The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Hakuna uchawi mbaya kama macho ya mtu, watu wa Tanga wana hii tech ya zongo ni uchawi unaokaa machoni
Mchawi wa kawaida anaweza kukudhuru tu kwa kukuwekea kitu kwenye chakula ama kinywaji, wanaotumia wireless ni level ya juu Sana
Uchawi wa macho pia hutumiwa sana na Wajaluo wa Shirati mkoa wa Mara. Huu unaambiwa ni hatari kuliko wa kuvunja nazi na sindano
 
Sawa Mkuu ila niliwahi kusoma humu humu JF kuwa binadamu tuna nguvu za ziada ambazo tunazitumia aidha tukiwa macho au tukiwa tumelala usiku.

Kuna ukweli kwenye hili?
Ni kweli kabisa na ndio maana kuna practice za meditation nk, wengine wanazo kiasili

Jr
 
Back
Top Bottom