The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Inawezekana kabisa kupitia kufungua jicho la tatu ila kuna masharti mengi na practice ngumu kuweza Ku attain hiyo
mkuu mim nlikuw nafuatiliw jinsi yakufungua jicho la tatu nikama wiki 1 iv nlipoanza baad yahapo niliacha nikakaa kam siku 4 iv nikawa naota mamb ya ajabu ajabu sauti zinakuj kichwan kwang zinaniambia v2 visivoeleweka na kuona v2 ving tofaut nandoto zakawaida nikawa napotezea mwisho wasiku vitu ivo vikawa vinapotea mpaka sas sioti chochot . ivi haya vit vilikuw vinatokana nahiyo jicho latatu nliokuw nafuatilia kwakujifunza meditation au nindoto zakawaida tu?
 
Ulikuwa kwenye hatua muhimu ya kuisafisha akili na kuondoa makandokando yaliyoizinga
 
Asante.

Japo weka sawa hapo mnyama halafu ndege tusije kuchanganyikiwa.
Dudumizi ni ndege, ila ruka yake si yambali ni km hatua 10 hv lazima atue chini, hupenda kukaa kwenye vichaka
 
Ni sawa na kutaka kugeuza sumu iwe tiba ama usiku uwe mchana! Dhima ya uchawi ni kuharibu si kujenga
mshana mimi nimeota nipo namwenzangu tunakimbia tunamuwahi mtu mara nkaona nachelewa nkaaanza kukimbilia mikono namiguu kama vile mnyama mara nkaanza kulusha lusha mikono nkaanza kupaaa juu nkawa napaa nipo juu nageuka nyuma mwenzangu ananiita nimsubilie,ananambia nakupa ata hela nsubili Me nkawa naendelea tu kupaa mara nae akawa tupo nyuma yangu. kufika nyumbani kumwambia Mama asaiv napaa nkajaribu nkawa napaa ivoivo, akawa ananiuliza mambo ambayo siyaelew. malaa oooh umewatajia majina ya ndugu zako Me nkawa namwambia sikuelew unaongelea nini malaa jee majina yandugu zangu nkawa sielew anaongea nini. nkashtuka ilikuwa kama saa 8 au 9 iv uck.
kesho kutwa yake tena nkaota napaa japo skumbuki vzr .
Naomba kujua hii ni nini ndugu. Mshana jr
 
Hiyo ni ndoto hasa ukiwa umekula ugali usiku.

(soon naelekea kua mtabiri)
 
Nitarejea niko mahali natafuta kodi ya meza ya tumbo na ya serikali
 
hahaha inaonesha unapenda udaku wewe...
5f4c16259cc7e1a3ceb6c27b617dffc9.gif
 
Back
Top Bottom