niliyopata .................... kuliko maslahi ya Taifa.
Once again salute kwenye hili....
Chenge yuko nchini Uingereza kujibu maswali machache kuhusiana na vijisent vyake. Wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kabisa vijisent hivyo havina uhusiano na radar ila vinatokana na mikataba mingine iliyosimamiwa na Chenge kama ule wa ndege ya rais au madudu mengine yaliyofanyika wakati wa Mkapa. Hali ikitokea hivyo, jamaa wa SFO watamwachia huru Chenge, je sisi wabongo tumfanyeje?

Nashangaaa kuona eti Mhe. Mkono amekataa kutoa msaada kwani Mkono yumo katika ile orodha "List of Shame" kwa hiyo hatuwezi kumpongeza kwa hili, ninachohisi hapa atakuwa amekataa kushiriki moja kwa moja kuwarepresent kwa sababu anajua na yeye ni mtuhumiwa lakini hawezi kukosa kuwemo katika kundi la watoa ushauri, councel.
Mbogela,
E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.
Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. I mean, Chenge is no dummy, itakuwaje awe na lawyer mzungu? Strategically inaweza kuwa sio move nzuri sababu majaji wanaweza kuona huyu mgeni anakuja hapa kutufundisha sheria zetu. Ana mpango gani hapa Chenge? (kwenye chess/draft lazima ufikirie adui anafikiria nini, halafu umpe benefit of assumption kwamba he is the most skilled strategist).
Mimi nikatafuta info za huyu lawyer mitandaoni nikapata namba ya simu. Kwa sababu hakuna mwandishi yeyote aliye uliza kama huyu Mmarekani amesajiliwa ku-practice Bongo, nikaona, u know what, we are not going to wait for a Press that does not exist.
Nikampigia lawyer wa Chenge Ohio. Nikaona nikimwambia mimi mwandishi wa habari jamaa naye ataleta u lawyer. Nikaamua kumtengeneza (if u know what I mean). Nikamwambia, nimekusikia jina lako kwenye Media hivi majuzi, nahitaji huduma yako. Kaniuliza we nani, nikampa mi ID ya kutengeneza. Shida yako, nikamwambia Baba yangu kakamatwa na Kesi ya Rushwa. Wapi, ye nani, nikamwambia alikuwa meneja Mkuu wa Kampuni ya Taifa ya Sigara, sasa hivi yuko dhamana. Mzungu hajui chochote kuhusu wakuu wa makampuni ya Bongo chochote ninachomwambia cha mbele. Alipo maliza maswali yake, nikaanza yakwangu. Nikamwambia, unaweza kumpresent babangu akasema, tutaangalia, mwambie anipigie simu. Unaweza ku-practice Bongo, umesajiliwa, akasema ndio, mimi ni Mmarekani peke yake ninaye weza ku-practice in the commonwealth. Sijui ana maana gani, manake kama ni nchi za commonwealth zote, basi nadhani hawezi kuwa peke yake.
Sasa cheki basi. Nikamuuliza, sasa utakuja Tanzania kumrepresent Babangu, akasema, well, tutaangalia kwa sababu nina ma partner Bongo. Na kama kawaida ya Wazungu wanapenda sana kuongea vitu ambavyo hawajaulizwa. Basi akaanza kutoa mi "dataz" (no pun). Akaendelea, "hivi ninavyoongea nimetoka kuwasiliana na "Nima Radi Makono" ameondoka sasa hivi kurudi Tanzania." (Na kweli wakati ule Mkono alikuwa USA, alitokea kwenye media reports siku chache earlier akikanusha madili yake ya BOT kwa njia ya simu kutoka USA.) Sikutaka kumbana sana kuhusu Mkono kwa sababu nilitaka kujifanya sijui kitu, wala simjui "Nima Radi Makono."
Akanirudisha kwenye kesi ya Babangu wa "Kampuni ya Taifa ya Sigara," nikamtengeneza tena. Halafu tukaagana, nikamwacha anasubiri simu.
Kwa hiyo Mkono ni partner wa lawyer wa Chenge Tanzania. Na huyu lawyer anasua sua kuja Bongo. Anahitaji sana ushauri huyu lawyer wa kigeni. Inawezekana kabisa Mkono anatoa ushauri. Ni partner.

Kuhani Mkuu,
Kukubali kuongelea suala sio sawa na kuwa wa kwanza kuliongelea. Chenge alipewa data ambazo hakuwa na ujanja isipokuwa kuzikubali.
Pia Chenge ni kama anataka kujiokoa toka kwa hawa Wazungu akiamini ya TZ ana uwezo wa kuyamaliza maana ana visenti. Hivyo visenti haviwezi kumwokoa huku UK. Anachofanya
ni kukubali kule ambako jini likujualo halikuli likakwisha. Alichosahau ni kwamba hata kama akina JK wanaweza kumsamehe lakini wananchi hatuwezi kumsamehe.
Chenge ni fisadi, ni katika watu wachache ambao wamepewa nafasi kubwa na nchi yetu
ikiwa ni pamoja na marupurupu kibao, lakini wao wakaamua kuwa walafi na kuiba zaidi ya pesa wanazozihitaji.
Unaweza kuendelea kumtetea huyu mkuu lakini ukweli unajulikana, katusaliti wote kwa faida zake binafsi. Sawa kila mtu ana makosa yake lakini kwenda kuficha visenti nje ya nchi ni kosa kubwa zaidi. Angalau angeamua kuinvest hapo TZ ningemwelewa lakini alichofanya yeye ni zaidi ya ulafi wa kawaida.