Habari Wana JF
Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini
Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja.
Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha yangu ili kua nikuhusu PUCHu (punyeto).
Nilikua nikisikia hiloneno kwa wanafunzi wenzangu hapo kwakipindikile nlikua sijui wqnamanisha Nini , kupitia sikuilee niliuliza swali maana ya PUCHU ni Nini nahapo ndionikaelekezwa.
Sikutilia maanani mpaka siku nipo bafuni ndionikakumbuka nikasema ngoja nijaribu nione wanachokimaanisha .
Kiukweli nilijaribu kwa nusu saa nzima bila kuona matokeo ila baada ya kuendelea matokeo niliyaonaa.
Nikama nilitumia dakika hamsini mpaka nikafika hukuu msumarii ukiwaa. Bado upo umekazaaa sana.
Hii ndiosiku niliyoona urijali wanguu ,Tabia iliendelea mpaka nikaizoeaa na kadri miaka ilivyo kua inasogeaa uwezo naondioulikua unashukaa .
Video za ngono nazo zikashika nafasi maisha yakaendelea.
Nilipokuja kujua wanawake mwanamke wangu wakwanza kukutana naee niliunganisha mishindo miwili nanlitumia takribani masaa mawili.
Tuliachana na kurudi kwenye tabia yangu.
Kinasiku rafkiyangu aliniambia kua haiwezekan mwanaume kuunganisha mabao nilimshangaa sana nakumuona kua anamatatizo ,kwani Mimi nilikua naweza piga matatu namzigo bado upo juu.
Ningeona mbele huenda ningeoaa mapemaa .
Kwa Sasa nilishaoa marambili na wanawake wote tumeachana kwa kushindwa kuwarizisha.
Mwanamke wakwanza tulianza vizuri ila kadri siku zinavyokwenda nilikua napoteza nguvu hivyo hivyo na wapili .
Ule uwezo wakuunganisha mabao sina tena ,kulala kifuani hata dakika tano sina tena huo uwezo maisha yangu ya mahusiano yamekua magumu sana nimejitahidi lishe na dawa za asili lakini nikama Zina nibust tuu kwa mudaa.
Kiukweli ningekua nauwezo kama enzii zanyumaa ningeoaa ila sahivi nimeona Bora nikaetuu kivyangu niokote mmoja mmoja
Najuaa kunavijana wanakazi nzurii na magari lakini hawaoii uwezo wakuhudumia familia wanao lakini hawaoii jibu nikwambaa shughulii nichangamoto.
Wanawake wasasahivi sio kama wazamani ukiyumba tuu kwenye kumfikishaa tayari anatafta pengine na lazma zarauu zitawalee .
Sifikirii kama kwenye hili tatizo kunamtuu aliewahi kupona kabisa na akaingia kwenye ndoaa bila Hali kujirudii
Inshort ningeona mbeleni huendaa ningeoaa mapema kuliko haya madhara nliyoyapata