Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Sasa nimegundua kwanini Arushaone alikuwa anachezesha mguu wakati anatangaziwa kumwagwa na mpenzi wangu mpya Mamndenyi, kumbe alikuwa anampigania binamu nyama ya hamu Madame B.

Aisee Mura, mbona hiso taarifa sa ripenzi renu hamjasireta pare ofsini kwangu, au ndo umetumia fomura ya fita ni fita kwamba kira kira kitu kitajipa mbere kwa mbere?
 
Last edited by a moderator:
lazima nijishau bibi wewe, mjini hapa!!!!! Hivi kwanini walikuachia, siungebaki huko huko?
Nahuyu Mtwaraone atanikoma leo!!!!!!!!!

Copy: Arushaone

Nimetoka kwenye tumbo la mama.
Nimefundwa nikafundika.
Plus na kitchen party ndo kabsaaa...
Langu jicho, mkono na shavu langu.
 
Last edited by a moderator:
Excellent unajua nini, huyu X mume wangu Arushaone nilimuacha kwa tambo na tuo,
parambi na kwatuo, bila kujua kuwa alikuwa na real love kwangu.
Mh! Sijui atakubali...

Mpaka hapo nimeamini kweli mtalaka hatongozwi na kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa. Jitahidi kupasha kiporo chako soon utatenga ukile teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Welcome on board Madame B.

Funga mkanda, safari yaendelea. Ukichokozwa nipe taarifa. Ben Saanane ni mshkaji wangu sana endelea naye mimi najaribu kumtafuta wangu na soon nitampata tu.


TWENDE KAZI.

Thanks a lot my X.
Ila najua wakati natangaza msimamo wangu juu yako, nilikuwa nimepiga viroba kadhaa.
Ben Saanane yupo, tunakula tu bata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom