okey ,,naomba kukuliza swali lingine, hawa manabii wanajuaje uhalisia wa maisha ya watu ? mfano mim kuna siku nilimsindikiza rafiki angu katika kanisa moja la maombezi kumbe kuna unabii,sasa ulipofika muda wa nabii kuprophesisez alikuja akanishika mkono na kunipeleka mbele...akaniuliza naitwa nani nikamjibu akaniambia naona gari unaendesha gari niliguna tu nikamwambia sina gari kwa sasa ila mwezi ujao nanunua..mbali na hilo akaniambia familia yenu lazima muaze kuwa na utajiri mkiwa na miaka 21 na hii kitu ni kweli kabisa nikashangaa amejuaje? tatu ni kwenye suala la mahusiano aliniambia mim ni mwaminifu sana sijui kucheat hapa nilishtuka kidogo ukiangalia anayosema ni ya kweli ,,,sasa huyu nabiii anajuaje au anasoma nyota zetu?