1)"Kafanye kazi,maisha yanakushinda!" You dont know me na hapa una sound kama haus geli/boi wa Chenge! Hivi unajua ni watanzania wangapi ambao hawana kazi na hawajui their next meal itatoka wapi?
2)Kama nimeshindwa maisha poa tu! Ila bado ni mzima kama Chenge tu na ninashukuru Mungu kwa hilo!
However i mourn for all of those who have died for hunger,malnutriton and lack of medicine!
And i sympathise with fella countrymen and women who can not provide for their families or take their kids to school etc!
The obvious method of limiting self actualization by the leaders to its people in order to gurantee smooth governance similar to the colonialists hence ignorance and diseases,poverty and total lack of knowlede!
Yani kweli unathubutu hata kumtaja Mungu wakati ukimtetea Chenge na unajua wazi mabilioni aliyoyaita vijisenti yangeokoa maisha ya watanzania wangapi kama alikuwa hana kazi nayo?
Kama ni vijisenti si angewapa wenye shida ambao kodi za babu zao zilimsomesha?
Wewe na Mtu wako hamna ubinadamu kabisa na mkatubu kwa Mungu mnayemwabudu!
Na sijawahi kumlilia mtu yoyote shida!
Ninajisomesha elimu kama waliyopata hao viongozi lakini sijalelewa na serikali kama wao ambao wamesomeshwa na serikali kwa gharama za wananchi na kupewa dhamana ya kuendesha nchi na kulinda mali za Taifa letu na wananchi na badala yake kuifuja, kutudharau huku wengi wakijifia! I am for the next generation forget about me! I am on the side of making history so that our kids and the next generation will be proud of us!
Kwa ujumla wamelelewa na kudekezwa na wananchi!
Ni kodi zangu za kaka zangu, watanzania wenzangu, babu zetu etc zilizowasomesha mafisadi!
We kaa uko ndani mdanganyane and you dont know when time comes... whatcha gonna do?
3)Substitution ni wananchi watakao ifanya year 2010!Hapo ni baada ya accountability!
Justice is the only Answer!
Haleluya. Kwa hiyo unatishia kuua watu au. Hata wakifa watakuwa hawajaziba lako na wewe siku moja utakufa kifo ni cha kila mtu. Pole kwa hilo lakini hakuna anayeogopa kufa labda wewe. Na wala usinitishie maisha mimi kwani pia hunijui. Lakini siogopi kufa kamwe nakuhakikishia Kama wewe ndio utakuwa sababu ya kifo changu basi mapenzi ya bwana yatimizwe Upo