The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Je, ni kweli ulimwengu wa majini hauna nguvu juu ya Jina La Yesu?

Mimi kama ni Mkristo kitu gani cha ziada natakiwa nikifanye ili kuhakikisha kuwa IMANI yangu kwa YESU inanikinga kabisa na mapepo wachafu?
 
Ni kweli kabisa ndio maana yakikemewa kwa roho na kweli yanatimua mbio
Jitenge na mambo ya giza utakuwa salama salimini
 
Mkuu mshana naomba ufafanuzi juu ya hv ni kwei wazungu wanaaini uchawi, ?? Na je nikienda ulaya sahv nikatafuta mganga nampata??
Mi naona hata kama wachawi wapo kule ila wana tofauti sana na wa huku, sixani kama watakwambia sijui ulete kuku mweusi sijui machozi ya simba etc... Kwa uzoefu wako hili lipoje, au si wa Africa uchawi wetu ni tofauti.
Pia kama unajua historia ya uchawi ulaya tuambie kidogo..
 
Historia ya uchawi kule yaweza kuwa kongwe zaidi na wenzetu wame advance zaidi kiasi kwamba wamegeuza kitu cha kawaida na wanafundisha kwenye vyuo rasmi makongamano na hata vipindi kwenye TV.. .kwahiyo wenzetu hawatumi tens kuku wala masizi
 
Mkuu na mimi napenda kujua japo kinaga ubaga masuala haya ya kiulozi na kichawi...ila sitaki kuyajua ili niwe mchawi...nataka kuongeza maarifa tu kichani je unaweza kunisaidia vitabu ulivyovisoma vinavyofunua mambo ya uchawi....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna elimu wala vitabu rasmi hapa kwetu na vitabu vingi nilivyorudi navyo kila aliyechukua hakurudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom