Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,894
- 828,487
Meditation inadili na akili kunena kwa lugha ni jambo la kiimani zaidiJe kuna tofauti kati ya ku 'meditate' na 'kunena kwa lugha'
Meditation inadili na akili kunena kwa lugha ni jambo la kiimani zaidiJe kuna tofauti kati ya ku 'meditate' na 'kunena kwa lugha'
Chumvi ya mawe inatumika na pande zote mbili nuruni na gizaniMshana hili Mimi naweza kukataa mkuu,kuna bibi mmoja Hapa jirani yetu katika kutolewa uchawi,lakini ilikuwa muhudhuriaji mzuri sana wa ibada Rc.
And chumvi ya mawe inaweza kuondoa mikosi na mabalaa mwilini mwilini mtu?
Ile ni michezo na maigizo ila kwa upande mwingine mmoja anaombewa mwingine yuko kazinikwanini wakati wa maombi kanisani watu huanguka ila cameraman haangukagi?
Naomba jibu mkuuKuhusu mabangili ya shaba:kuna mtu alinambia kuwa yanazuia mapepo pia ni kinga kwa mfano kutochukuliwa pesa na wazee wa chuma ulete,hii imekaaje?
Uchawi ni dunia ya kiza na dunia ina usiku na mchana! Kila kinachotokea upande mmoja ni replica ya upande wa piliMkuu mshana hivi uchawi una nafasi gani katika maendeleo ya mwanadamu?(Asilimia kubwa ya watu wanaamini, Mali & Utajiri unapatikana kwa njia zisizo halali,mfano utapeli,uchawai n.k) Na hata matapeli,Majambazi n.k wanatumia sana uchawi hili kutimiza Malengo yao.
Je kuna ukweli upi kuhusu hili jambo mkuu.
kwanini wakati wa maombi kanisani watu huanguka ila cameraman haangukagi?

Kabla ya yote mkuu vipi una hirizi la kujikinga?maana hayo makombora yatakayokuja hata yale ya korea kaskazini hayaoniAsaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host.
Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake alichojaliwa na bila kupepesa macho majibu atakayotoa angalau Yatatufungua macho tujue ulozi, uganga, uchawi umekaa vipi.
Naomba mshiriki kwa kusoma tu. Narudi tena kwa kusoma tu hadi pale muda wa kuuliza maswali utakaporuhusiwa. Karibuni.
OK asante sorry nimejibu kwa ufupiKwako mshana, nina maswali kadhaa hapa.
1. Ni kitu gani haswa unajutia maishani.? Kwakweli sina majuto
2. Elimu yako ya mambo ya kiroho imekusaidiaje wewe binafsi na watu wanaokuzunguka.? Imenisaidia kujitambua zaidi imani yangu na maisha yangu...kupitia hii nimewasaidia wengi pia kwa njia anuwai
3. Je ushawahi kupata woga.? Ilikuwa ni wakati gani na nini kilipelekea wewe kuogopa.? Ndio maranyingi nawaogopa binadamu kuliko wanyama
4. Haya unayoshare nasi jukwaani, je familia yako inajua kuwa unajua.? Wanakuchukuliaje juu ya hilo.? Dah wapo ndugu humu jukwaani wanajua...hawana tatizo kabisa
5. Umeshawahi kuona visivyooneka kwa macho ya kawaida.? Vipoje.? Maranyingi ..viko kwenye vague images
6. Nakumbuka katika thread mojawapo inayozungumzia budhist college, ulsema kuwa ushawahi shuhudia kafara ya mtu toka kwa waabudu shetani, na ulipewa offer ya kujiunga nao. Je ulifikia nao wapi.? Sikuweza kujiunga kama unakumbuka nilitoroka
Tuanze na hayo kisha nitarejea na mengine ninayohitaji kujua toka kwako.
Mmh elimu ya nyota siko mahiri nayoNILIKUWA NAKUTAFUTA SANA KAKA,SWALI LANGU KWAKO NI, NYOTA YA PUNDA INAENDANA NA NYOTA ZP.
Uchawi una miiko taratibu na masharti yake! Hawa wa kawaida unaeza kutukana na asikufanye chochote ila kuna namba hazichezewi asilanijr mi swali ni hili?je kama huamini kuna uchawi tena ikatokea ukamtukana mchawi je anaweza kukuloga na ukadhurika kwa manuizo yake?pili, je kama uchawi kweli unafanya kazi kwanini trump asimshushe hata busha kim jung ili dogo apate heshima?
Kinachochukuliwa ni nafsi yenye ufahamu tuu ndio maana ni rahisi kurukaMkuu kwanini
Unaweza kupewa uchawi na ukawa unaruka bila wewe kujijua
Mmh hili ni vigumu kujibu kwakuwa mengine ni mambo binafsi mnoMkuu,ni kweli siwez kuwa mbunge wa jimbo fulani hapa nchini bila kupata zindiko maalumu? Na je, hamna mbunge ambaye hajazindikwa?
Inategemea na bangili na manuizi iliyofanyiwa japo kuna baadhi zina material yanayovutia ama kupingana na dunia zote mbiliKuhusu mabangili ya shaba:kuna mtu alinambia kuwa yanazuia mapepo pia ni kinga kwa mfano kutochukuliwa pesa na wazee wa chuma ulete,hii imekaaje?
Ni mambo ya ulimwengu wa giza yenye formula kinyume saana kuanzia matendo tabia mpaka mavaziMshana kwako uchawi, ulozi na uganga ni nini? Ni teknolojia au imani ya giza?
TayariNaomba jibu mkuu