Chimoto
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 293
- 124
Ok nimekuelewaMmh elimu ya nyota siko mahiri nayo
Ok nimekuelewaMmh elimu ya nyota siko mahiri nayo
Hapana kabisaMshana Umewahi kurogwa/ kuroga
Ni kweli ila sio wachawi tu huona vingi vya kuogofyaMkuu Mshana ,inasemekana mtoto mdogo/mchanga ana uwezo wa kumwona mchawi ndio maana huwa wanalia sana usiku je,ni kweli?
Tunasikia tangu utoton kwamba utajiri wa fulani ni wa majini.Ni kweli ila sio wachawi tu huona vingi vya kuogofya
Vitu vingine ni habari za kizushi utajiri wa majini nk hauna maisha marefuTunasikia tangu utoton kwamba utajiri wa fulani ni wa majini.
Lkn mpk sasa zaidi ya miaka 20. hatuoni akifilisika kutikana na mashart.
Je kuna utajiri wa majini kweli? unamwisho wake?
mechanism ipojee?
Kwanini hauna maisha marefu?Vitu vingine ni habari za kizushi utajiri wa majini nk hauna maisha marefu
Utapewa masharti ambayo utajiri ukichanganya utashindwa kumudu kuyatekelezaKwanini hauna maisha marefu?
madhara yake yapoje?
Hivi mchawi anaweza kukufanyisha mapenz?Inategemea uko mazingira gani na ni moto wa aina gani ... Maranyingi tafsiri ya ndoto ni kinyume
Wengi hubaki kwenye himaya zao mpaka wanapokufa kiuhalisiaNdugu Mshana ,je wachawi wanapomloga mtu na kufanikiwa kumuua (ktk macho ya kawaida tunaona mtu amefariki )je,wao humfanyaje na je,huyo mtu hufariki tena?
Ndio na wanga piaHivi mchawi anaweza kukufanyisha mapenz?
Unaweza thibitishaje hili?Utapewa masharti ambayo utajiri ukichanganya utashindwa kumudu kuyatekeleza
Ndio lakini pia kuna michezo ya wangaMkuu ,kuna siku huwa mtu anaamka asubuhi akiwa amechoka sana na baadhi ya viungo vya mwili kuwa na maimivu,je mchawi anaweza kukufanyisha kazi bila ya wewe kujielewa na kukurudisha kwenye hali ya kawaida?
Uchawi unafanyika pia kwenye nyumba za ibada, Je wachawi wanaogopa kitu gani
Hapana haya maswali yako naomba nisiyajibuUnaweza thibitishaje hili?
Umesguhudia mtu mwenye pesa za majini?
Ulijuajee?
Je Unaelewa maana ya sayansi ?Kuna fumbo kubwa sana ulimwengu umefumbwa,na ndio maana elimu ya dini imetawala,.hii ilikua maksudi kabsaa.sasa ni hiv,uchaw ni knowledge kama zilivyo zingne,ni sawa na elimu ya umeme,electromagnetism,gravity etc,sasa hii elim ilifanywa siri kutokana na effect yake kwenye maisha ya mwanadam,.ina tafsir nying,ila tafsir ya uchaw kwa kiswahili hata kiingereza haijitoshelez na imefanywa iwe hvyo ili kuweka mipaka kwa wanayoitumia elim hyo na wasio itumia..let me use the same word uchawi,.ni hiv,tokea ulimwengu huu uanze pipo hav been using this knowledge to win wars,kugundua formula za physics,chemistry na elim zingne,nuclear,ndege na machines,usione watu wanagundua tuu mara microsoft mara sjui ma software etc,n unajiuliza y ni watu hawa tuu peke yao,kuna siri kubwa imefichwa ambayo wengne tunazuiwa kuigundua ama ku isoma na tunaambiwa ni dhambi or ni mbaya or mungu hapend etc ila kiukwel uchawa ni knowledge na wengne wanaitumia kufanya mambo makubwa na mazur,..hawa tunaowaita wachaw mitaan ni kwamba wana ka knowledge kadoogo sana na ndo hako wanakatumia plus wengne ni michezo tuu,na knowledge hii ina garama,so wengne wananunua,sawa na mtu ukitaka usomee u pilot lazma hela ikutoke,so thaman ya uchaw unayogaramia itaendana na uchaw au effect unayoitoa kwa knowledge hyo.tajir atakua mchaw zaid ya maskin,kuna miji mikubwa inalindwa kwa nguvu za uchaw,na kuna territories,sio kila mchaw anaeza ingilia site yoyote tuu.na kuna ranks kama ilivyo,mwenye certificate,diploma,bachelor,master,phd ,prof nk..pipo use uchaw kugundua madawa ya hospital,pipo use uchaw kugundua magonjwa na procedure za kidaktar.ni mambo meng,so uchaw usikuogopeshe saana.ni knowledge tuu,
Sawa..Kinachochukuliwa ni nafsi yenye ufahamu tuu ndio maana ni rahisi kuruka