The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Kwako mshana, nina maswali kadhaa hapa.

1. Ni kitu gani haswa unajutia maishani.?
2. Elimu yako ya mambo ya kiroho imekusaidiaje wewe binafsi na watu wanaokuzunguka.?
3. Je ushawahi kupata woga.? Ilikuwa ni wakati gani na nini kilipelekea wewe kuogopa.?
4. Haya unayoshare nasi jukwaani, je familia yako inajua kuwa unajua.? Wanakuchukuliaje juu ya hilo.?

5. Umeshawahi kuona visivyooneka kwa macho ya kawaida.? Vipoje.?
6. Nakumbuka katika thread mojawapo inayozungumzia budhist college, ulsema kuwa ushawahi shuhudia kafara ya mtu toka kwa waabudu shetani, na ulipewa offer ya kujiunga nao. Je ulifikia nao wapi.?

Tuanze na hayo kisha nitarejea na mengine ninayohitaji kujua toka kwako.
Kaka Mshana hii post hujaijibu kwa mapana yake sorry ni 53 sio 93.

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Daaah hii ilinipita..... ila me namshukuru sana bro Mshana ile ishu ya chumvi imenisaidia sanaaaa na sio mimi tu kila nimwambiae anashukuru.
Big up kwa hilo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Chumvi kivipi.? Ilikusaidia katika nini.?
 
Daaah hii ilinipita..... ila me namshukuru sana bro Mshana ile ishu ya chumvi imenisaidia sanaaaa na sio mimi tu kila nimwambiae anashukuru.
Big up kwa hilo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Jr
 
Mshana, baada ya kuelimisha watu juu ya ulimwengu usioonekana, unatarajia jamii inufaike vp na elimu hiyo, na je kuna wale wanaoshawishika ku practice baadhi ya mambo, uko tayari kuwasaidia ama kutoa ushauri? endapo hutoweza kutoa msaada wa ziada juu ya uhalisia wa elimu hiyo, maana umesema ww si mganga, mchawi ama mlozi, huoni kwamba unaipotosha jamii kitu ambacho ni makosa makubwa?
 
Sijawahi kupotosha jamii hata mara moja kwakuwa zaidi ya kuwa mwanajamii forum lakini mimi ni kiongozi mlezi na baba wa familia, nina watu wengi ambao wanategemea miongizo yangu ushauri na hata misaada ya kimawazo
Ninachojivunia ni kimoja ndani ya JF nimeweza kubadili mitazamo ya wengi kuhusu ushirikina uganga na ulozi na wengi wameweza kuelimika... Huku baadhi wakinusurika kutapeliwa... Daima nimewa discourage watu kushiriki ushirikina

Only those who see the invisible can do the impossible......
Ipo siku nitatoa ushuhuda namna Elimu ulionipa umenisaidia kubadilisha maisha yangu
Barikiwa sana uncle Jr!.
 
Back
Top Bottom