victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,064
Nataka kujua utofauti wa kafara ya kumtoa mtu kafara na kafara ya kutoa mmyama kama ng'ombe ,mbuzi na n.k..?
Mtu/ binadamu aliumbwa mnyama alitamkwa na ikawaNataka kujua utofauti wa kafara ya kumtoa mtu kafara na kafara ya kutoa mmyama kama ng'ombe ,mbuzi na n.k..?
Mungu ni mwemaKaka mshana uko poa lakini?
Mambo ya imani mila na tamaduni...hawafanyi kitu bila kafaraMshana Jr naomba kukuliza hivi ni kwani watu wengi wa kanda ya kaskazini wakinunua magari lazima wakachinje kondoo ile damu ipakwe kwenye gari..? ile damu ya kondoo inasaidia nin...
Ndiyo kwanza naliskia kwako hili.
Lako ulifanya?
Mambo ya imani mila na tamaduni...hawafanyi kitu bila kafara
Haha peleka bwana labda kikwenu linamaana usije ukapata ajali tutakumiss sisi.bado huyu babu ananishawishi nitume laki moja moja eti ya kutafuta mbuzi ili nikienda niikute sasa nimemuliza mzee akawa anancheka hajanipa jibu direct nahisi babu yang amemis kunywa supu na bia sasa ameona gia ni anikamate masikio mim ..eti gari jipya ni lazima tuchinje sijui kondoo sijui mbuzi ..sasa kila ninayemuuliza mwenye gari nyumban ananicheka na kuniambia nitakupigia badae,,,sasa nipo moshi sijapeleka mguu rombo...na likizo inakaribia kuisha ..daah nahisi kama babu anataka kunitapeli ...vile ndo maana nikamuuliza mshana jr kama kuna ukweli ?
Haha peleka bwana labda kikwenu linamaana usije ukapata ajali tutakumiss sisi.
hapan maan ingekuwa hivyo sasa familia nzima ingeangamia ..na ingekuwa ni kweli wazazi wangeshanifurusha huku niende ,maana kila ninayemuuliza hilo wa familia yangu ananicheka ..sasa huon babu anataka hela ila gia aliyoingilia siyo..

naomba nisitie neno hapo
Hapana kabisa sijishughulishi na hayo mambo kabisaUna namba za mganga wa kweli unayemjua?
Haha peleka bwana labda kikwenu linamaana usije ukapata ajali tutakumiss sisi.
hapati labda chombo chenyewe tu kiwe na shida ya kiroho![]()
![]()
![]()
hapati labda chombo chenyewe tu kiwe na shida ya kiroho
Usiniulize sasa nitakuja na mada kamili



.![]()
![]()
![]()
hapati labda chombo chenyewe tu kiwe na shida ya kiroho
Usiniulize sasa nitakuja na mada kamili