Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
- Thread starter
- #181
Akha,
Mamndenyi hawezi kuwa wifi yangu, ikizingatia kuwa aliwahi kuwa mke mwenzangu kwa Arushaone na MziziMkavu.
Last edited by a moderator:
Ndio, Chumvini!!...Usijifanye umesahau!...wewe mwenyewe ndiye ulitufunika kanga wakati wa kumbatio!Kumbatio chumvini........wifi yangu una mambo.....
Ona sasa... nibebe na zana kabisa? kama siku ile?
Kumbe ndiyo mana PakaJimmy anapiga klele sana, kumbe amekumbuka joto la kumbatio!
Cheo changu kinanifanya niwe mtazamaji tu.... Nitaangalia uwezekano wa kuandaa rasimu ya katiba mpya..haiwezekani niwe kama sina meno vile
Mzee wa Rula "KUMBATIO LA PAKAJIMMY" waulize kina marejesho Filipo Blaki Womani Preta Lily Flower watu8 Smile Mwanyasi
Madame B kwa hisani ya kaka/binamu yako inabidi usahau yaliyopita na kumkubali Mamndenyi kuwa wifi yako.Akha,
Mamndenyi hawezi kuwa wifi yangu, ikizingatia kuwa aliwahi kuwa mke mwenzangu kwa Arushaone na MziziMkavu.
Nakuwa wakili wa Arushaone siyo mhuni aiseeeee baba yanguuuuu.
Cheo changu kinanifanya niwe mtazamaji tu.... Nitaangalia uwezekano wa kuandaa rasimu ya katiba mpya..haiwezekani niwe kama sina meno vile
Kumbe walifanya hivyo? Jamani.............
Baba V tatizo na wewe umeingia kwenye foleni
tunashindwa kukuletea ndoa mpya
ila ya kwangu na Mwita Maranya bado kuna vipengele vingi vya kurekebisha.
Akha,
Nitamuonea aibu.
Ananijua kila engo.
Maana ilifikia time tukawa tunalala kitanda kimoja watu 3.
Mimi, yeye na Mme wetu.
Ukisikiliza maneno ya wapambe nuksi utakosa ndoa hivi hivi unaniangalia. mwenyekigoda mwenyewe anakutaka sasa unategemea nini ukienda kusajili ndoa kwake. Dawa yake ni kujilipua kwanza halafu tunakwenda kuithibitisha ndoa.