The Interview: mshana Jr.

The Interview: mshana Jr.

Asaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host.

Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake alichojaliwa na bila kupepesa macho majibu atakayotoa angalau Yatatufungua macho tujue ulozi, uganga, uchawi umekaa vipi.

Naomba mshiriki kwa kusoma tu. Narudi tena kwa kusoma tu hadi pale muda wa kuuliza maswali utakaporuhusiwa. Karibuni.
Mimi nataka kujua mshana uwa unatunga au unauharisia na hizo story za uchawi? Kama ni ndio unashiriki na wenzio wanakupa ruhusa ama
 
Ni mnyama jamii ya ndege anatumika kiimani na kitamaduni ama kimila zaidi kuliko kishirikina ni kama bundi tu
NB: najibu kwa muktadha wa ufahamu wangu
Asante.

Japo weka sawa hapo mnyama halafu ndege tusije kuchanganyikiwa.
 
Kuna mti ukiusaga ukajipaka usoni utaona matendo yote ya kichawi? Ni mti gani huu? Unapatiakana wapi Kwa Tanzania?
Upo sikumbuki jina
Upo mwingine unakukinga
Upo mwingine unakupa nyekewa
Na kuna n mmoja unaitwa mkafiri unatumika pia kwenye ishu za uganga
 
Mshana jr, hivi mchawi anawezaje kuingia ndani mwa mtu usiku hali ya kuwa nyumba imefungwa kwa milango iliyo imara kabisa
 
Inawezekanaje mganga ye ni maskini halafu anasema anaweza kukupa utajiri, kwa nini asijitajirishe yeye kwanza
 
Upo sikumbuki jina
Upo mwingine unakukinga
Upo mwingine unakupa nyekewa
Na kuna n mmoja unaitwa mkafiri unatumika pia kwenye ishu za uganga
Asante nitautafuta siku moja.

Kuna watu hatujawahi kushuhudia uchawi na huwa hatuamini kama upo. Lakini hapa mjini kuna maonyesho ya hawa watu wa viini macho. Unakuta mtu amejipiga panga limemea kwenye kichwa kabisa na unaliona.

Wengine wanajivunja miguu na unaona kwa macho yako.

Haya mambo yanafanywaje hadi sisi tunayaona hivyo? Au huwa wanatuloga? Wanafanyafanyaje
 
Back
Top Bottom