Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Yoote uliyosema tumeyaelewa.
Ila akizidi kukuzingua mwambie kuwa Duniani Wanawake wengi, wanaume wachache.
Akileta pozi, karibu kwangu Binamu nyama ya hamu.
Madame B unajua huyu Mamndenyi amekulia uswazi, na pia kila siku anaolewa na kuachika(sijui mzaramo huyu?).Kwa kulitambua hilo nimempa last chance ili ajirudi na kupata maisha mapya ya mtaa wa politiki, ambako hakuna kuacha ama kuachwa, hakuna talaka wala kutalikiana.Akishindwa kuitumia hiyo golden opportunity tunavunja ukaka na udada na kurudi kwenye ubinamu nyama ya hamu.🙂🙂🙂🙂
 
Last edited by a moderator:

Sawa kabisa.
Ili iwe fundisho kwa wale wanawake woote wanaobeep Mapenzi.
Mabinamu tupo.
 
Last edited by a moderator:
.. your signature
Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.
Madame B unajua huyu Mamndenyi amekulia uswazi, na pia kila siku anaolewa na kuachika(sijui mzaramo huyu?).Kwa kulitambua hilo nimempa last chance ili ajirudi na kupata maisha mapya ya mtaa wa politiki, ambako hakuna kuacha ama kuachwa, hakuna talaka wala kutalikiana.Akishindwa kuitumia hiyo golden opportunity tunavunja ukaka na udada na kurudi kwenye ubinamu nyama ya hamu.🙂🙂🙂🙂
 
mitaa ya baharini
jina litafuata
hapa mapaparazi ni wengi sana
Mamndenyi haya ndo maneno sasa, kiwanja uninong'oneze tu kwa PM hapa hapafai kwakuwa kuna watu walishaanza kununua popcorn.
Binamu Madame B wala usiwe na shaka, baadae nitakuvutia waya ili uje kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
haina shida
mmmh
mkanganyiko ukafuata
..una maana two in one?
Mamndenyi mbona huishiwi wasiwasi mpenzi? utafikiri unaoga bafu la uswazi passport size!? Hapo nataka binamu Madame B aje kuthibitisha kuwa mimi na wewe ni kitu kimoja ili aache kukubabaisha manake atakuwa na uhakika kuwa ana wifi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom