The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Mkuu mshana ,kadri siku na miaka zinavyoenda ukijumuisha na masuala ya elimu na utandawazi inasemekana kuwa nguvu za uchawi na uganga zinapungua sana mfano waganga wa zamani walikuwa na nguvu sana but siku hizi wenye nguvu ni wakubahatisha ni yapi maoni yako kwenye hii hoja?
Ni kweli kabisa wao wanaopotea na wanaibuka wapya wanotumia ibada za kuzimu
 
Hivi kwa mfano mimi huwa naota ndoto ambazo zote nathibitisha ni ukweli na uhalisia. Je na mimi nina chembe za Uchawi!? Karibu mshana Jr
 
Hapana ni mojawapo ya vitabu wanavyoogopa mno

Really? mbona asubuhi utawaona wako wameshika biblia wakikimbi uwahi misa, usiku wanaruka? Kuna hawa wachungaji wa Kinigeria na hawa wa kwetu, wanashika biblia huku wakisali kwa mkazo ila usiku wanawanga, inakuwaje? Kwani zile si biblia wanazoshika na kudanganya waumini wao?
 
Wanazishika wakiwa machoni pa watu nje ya shughuli zao...wakiwa kule Biblia huwekwa mbali kabisa
Btw sometimes ni viini macho unaweza ona wameshika Biblia lakini kumbe ni kitu kingine kabisa
 
Back
Top Bottom