The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Mkuu mshana, kuna watu wakati wakuombewa na viongozi wa dini hupoteza fahamu na baada ya hapo huanza kuongea kwa sauti tofauti tofauti sauti hizo zikijieleza kuwa sisi tumetumwa na Fulani etc je huwa ni kweli au ni sawa na ramli chonganishi?
 
Mkuu mshana, kuna watu wakati wakuombewa na viongozi wa dini hupoteza fahamu na baada ya hapo huanza kuongea kwa sauti tofauti tofauti sauti hizo zikijieleza kuwa sisi tumetumwa na Fulani etc je huwa ni kweli au ni sawa na ramli chonganishi?
Sometimes ni kweli ila kuna utapeli ndani yake .....
 
Mkuu ,mchawi anaweza kutumia chakula,kinywaji au kukudhuru?je,mchawi anaweza kutumia macho take kukudhuru?mfano wakati unakula au mama akiwa ananyonyesha mtoto.
Aisee ain hii ya uchawi uko sana kwa jamii za waluo wa Tanzania na Kenya. Kule iko too advanced yaani uchawi wa macho, jamaa akikuangalia tu wakati unakula,kunyw au unanyonyesha basi unalo. Kwasasa kuna maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Kenya maeneo ya panyakoo ( bugire) na maeneo ya Kenya kama ( kamasaga) wachawi wanatumia hadi mbwa kubeba huu uchawi. Yaani unakula kumbe mbwa anakuroga pembeni yako. Ni hatari kunoma
 
Je Unaelewa maana ya sayansi ?
Dude,u ll never understand the doctrine i wrote..ni sawa na usivyoelewa haya mambo ya uchaw na magic,.ther r pipo who prove hizo njia za kichaw scientifically..this is too big for u bro..jus drop it..or dont buy it.
 
Bank zinaibiwa sana na baadhi ya wachawi Lakini hawatangazi kwakuwa hakuna palipovunjwa na pia kuwaaminisha wateja kuwa pesa yao iko salama
Kwahiyo wanahakikisha vipi hawaibiwi tena??? Na nani atasimamia show ya ulinzi wa "kilozi" Bank? Mchango wake unakuwa recognized vipi?
 
Kuna fumbo kubwa sana ulimwengu umefumbwa,na ndio maana elimu ya dini imetawala,.hii ilikua maksudi kabsaa.sasa ni hiv,uchaw ni knowledge kama zilivyo zingne,ni sawa na elimu ya umeme,electromagnetism,gravity etc,sasa hii elim ilifanywa siri kutokana na effect yake kwenye maisha ya mwanadam,.ina tafsir nying,ila tafsir ya uchaw kwa kiswahili hata kiingereza haijitoshelez na imefanywa iwe hvyo ili kuweka mipaka kwa wanayoitumia elim hyo na wasio itumia..let me use the same word uchawi,.ni hiv,tokea ulimwengu huu uanze pipo hav been using this knowledge to win wars,kugundua formula za physics,chemistry na elim zingne,nuclear,ndege na machines,usione watu wanagundua tuu mara microsoft mara sjui ma software etc,n unajiuliza y ni watu hawa tuu peke yao,kuna siri kubwa imefichwa ambayo wengne tunazuiwa kuigundua ama ku isoma na tunaambiwa ni dhambi or ni mbaya or mungu hapend etc ila kiukwel uchawa ni knowledge na wengne wanaitumia kufanya mambo makubwa na mazur,..hawa tunaowaita wachaw mitaan ni kwamba wana ka knowledge kadoogo sana na ndo hako wanakatumia plus wengne ni michezo tuu,na knowledge hii ina garama,so wengne wananunua,sawa na mtu ukitaka usomee u pilot lazma hela ikutoke,so thaman ya uchaw unayogaramia itaendana na uchaw au effect unayoitoa kwa knowledge hyo.tajir atakua mchaw zaid ya maskin,kuna miji mikubwa inalindwa kwa nguvu za uchaw,na kuna territories,sio kila mchaw anaeza ingilia site yoyote tuu.na kuna ranks kama ilivyo,mwenye certificate,diploma,bachelor,master,phd ,prof nk..pipo use uchaw kugundua madawa ya hospital,pipo use uchaw kugundua magonjwa na procedure za kidaktar.ni mambo meng,so uchaw usikuogopeshe saana.ni knowledge tuu,
Yani hapa nimekuelewa, yani ni kama vile nuclear inavopigwa vita.
Ni hatari lakini ni bonge la technology.
Wanatakiwa wachache tu ndio wawe nayo.
 
Nlisikia ili mtu aweze kufanya uchawi anahitaji kiota cha inzi,hirizi ya simba na ngekewa.Tafadhali unaweza elezea mambo haya kwa kifupi kazi zake?
 
Mkuu mshana ,kadri siku na miaka zinavyoenda ukijumuisha na masuala ya elimu na utandawazi inasemekana kuwa nguvu za uchawi na uganga zinapungua sana mfano waganga wa zamani walikuwa na nguvu sana but siku hizi wenye nguvu ni wakubahatisha ni yapi maoni yako kwenye hii hoja?
 
Back
Top Bottom