Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Aisee Mura, mbona hiso taarifa sa ripenzi renu hamjasireta pare ofsini kwangu, au ndo umetumia fomura ya fita ni fita kwamba kira kira kitu kitajipa mbere kwa mbere?

Wita ni wita mura!!
 

Yoote uliyosema tumeyaelewa.
Ila akizidi kukuzingua mwambie kuwa Duniani Wanawake wengi, wanaume wachache.
Akileta pozi, karibu kwangu Binamu nyama ya hamu.
 
Last edited by a moderator:
Mchumba Mamndenyi unajua hadi sasa bado sijakuelewa elewa msimamo wako uko wapi, mbona unayumba sana? Kauli zako muda wote zimejaa controverse, hebu weka mambo hadharani bana, vinginevyo mi ntakimbia huku uswazi sipawezi.

acha kuangalie uso hapo hautapata ukweli angalia moyo
hapa pia imani inaniishia hilo neno la binamu nyama ya hamu
siliamini tena;

yako wapi Mwita Maranya
hapa ushakuwa kaka,
daah sasa hivi sitaki tena ndoa ya mashaka
unaweza kuendelea na binamu/dada yako kwanza.

Baba V unataka kusema kuwa mimi naweza kuvunja amri na mwenyekiti wangu,
ntake radhi kwanza.

Nalinda ombi lako ulivyosema "TUFANYE SIRI" nimefuta kauli.... umeridhika???

mmmmh
mbado sijaridhika.

mheshimiwa mwenye kigoda mbona huchoki kunifanyia fitna? utakosa offer ya Kinana Lager LUMO PUB shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
chagua kati yangu na Madame B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…