Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,959
- 828,683
Hapana nyumbani kwetuMmmh Tanga ndo kwa wachawi
Hapana nyumbani kwetuMmmh Tanga ndo kwa wachawi
Kinachotumika ni viungo vyake kama malighafi kwenye ishu za uchawi ushirikina mahusiano kesi biashara mvuto nk nkMwanamke Ambaye amejifungua katoto kachanga kakiwa kamekufa tayari Hicho kichanga kilichokufa kinatumika ktk namna gani ktk mambo ya kichawi???
Maranyingi kwenye ibada za kishetani na ishu za mvuto wa kimapenziDamu ya Bleed inatumikaje ktk Mambo ya kichawi???
Utajiri wa mganga ni zile zana zake! Hahitaji fedha kwakuwa kila anachotaka anapata....iwe ni kusafiri chakula nknkKwa nini waganga wengi wa kienyeji siyo matajiri??? Na inaaminika huwapatia watu wengine dawa na kuwa matajiri?? Hii imekaaje INA maana wao wanapenda umasikini na kuishi Maporini na sehemu Duni??
Wale ni kiimani zaidiMmh!! Wahindi ndio nawaona sana wakivaa hayo mabangili, je ina relate na suala ili au urembo tu?
Bank zinaibiwa sana na baadhi ya wachawi Lakini hawatangazi kwakuwa hakuna palipovunjwa na pia kuwaaminisha wateja kuwa pesa yao iko salamaJe! Pesa Ni uchawi ?? Kwa nini hata mchawi awe mtaalam vipi hawezi kuingia bank na kuchukua pesa zilizoko bank hadi asubiri MTU aziweke mfukoni au awe nazo kwanza ndo MTU aweze kuzifanyia ushirikina?? Kwa nini wasiende moja kwa moja bank pasipo kuonekana??
Kwa baadhi ya maeneo hasa yenye watu kidogo na si kukukaba tu bali na vingine pia japo kesi si nyingiMshana hivi wanga wanaweza kukukaba hata mchana ukiwa umepumzika? Kama ndio inakuwaje?
Zipo sana kuna hasara zisizokua na maelezo ndani yake ni ishu kama hizoje,kwa nini bank hakuna chuma ulete kama inavyotokea madukan na kwingineko
Usijali kaka kabisa twende tu mdogomdogoWatu wana akili sijui za wapi. Ndiyo maana Acacia wanachenjulia makenikia nje Punguani wa wahed nyie.
Mwanzo nilitahadharisha kabisa msicomment hadi baadae ili twende kwa utaratibu ila bado mmeendelea tu au hayo macho yenu na vichenjulio vya ubongo vinachenjua makapi ya miwa? ???
Mshana samahani bro uzi umeharibika nimekupotezea muda bure. Nipo tayari kuulipa muda wako.
Umependeza na picha yako...duh! Mawani kama shaba ranksi. Mistabombastic...! Aaaah!

Hapana ni mojawapo ya vitabu wanavyoogopa mnoMshana Jr. nauliza kwa nini wachawi hawaogopi biblia?????
Kutoa elimu na maarifa ya ufunuo katika ulimwengu usiojulikana na wengiKazi yako inafaida gani?
Kwa nini unapenda kuvaa mawani? Je, inawazuia Wachawi kukusoma nyota yako na kuifanyia vinginevyo? Au wewe ni mzee wa Idara?
hapana haihusiani na wachawi wala mimi sio 'mzee wa idara'
Mmh sijawahi kufanya hiyo biashara mkuuMkuu dawa yakumvutia mtu katka mapenz unauzaje?
Mojawapo ya watu wenye aibu sana ni wachawi lakini hii ni kuficha uhalisia wao, kumbuka pia macho huongeaNi kweli mchawi hawezi kuangalia mtu machoni? Akiwa ktkt mwili wa kawaida .... ....Maombi yana nafasi gani ktkt uchawi
Yaani mie nilikuwa kimya nafutilia, sijui watu wakoje bhana... Walitaka wahojiwe wao au??? Wacha wazungu wachukue tu makenikia
